Mtu anachaguliwa ubunge mchana kua mbunge jioni anateuliwa kua waziri tena kwenye wizara nyeti duhu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ulitaka iweje ndugu yangu!Mtu anachaguliwa ubunge mchana kua mbunge jioni anateuliwa kua waziri tena kwenye wizara nyeti duhu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hata nundu ilikua straigh na kidume........ look at what happened to him, he is not a thief or corrupt, be he failed the accoutability examProf. Muhongo ni dume, he is always straight foward.
Ila kwenye ulaji kama ule sishangai nikisikia amepakatwa vema na wapakataji.
Guy from Mara kizazi cha Mwalimu Nyerere,mwana CCM safi ila pia anaishi south africa sjui kama karudi hm tyr
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?[/QUOTMimi naamini kwamba serikali yeyote inayoongozwa na CCM haina nia ya kweli ya kuwatumikia wananchi.Hii imethihirishwa na lugha aliyokuwa anatumia Kikwete katika kutangaza baraza lake la mawaziri.Maneno kama fitina,uchongezi,maonezi, yalisikika katika hotuba yake.Hii ina maana gani,kwamba mawaziri husika hawakuwa na matatizo ila walichongewa chongewa tu.Kwakweli ilionyesha wazi kwamba hakuridhia mabadiliko hayo,isipokuwa aliyafanya out of pressure ya wananchi na wabunge.As we go along haya yatadhihirika wazi.Frankly sikuona nia ya ndani ya kurekebisha mambo katika mabadiliko aliyoyafanya.Ilikuwa nafasi nzuri ya kuwatoa watu kama Matayo na Wasira na wengine wabovu lakini hakufanya hivyo.Sijui mtu huyu anamtumikia nani.Kama kweli Mulongo ni mtu makini asingekubali kuingia kuingia katika serikali ya Kikwete ambayo it's so tainted and lacks credibility.To me he is just an opportunist.