Waziri wa Utumishi, mulika idara ya Utumishi wa umma makao makuu.

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,983
5,051
Kuna watu wako pale wanajiita wao ndio system. wanazuia watumishi wapya kuingizwa kwenye payroll ya serikali wakisingizia waliajiriwa huko nyuma bila kufuatilia vyeti vyao.
wakiona tu majina mawili yanafanana wanakuja tu na jibu la kwamba 'huyu alishaajiriwa', ndio wamefunga ukurasa.

hawajisogezi hata kufuatilia kama watu hao vyeti vyao vinafanana, miaka ya kuzaliwa na shule walizosoma.
kibaya zaidi hata mtu ukifuatilia na kuwapelekea vyeti vyako wanakuacha na masekretary wakujibu wanavyojisikia.

hivi watanzania wangapi wana majina sawa?? mf Ally Juma??
kama hawafuatilii vyeti vinavyotumwa huwa wanaomba vya nini??
na kwa nini mtu anayehitaji technical answers wawaachie secretaries ndio wawajibu!
Tunaomba waziri alifanyie kazi hili, maana kuna watu wanacheleweshwa kuingia kwenye payroll na wengine kutothibitishwa kabisa kazini sababu ya watu wachache waliozoea kufanya kazi kwa mazoea.
hiyo system wanayoisingizia inaingizwa taarifa na wanadamu.
ni binadamu pia anaweza kuingizwa kitu sahihi
 
Mbunge wa jimbo la Kigoma
mjini, Zitto Kabwe akihoji
kuhusu kutoonekana kwa
fedha kiasi cha Sh50milioni
kwenye vitabu vya bajeti ofisi
ya Waziri Mkuu, fedha hizo
zinatarajiwa kutolewa kwa
kila kijiji nchini, . hata hivyo
Naibu Spika wa Bunge Dk
Tulia Ackson amemtaka awe
na subira —
 
Back
Top Bottom