House Wife
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 373
- 223
pm ya jf ndo mwake huko kwingine sipo.
Me ngoja nikae pembeni.
pm ya jf ndo mwake huko kwingine sipo.
Huyo ana smile hatari. Ila taratibu usiharibu ndoa yake.
Wacha weeeeee! Mkunde sio mke wa mtu........! Smile kama hiyo huwezi kuiona kwa mke wa mtu
kwa hiyo wake za watu wananuna tuuuuuuuuuuuuu!!
Wacha weeeeee! Mkunde sio mke wa mtu........! Smile kama hiyo huwezi kuiona kwa mke wa mtu
wata smile saa ngapi asubuhi asubuhi ka kwaruzana na mme wake
hahaahahaaa mmenichekesha wewe na House Wife , anasema ukweli mie mke wa mtu bana tena husbandito yuko humuhumu achilia Yahaya ambaye alinikimbia now anajirudi na mie nimechunia as watu waliniambia nitapeli so nimemfungia vioo.
Hiyo smile nilizaliwa nayo kama binti2013 she is so cute, mie napenda sana watu wanaotabasamu.
ndg yangu kama ni mwaminifu na unaelim ya au ujasiliamali, mawasiliano, (information communication) wasiliana nami kwa 0715 545485
hahaahahaaa mmenichekesha wewe na House Wife , anasema ukweli mie mke wa mtu bana tena husbandito yuko humuhumu achilia Yahaya ambaye alinikimbia now anajirudi na mie nimechunia as watu waliniambia nitapeli so nimemfungia vioo.
Hiyo smile nilizaliwa nayo kama binti2013 she is so cute, mie napenda sana watu wanaotabasamu.
Thanks Mkunde Original kweli mwaya the best make a woman can wear is her smile....
mie naona ujasiriamali usiohitaji cash bali nguvu zako na usmart wako ni kuwa mc tuu maana mike utatumia ya dj ukumbi utalipiwa na wenye sherehe na kula utakula humohumo sanasana sherehe ikiisha unaondoka na cash yako. Hapo mtaji wako ni sauti na ujue hadira yako ni watu wa namna gani na uwaburudisheje. Kazi ni kwako!!
Ngoja nami nijaribu kutabasamu likimea naweka my avator so that u can like me as well. Ngoja natake a gud luk ya binti2013hahaahahaaa mmenichekesha wewe na House Wife , anasema ukweli mie mke wa mtu bana tena husbandito yuko humuhumu achilia Yahaya ambaye alinikimbia now anajirudi na mie nimechunia as watu waliniambia nitapeli so nimemfungia vioo.
Hiyo smile nilizaliwa nayo kama binti2013 she is so cute, mie napenda sana watu wanaotabasamu.