secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 17,713
- 34,850
😂😂 Lamomy, kachezwa mtama hadi kaja kama Labella.Hehehe itakua maana hata Selfika zimetembea Ban
Anyway Fresh tu
Chezea ELI COHEN weye!
😂😂 Lamomy, kachezwa mtama hadi kaja kama Labella.Hehehe itakua maana hata Selfika zimetembea Ban
Anyway Fresh tu
ELI COHEN, ni balaa kabisa. Yakufaa umwendee kiutu uzima la sivyo atakuangamiza.
Atamuangamiza nani 😂ELI COHEN, ni balaa kabisa. Yakufaa umwendee kiutu uzima la sivyo atakuangamiza.
Ni jasusi haswa. Mwulize Lucha, na Munch wa Annabelle.Atamuangamiza nani 😂
Nasikia eti ni jajusi wa mchongo
Mbona naogopa sasaNi jasusi haswa. Mwulize Lucha, na Munch wa Annabelle.
Ila ukienda naye vyema ni mtu poa kweli kweli 😂.Mbona naogopa sasa
Usimtaje tena kama ni hivyo😂
Ahaa ok 👍Ila ukienda naye vyema ni mtu poa kweli kweli 😂.
Haiumi inakupa ushindi kwa mtu uliyempelekea moto mpk kashindwa kuvumilia kaamua aombe usaidizi..!!
Njoo unikamate 🙆♀️Huna adabu kwa wazee! Ukamatwe haraka!!
nakuja my lovely!Njoo unikamate 🙆♀️
🤣🤣Mbona naogopa sasa
Usimtaje tena kama ni hivyo😂
Sawa 😎😁🤣🤣
Kuwa na amani mkuu
Ila usinichokoze