TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Una akili sana wewe, umeconnect dots vizuri, nawaona wale wote waliokua na mawasiliano na HP wanapata kitu na box. Na huko HP alikofichwa anawataja wote. rip
Ni wapumbavu sisi kila siku hapa tunamdai Polepole wao wako kimya bado Majaliwa Mkuchika
 
Walisema wata clean team Mwendazake ndio wanachokifanya kama vile wao wataishi milele sema ipo siku.
Sawa wanaweza kuclean kwa sasa, lakini wajue tu watu wanapona maumivu ya 29 October, lakini ipo siku moto utawaka na hakuna atakaeweza kuuzima tena. Hawa Gen Z sio sawa na kizazi cha mwaka 47 kilicho madarakani.
 
Part of the decay confronting Tanzania..

Spent his entire life feeding on the rotten system with little/nothing to show for his nation!

Little sympathy for such individuals.
 
Hatari Sana ,Ni Kazeze ,Ni Kazeze ,Ni kazeze ,132 KVA ni hatari ,wakati wa kujilinda sasa uktakoma utaenya na kithaa thaa.
Hivi mke wake bado ana duka la furniture pale palm village mikocheni
Nakumbuka wakati harrier sahv mnaziita anaconda mama alivuta ile rangi nyeupe brand new,kipindi hicho bei aliyoivuta alinambia dah ilikuwa above 100m eti sahv kila mtu hko ana miliki
Kuhusu kva megawat kwani yule mzee alikuwa na mambo mengi mbona alikuwa mkimya mgwasu
Mkuu

Ova
 
Katika nchi ya utawala uliobatilika vifo kama hivi havishangazi maana kila mmoja anamuwinda mwenzake, hakuna aliye salama
 
Wewe wasema, kila nafsi itaonja maiti. Hata wewe kwangu mimi ni kaffir tu nakuona takataka kabisa.

Sasa makafir mkiitwa neno kafir mnakasirika nini??

Kafiri maana yake ni mtu anaekufuru
.kukufuru ni kitendo cha kusema yesu ni mungu,au maria mtakatifu ni mama wa mungu,yaani mungu anae mama yake.

Hali ya kuwa sifa za mungu ni kwamba hajazaa wala hajazaliwa na hana anaefanana nae.,kinyume na hapo ni kukufuru na kisha unakuwa kafiri....

Umeelewa sasa kafiri??
 
Watu wa karibu na Nchimbi wanazidi kupukutika.

Mimi huwa siamini sana maneno ya mitandaoni ila wakati mwingine ukiona 1+1 =2 unaanza kujiuliza maswali
 
Watu wa karibu na Nchimbi wanazidi kupukutika.

Mimi huwa siamini sana maneno ya mitandaoni ila wakati mwingine ukiona 1+1 =2 unaanza kujiuliza maswali

Nenda basi kashitaki kwa Pengo ,aah nilisahau kumbe hatunae...nenda kashitaki kwa kitima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…