Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,609
- 8,736
Hawa watu ukiwatafakari utashangaa au kujiuliza sababu ya kuona manufaa upande Fulani.
Ni kwamba ndege bara hapa JK Zina ingia baada la lisaa kimoja kuliko ZNZ.
Usishangae hata Ili la bandari bado Lina maswali.
Ni kwamba waziri mbarawa kaona ni Bora kutuonesha hapa bara sio Bora.
---
"Customer Service bado na itaendelea kuwa hivyo kwa sababu moja tu demand ya watu tunaowahudumia sasa ni tofauti na mimi, vijana hawa wa dot com wanahitaji huduma ya leo ilikuwa ipatikane jana, wanataka kusikia mambo ya leo leo"
"Vijana hawa wanataka ndege ikichelewa leo uwe umempa taarifa tokea juzi hivi ndiyo inavyotakiwa, ndege inaweza kuchelewa lakini ni jinsi gani unamueleza mteja wako hiyo ni muhimu hasa wateja hawa (vijana)" - Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Uchukuzi.
Ni kwamba ndege bara hapa JK Zina ingia baada la lisaa kimoja kuliko ZNZ.
Usishangae hata Ili la bandari bado Lina maswali.
Ni kwamba waziri mbarawa kaona ni Bora kutuonesha hapa bara sio Bora.
---
"Airpot duniani kila baada ya dakika tano kuna ndege, Dar es salaam unaweza kukaa saa nzima hujaona ndege, kwa mtu wa kawaida unaona ile anga haijajaa na kawaida inaweza kuwa kila dakika tano unaona ndege, katika Tanzania Airpot ambayo iko busy ni Zanzibar siyo Dar es salaam, Zanzibar miruko ni mingi kuliko na yenyewe haijaja" - Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Uchukuzi."Customer Service bado na itaendelea kuwa hivyo kwa sababu moja tu demand ya watu tunaowahudumia sasa ni tofauti na mimi, vijana hawa wa dot com wanahitaji huduma ya leo ilikuwa ipatikane jana, wanataka kusikia mambo ya leo leo"