Waziri wa Teknolojia Makame Mbarawa: ''Simu zote Tanzania zina internet''

Kuna haja ya kutofautisha nafasi za mawaziri na wabunge.Wanahitaji kufanyiwa usaili kabla ya kuteuliwa,tatizo letu nafasi zote watu wanachaguliwa kisiasa.What do you expect.
 
Nimegundua huyu waziri HAELEWI tofauti kati ya "INTERNET", na NETWORK. Huyu waziri me nilishamcheki muda mrefu ni kilaza ktk masuala ya Technology
Mkuu uko sahihi kabisa, jamaa hajui kitu kazi kuingiza mikono mifukoni. Naibu wake mwelewa mno, huyu anajua injini za ngalawa tu
 
Nimegundua huyu waziri HAELEWI tofauti kati ya "INTERNET", na NETWORK. Huyu waziri me nilishamcheki muda mrefu ni kilaza ktk masuala ya Technology
Ni waziri gani ambae sio kilaza? wanatia aibu sana kwa watoto wao
 
Labda alitaka kumaanisha simu nyingi hivi sasa za kichina waweza acces internet.
 
Back
Top Bottom