Wazo la JamiiSaccos

Wazo la JamiiSaccos

Hela za serikali tumeshndwa kuzilinda dhidi ya samuya na genge lake, wanakula hadi kuvembewa, na adhabu yao ni kuwazomea waone aibu. Itakua hela za saccos ya Anonimous members?
 
Najaribu kuwaza tu, jukwaa hili likiamua kuanzisha saccos kwa kila mwanachama akawa anachangia 1000 kila mwezi na kuwepo utaratibu mzuri wa kupata pesa pale panapohitajika; Je, kuna mwanachama yeyote mwenye akili timamu atabaki kuwa masikini?

Kwa makadirio tu ya haraka, michango kwa mwaka inaweza fikia 6 bilioni (1000 x 500,000 x 12).

Karibu kwa mjadala.​
Wazo zuri! Japo mtawalahisishia Teeth kazi .
 
Huko unakoishi hakuna ‘watu’??. Mambo ya kujuana juana sana ndio mwanzo wa kuharibiana CV
 
Huko unakoishi hakuna ‘watu’??. Mambo ya kujuana juana sana ndio mwanzo wa kuharibiana CV
Kule mnajuana kiuhalisia kama unavyomjua jirani yako, ila hizi aka zinabaki huku kwenye forum na hakuna kujitambulisha.
 
Back
Top Bottom