Wazo Korofishi: Magufuli Amuondoe Makonda Aende akawe Mwinjilisti!

Mlivyojaa Roho za chuki kwa Makonda, Hata kuandika mnashindwa
Mkuu wewe ukiona neno Makonda hata kusoma Maelezo husomi, Unaanza kuflow chorus ya Chuki na Roho mbaya

Vaa barakashia kanisani kama barakashia haina dini
Wewe huna lolote zaidi ya roho mbaya na chuki, mnajitakia magonjwa mengine wenyewe hasa presha
Kwanini usilale upumzishe akili?

Waraka namba 3 wa mwongozo wa mavazi wa mwaka 2007 unawataka wafanyakazi wote wa ofisi za umma na wananchi wote kutokuvaa mavazi yafuatayo:-

-Jeans
-Nguo zenye maandishi yoyote
-Nguo zinazobana mwili wako
-Nguo zilizo juu ya magoti (sketi/gauni)
-Kaptula
-Pedo
-Jezi za timu za mpira
-Nguo za chama chochote cha siasa
-Suruali ambazo hazijapindwa
-Blauz zinazoacha kifua/mgongo wazi
-Kuvaa mlegezo
 
HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?
Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?

Wale wanaovaa Rozali muda wote mbona hujahoji?
Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi
Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?

Kwa taarifa yako Makonda Yeye sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga

Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo Wengine, Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi

Mbona hujahoji January Makamba kuvaa kanzu wakati anamkabidhi ofisi Simbachawane?

Wewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?

Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima

Kiongozi wewe ni Gifted Fool,
Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani
Barakashia
Kanzu
Ushungi

Huzi ni nguo Tu hazina uhusiano na Imani yoyote Ile.
 
Naona unalia mpaka umetoa kamasi
Tujikite kwenye hii thread.Ulitaka makonda avae suti sokoni?
Umejuaje kama Makonda ni mshirikina kama wewe si mshirikana?
Acha kukariri maisha,kwani akivaa jeans iliopasuka magotini msibani kwa Mengi anavunja sheria gani?
Badala ya kujadili fursa za Sadc,mnajadili fulana ya yesu kuvaliwa

Ni kweli hakuvunja sheria yoyote kuvaa suruali iliyochanika Magotini, lakini ilikuwa ni vazi sahihi kwake kwenye hadhira kama ile hasa ukizingatia nafasi yake kwa umma? Kama vazi sio jambo linalojali hadhira, kamwambie akaogelee ndani ya swimming pool akiwa amevaa suit ya GUCCI au akakimbie marathon akiwa amevaa jeans ama kanzu. Pumbavu kabisa.

Unajadili fursa gani za SADC? Au unadhani ni jumuiya mpya hivyo fursa ndio zitaanza kwenye mkutano huu? Au kwakuwa umetangazwa sana na watu kupata hamasa basi unadhani kuna jipya la ajabu litapatikana kwenye mkutano huo? Kwa taarifa yako, wanaopata fursa ya nchi za SADC bila hata hamasa ya huyo mkuu wa mkoa wataendelea kuzipata.
 
Yaan kumdiscuss mtu kisa mavazi kiukweli naona haijakaa pia, hii ni tanzania bhana dini zote tunazo, ingekya kavaa msikitini sawaaa, ila ni mishe zingine tu haina haja kudiscuss mavazi ya mtu,
 
Maelezo marefu. Ila ngoja kwanza, hivi unaweza vaa baraghAshia kisa baridi? Unazungumzia Makambako ipi?

Jambo la hakika ni kua kuna maeneo kanzu na baraghashia siyo vazi la kidini ni la heshima, mfano Bukoba. Ila kuna mavazi yako Associated na dini, na yatachagizwa mno na jina Au asili ya mhusika.

Makamu wetu kwa namna anavyovaa tunAjua ni kutokana na asili yake na makuzi ya Kiislamu. Mwinyi akivaa baraghashia tutawaza hivyo piA.

