Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

Tuseme ukweli tu...

Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
wanatupa hasara wananchi kwa kuchezea pesa kwa makusudi....mzigo mkubwa wa tozo uende kwa mpiga kura
 
Hilo haiwezekani. Sirro aliteuliwa kwa ajili ya kuuwa na kutesa watu.
Alipoteuliwa tu TL alishambuliwa kama ambazo mchana kweupe.
Unaikumbuka ile ," I wish I could be IGP"
Raisi miovu yule

wa ovyo ovyo alishafika mahali alikwama akabaki ukali kuua,kuteka,kutisha.....Mungu atuondolee haraka hawa
 
Tuseme ukweli tu...

Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
Mzee ... iache mahakama ifanye kazi yake.
 
Tuseme ukweli tu...

Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
Ikubali isikubali imeshakula loss
 
kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
Watch your English please! Unawaangusha walimu wako wa SoMo la kiingereza! Ikikupendeza tumia kiswahili TU kuwasiliana!
 
Kingereza nilikuwa napata 96+ nikitokea kidumu fagio.
Naamini wewe ni zao la shule ya kata.
 
Ati 96+ Kisha unaandika broken English vile! Haiyumkini ulisoma shule moja na magu! Unajisikiaje Sasa kipanga wa kidumu, fagio, jembe na Kuni za mwalimu?
 
Tuseme ukweli tu...

Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.

Watu watacheka lakini wataheshimu..
Polisi wana utaalam wa kuchunguza kwa kuning'iniza watuhumiwa popo style.
Mafunzo wanapata CCP Moshi.
 
Back
Top Bottom