Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo agoma kusafiri kisa hana First Class ticket

Ana haki. Tena namwomba asiamke asubuhi amkute huyo PS wake pale ofisini. Awe ameshakusanya kila kilicho chake aende makwao.
Prof. Muhongo ni mtu wa maana sana TZ. Ameombwa aje kushika wadhifa huo, yeye ana ofisi kulee Sauzi, we unampakia class gani eti. Sijui economy, economy gani wakati anaponda zake za mwisho wa Maccm? Unafikiri hajui ni za mwisho mwisho hizo?
Pengine alikuwa anaenda kuusaini mkataba wa vitalu kama 10 hivi kwa kabaila mmoja hukoo ni shs ngapi ataleta hazina. Pole sana Prof. Naomba tuwie radhi sisi tunaokaa huku uswazi tupe tu kaumeme kidogo kwa hisani yako. Hatujamtuma huyo PS wako akosee namna hiyo. Tusaidie tu baba sie Matonya wa huku uswazi tupate tone la umeme. Leo nakupa B/up Mhishimiwa, yule mgawaji kasahau huku kwetu hajakata tangu asubuhi. Huenda alifikiri ulisafiri.
MaSii sii eem Hoyeee 2015 is just very near. Mtayalamba matapishi yenu kwenye sanduku la kura tu
Kule sauzi mkataba uliisha long,alirudi kushika chaki UDSM,baadae kikwete akamteua
 
Kule sauzi mkataba uliisha long,alirudi kushika chaki UDSM,baadae kikwete akamteua

May be I misquoted him. Mara ya mwisho nilimsikia akijigamba kuwa ana kazi kuubwa analipwa kimataifa kumbe ni mshika chaki. Kaazi kweli kweli mbona majanga haya? Sasa anaringia nini jamani? JK akikasirika mbona hata Dar Prof. utaiona chungu? Basi afyate mkia apokee anachopata cause a beger is not a chooser.
 
Lakini ungetuambia alilipia/alilipiwa class gani. Kama alilipiwa class ya juu kuliko ile ambayo wahudumu wa ndege wanamwonesha, naamini anayo haki ya "kulalamika"! Labda issue iwe ni namna ya "kulalamika"!

hakuna sehemu unalipia first unapewa business class mkuu
 
aibu sana kwa mh. Kutaka kuspend kiasi hicho wakati huku tunateseka na lim'galo lisilo na kichwa wala miguuu.... Sijui aliyekuchagua kuwa waziri alikuwa anawaza nini..... Shame on u

infact huyu bwanaata ecnomy class hafaai kukaaakuneku na class kwenye mabawatungemwka kule aakacheze na birds
 
kule sauzi mkataba uliisha long,alirudi kushika chaki udsm,baadae kikwete akamteua

afadhali umemjibu niligopa nejibu ningeonekana vingine ..mkuu huyu katokea kwenye chaki chakina wala usimwogope ana kama alikuwaakikutoa ko sauz si mbaya kampa 5..maana akusaidiaekwa dhiki ndie.....
 
jina lake tu utata kati ya awamu zote za uongozi nadhani hii inaongozwa na kondoo wale blackhead duh!
 
Kwanza alistahili kupanda daraja la 3 kutokana na adha tunayoipata ya umeme.
Hivi kuna tofauti kubwa kiasi gani kati ya economy na business class au ni ile space na seat kubwa na special treatment?. Kufika mnafika sawa mkitiswa kwenye turbulence air mnatikiswa wote, ndege ikianguka mnapata madhara wote. Mi naona tu kuna ulimbukeni uliopitiliza kwa huyu waziri mshamba wa nishati na madini!!
 
Ni sawa. Kama lilipia business class ilikuwaje alalamike tena?


hicho ndicho tunachojiuliza mkuuu
Kamawwaziri ananbeba tkt mpaka uwanjani ajui yuko class gani na kuja kushangaza watu uwanjani
huoni hii ni aibu kwa taifa ........huu naona enzi zake za shule alikuwa mdesaji mzuri sana sana
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hakia mungu kweli hii nchi inatia aibu
wakati waziri wa uingereza akikata first class anaeleza sababu maalumu
huku leo kimetokea kituko

waziri wenu wa nishati ambae anazidi kutulaza na joto na giza leo amewaacha hoi
watanzania pale alipofika mpaka airport na akiwa anaboard akakuta anawekwa
sehemu ya bussiness pax....baada ya kuwaambia HAyuko first class akagoma na kutoka nje ya mlango
wakati hayo yakiendelea kumbe ana umati wa wenzake zaidi ya 9 wako economy na wawili
bussiness class ...gafla nao wakaanza kushuka

hapo ndipo hekima za mmoja wa wahusika wa airline akamwomba hao waende
then ye akabadilishe aje keshoo

jamani kweliii kweliii first class inakushushia aibu hivi prof
na bado unasema maisha

inaonekana zile buti za bora ulizivalia ukiwa form 5 haya ndio madhara yake mnapewa vyeoo wakati maisha yalishawapiga mnatafuta muafaka na yesu mkiwa madarakani

embu kuweni wastaarabu bana ...sasa wale watu 9 ulitaka kuwashusha kwa nini
na kama wamekwenda ulishindwa kuwambia wabaki mpaka mkaanza kuleta aibu uwanjani

2.inaonekena ndege m meanza kupanda uzeeni
najiuliza kivipi unaletewa tkt hata kama na travel agency alafu unashindwa kuuliza ama kukagua
mpaka unaenda uwanjani...unapewa bpass bado unashindwa kukagua ipi bussiness class bp..ipi first class loh so bad

loh

Ningekuwa rais wake ningemfukuza kazi. Hakuteuliwa kwa ajili ya kusafiri na first class. sisi Watanzania wengine tunakaa kwenye giza yeye anagoma kusafiri na business class? na humo ndani ya ndege angekuta kuna giza, angegoma kusafiri, wakati yeye anajua hatuna umeme?
 
SAFI SANA...wewe ndio LA PROFESELI wa NGUVU hata ningekuwa mimi nisingepanda yaani nchi ilivyokuwa tajiri hivi afu mi waziri nipande kadaraja kawauza mitumba..------- nyie mnataka WAZIRI MUONGO afike anakokwenda akiwa amechoka nasikia ndege yenyewe viti vyake vimekaa kama vile vya CHAI MAHARAGE.Mpeni LA PROFESELI anachotaka labda anaweza pata akili nzuri ya kufikiri kwenye kale kamuhogo ketu ka NTWARA.
 
Back
Top Bottom