Kama Makonda amEwahi kufanya maamuzi ya kiKazi na yakawa influenced na dIni basi hiyo likizo na imhusu. Na hii ndiyo maana halisi ya serikali kukosa dini, kwamba dini haitAathiri utendaji kazi wake.
Huyo jmaaa anaijua baridi ya makambako kweli?? Maana mida hii unajifunika mablanketi kuanzia 2
 
Walimu haturuhusiwi kuvaa mavazi yaliyo nje na maadili ya ualimu tukiwa maeneo ya shule na siku maalumu za kazi, lkn ukiwa nje ya shule na siku ambazo c za kazi kama weekend au holidays unavaa unavyopenda ww
Wakati mwingine kama huna la kuchangia ni bora ukakaa kimya kuliko kutetea upuuzi. Nikupe mfano mrahisi, walimu wa shule hasa wanawake kwenye shule za serikali hawaruhusiwi kuvaa suruali hasa za jeans wakiwa kazini kwani hayo si maadili. Au pata picha unakutana na mwalimu wa umma anafundisha wanafunzi kavaa kaptula au t-shirt iliyokatwa mikono maarufu kama carwash au singland, na ili kunegosha hilo unaloiita ni personal life kalegeza suruali maarufu kama kata K.

Hakuna anayejadili maisha yake binafsi awapo nje ya kazi za serekali, huko hata akitaka atembee uchi nobody cares, bali dressing code uwapo kwenye hadhira ya umma ndio tunayozungumzia hapa.
 
Great Minds Discuss Ideas;

Average Minds Discuss Events;

Small Minds Discuss People

Nmekopi hyo from google. Ila sizan kama ina ukwrli sanaa.
Anyway you have great mind kiukweli.
 
Afu kweli aisee
Mlivyojaa Roho za chuki kwa Makonda, Hata kuandika mnashindwa
Mkuu wewe ukiona neno Makonda hata kusoma Maelezo husomi, Unaanza kuflow chorus ya Chuki na Roho mbaya

Vaa barakashia kanisani kama barakashia haina dini
Wewe huna lolote zaidi ya roho mbaya na chuki, mnajitakia magonjwa mengine wenyewe hasa presha
 
View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )

Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...

Hili ni wazo korofishi tu...
Wewe ndio ulikuwa unaunga mkono mambo haya kwa nguvu kubwa,wameacha kukupa posho umewageuka
 
Naona unalia mpaka umetoa kamasi
Tujikite kwenye hii thread.Ulitaka makonda avae suti sokoni?
Umejuaje kama Makonda ni mshirikina kama wewe si mshirikana?
Acha kukariri maisha,kwani akivaa jeans iliopasuka magotini msibani kwa Mengi anavunja sheria gani?
Badala ya kujadili fursa za Sadc,mnajadili fulana ya yesu kuvaliwa
Tusipojadili haya tutajadiliwa na viongozi wa SADC. Tanzania haina dini iweje gavana ana sala T-shirt ya dini?
 
HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?
Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?

Wale wanaovaa Rozali muda wote mbona hujahoji?
Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi
Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?

Kwa taarifa yako Makonda Yeye sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga

Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo Wengine, Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi

Mbona hujahoji January Makamba kuvaa kanzu wakati anamkabidhi ofisi Simbachawane?

Wewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?

Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima

Kiongozi wewe ni Gifted Fool,
Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani

Umejaribu kulinganisha vitu visivyolinganishika; ni kama umehamaki hivi bila kutulia na kusoma nimesema nini. Ana haki zote za kutangaza na kukiri imani yake. Siyo akiwa kazini.
 
View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )

Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...

Hili ni wazo korofishi tu...
Unalisemeaje lile la baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya kwenda kwenye ziara
za kiserikali huku wamevalia sare za ccm? Watanzania wote si wanaccm peke yao
na wote wanalipa kodi lakini anayelipwa mshahara kwa kodi hizo
anatumia nyenzo za serikali kutangaza chama chake,mbona hujawahi kulijengea hilo hoja?

Nadhani ni sirka yetu kuona mavazi ni jambo binafsi ili mradi hayavunji maadili, tumuachie mvaaji aamue avae nini.
Si mara moja au mara mbili ninamuona Makonda akiwa amevaa Kanzu na baragashia
ikiashiria imani fulani na hakuna aliyewahi kujenga hoja kama hii,Ni vema tukajikita kwenye mambo ya msingi zaidi itapendeza.
 
HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?
Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?

Wale wanaovaa Rozali muda wote mbona hujahoji?
Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi
Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?

Kwa taarifa yako Makonda Yeye sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga

Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo Wengine, Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi

Mbona hujahoji January Makamba kuvaa kanzu wakati anamkabidhi ofisi Simbachawane?

Wewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?

Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima

Kiongozi wewe ni Gifted Fool,
Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani
Gifted Fool?

Wewe huwezi kumuambia Mwanakijiji hivi.

Kiufupi hujaelewa mantiki ya swali la MM.
Go back and read the thread again.

Kiufupi makonda aende kwenye uinjilist
 
View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )

Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...

Hili ni wazo korofishi tu...
Huyu jamaa hajui uongozi kabisa. Imefika wakati anafanya makosa makubwa kama haya lakini watu wanakaa kimya na siyo kwasababu hawajachukizwa na hiko kitendo bali washatambua ana IQ ndogo na siyo kosa lake bali Bwana Mkubwa.
 
Hiyo ndio imani yake kwa mimi sioni ajabu
Ukishakumbatiwa na kristo,lazima matendo,mavazi na maneno yawe kikristo
Ili mradi kuvaa fulana akiwa sokoni hakuharibu kazi zake,basi tuwe wavumilivu kwa imani za wenzetu
Kama kawaida yako, unaunga mkono kila kitu bila kufikiri.
Hakuna mtu anayezuiwa kufuata dini yake, lakini ukiwa kazini tena kazi ya umma lazima uzingatie dress code. Sasa huyu mtu kwa ushamba wake halijui hilo, na kwa sababu ya kubebwa na kudekezwa basi huwa hajali anapokwaza wengine
 
Utetezi wa kijinga sana, ukweli ni kuwa Makonda ni juha/limbukeni asiyejua avae vazi gani kwa hadhira iliyopo. Makonda huyo si alivaa jeans za vijana wa kileo iliyochanika magotini kwenye ibada ya mazishi ya Mengi? Sio mara moja au mbili amevaa t-shirt za kubana na kuacha misuli na kifua chake kuonyesha kilivyo tofauti kabisa na maadili ya kiongozi wa umma, tena huvaa hivyo anapokuwa kwenye shughuli za serikali.

Huyo dogo ni mshirikina sana, ila anavaa vazi hilo na kuigiza ni mcha Mungu ili kujikosha mbele ya umma kwamba ana hofu ya Mungu, jambo ambalo si kweli. Huyo dogo ni mmoja wa watu wanaoendesha siasa za kimafia ndani ya awamu hii. Hii tabia ya kuvaa mavazi yasiyo stahili kwenye hadhira mbali mbali wanayo hata wanaccm wenzake. Sio mara moja au mbili tunaona wanaccm wakivaa mavazi ya chama chao kwenye shughuli za kitaifa kama uzinduzi wa miradi, misiba, michezo nk. Yote haya ni kutokufahamu dressing code ya eneo husika ili kuonyesha misimamo, imani au itikadi zako kwenye hadhira isiyohitaji mavazi hayo.
Umeanza vizuri post yako lakini umeona kama kawaida lazima uiharibu kwa kuitaja chama dola!
 
"tindo, post: 32376159, member: 55693"]Unajadili fursa gani za SADC? Au unadhani ni jumuiya mpya hivyo fursa ndio zitaanza kwenye mkutano huu? Au kwakuwa umetangazwa sana na watu kupata hamasa basi unadhani kuna jipya la ajabu litapatikana kwenye mkutano huo? Kwa taarifa yako, wanaopata fursa ya nchi za SADC bila hata hamasa ya huyo mkuu wa mkoa wataendelea kuzipata.
Mzee Mwanajiji niwie radhi kidogo, nitachepuka kushadidia hoja ya Tindo. Hii habari ya fursa za SADC sijui inatoka wapi na ina mantiki gani.
Wanaokuja ni viongozi ambao Raia wa kawaida hana mawasiliano nao.
Ni ujuha kudhani kuna mtanzania wa kawaida atapata fursa

Labda kabombe atueleweshe ni fursa gani anazotaka watu wachangamkie?
Kama hana jibu atuache tujadili mada husika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom