IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 547
Mzazi anayepeleka mambo ya chumbani sebuleni au nje huyoo hafai kuitwa mzazi ila atakuwa mzaaa
Mzazi huyo atakuwa ni kama tu mbuzi mwenye mzuzu mwenye kupenda mzozo pengine kutokana na kukosa mzizi imara wa kimaadili katika makuzi yake.Mzazi anayepeleka mambo ya chumbani sebuleni au nje huyoo hafai kuitwa mzazi ila atakuwa mzaaa