Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kuanzia May 24, nafasi yake itajazwa baadae.

IMG_6935.JPG


======
Hapa chini ni barua ya Prof. Muhongo kuomba kuachia ngazi
index.jpeg
 
Ukiwa unaongoza sehemu kuna mengi sana sana

Tabu ya nchini hapa ni kwamba wengi hawana maujuzi ya uongozi, nafikiri kwa walioongoza kwa miaka mingi wanakumbwa na mazoea ya awamu zilizopita... kila kitu kilienda... naona nisije nikaandika somo juu ya uongozi na ya kuhakikisha yawepo...

Ila aliona mwenzake kaondolewa mwezi March, kama waziri inaelekea alikaaa tu walahakuguswa na sababu...

Kuna video niliona juzi juzi akiwa jimboni kwake, maneno aliyoyasema yalinipa maswali mengi... sikuamini kiongozi niseme mbunge wao aliongea yale..ilitia aibu... na kusikitisha sanaaa sanaaa ilikuwa juu ya wanafunzi wa shule jimboni kwake jinsi wanavyosema... sikumjua simfatuliagi. Siju hiyo nilimshusha sana sana..ilitoka kwa taarifa ya habari hara youtube ipo ...hapana aende tu jimboni sasa akafanye kazi...ila mmmh hivi alichafuliwa nao au!?

Hapa kazi tu

Magufuli 2020
 
Back
Top Bottom