Wazo Korofishi: Magufuli Amuondoe Makonda Aende akawe Mwinjilisti!

Wengine wanawaangalia viongozi wa sino kama wa kisiasa na wale wakisiasa kama wa kidini. Matokeo yake hata viongozi wenyewe wanachanganyikiwa. Makonda ana haki ya kutangaza Imani take mahali popote na kwa yeyote isipokuwa wakati wa kazi za umma au akifanya shughuli za kazi take ya uRC. Halipwi mshahara na Watanzania kwenda kutangaza Injili.
 
View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )

Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...

Hili ni wazo korofishi tu...
walah MAGUFULI hawezi kumfuta kazi makonda. huyu bwana ameshafanya mengi ya hovyo anzia kwenye kuvamia studio, kuwa na vyeti vyenye utata na yote ya kijinga
Huhitaji kuwa hata na elimu ya cheti kujua kwamba MAKONDA HAJASOMA AKAELIMIKA
 
View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )

Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...

Hili ni wazo korofishi tu...
Wewe ni Mpumbavu na mpuuzi wa kidini.
 
Maneno ndiyo yaliyosisitizwa. Mavazi hayana maneno
HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?
Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?

Wale wanaovaa Rozali muda wote mbona hujahoji?
Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi
Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?

Kwa taarifa yako Makonda Yeye sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga

Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo Wengine, Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi

Mbona hujahoji January Makamba kuvaa kanzu wakati anamkabidhi ofisi Simbachawane?

Wewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?

Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima

Kiongozi wewe ni Gifted Fool,
Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani
 
Kama haziusiani na dini , je mwanamke wa kiislam anaweza kufanya ibada au kuingia msikitini bila ushungi?
Ndio! iwapo atastiri mwili wake kwa mujibu wa taratibu za swala kwa mwanamke.
 
View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )

Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...

Hili ni wazo korofishi tu...
Neno linaenda kutimia?
 
Mzee wangu Mwanakijiji, Heshima kwako.

Nimependezwa na bandiko lako kwakua linasimama kama tafsiri ya mipaka ya DINI na SIASA na sio wale walio fyatuka kwa Tanzia ya Maruhum Hayat Benjamin Mkapa iliyoandikwa na aliyekua Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhan Dau.

Ahsante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom