Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo agoma kusafiri kisa hana First Class ticket

Waziri mmoja wa nishati na madini nilimshuhudia akikataa kubodi ndege ya precision air kipindi cha nyuma eti anataka boeing. hataki ile ilokuwepo. wakat ule boeing ilikua matengenezo. akaahirisha kabisa safari. Ni waziri ambaye naipenda simba sc
 
Siku moja niliwahi kusafiri na Mtanzania mmoja maarufu hapa Tanzania na duniani akitoka kwenye majukumu makubwa na tulivyoingia ndani ya ndege nikagundua pia kuwa kulikuwa na mfanyabiashara maarufu ambaye amaeajiri maelfu ya watu na kuna tetesi kuwa anamiliki ndege yake wote tukiwa economy class. Kilichonishangaza ni kumuona Mh. Dr. Kawambwa akija na ndege ya kukodi kisha kushukia lounge ya VIP na baada ya kumfikisha tukapanda huku akijibanza business class. Tangu wakati huo ndio nikagundua moja ya vyanzo vya umasikini wetu lakini kwa hili la ulilolileta itakuwa ni mbaya zaidi.
 
Miaka ya 90 nilikuwa Uk wakati huo Mke wa waziri mkuu Tony Blair alipanda british train asubuhi akielekea kazini kwake yeye ni mwanasheria bahati mbaya hakutaka kuikosa trian akaingia bila kukata ticket ndani ya train akakutana na inspector nakwambia alimkatia fine na ilitoka katika magazeti mke wa waziri mkuu apigwa fine akutwa hana ticket huyo ni mke wa waziri mkuu nchi zilozoendelea hapa kwetu waziri wa wizara agoma kupanda 1st class na ni nchi yenye shida kila nyanja kazi kweli kweli
 
kama hii ni kweli tunatakiwa tuwe na sheria ya kuwaongoza hawa wehu.

haiwezekani akafanya hivyo. Huyu muhongo jina lake hasa ni mwijarubi, amesoma mennonite primary school sasa inaitwa mwembeni, musoma mjini. Aliferi darasa la nne. Alikuwa anakaa mtaa wa mwigobhero, mtaa wa kawawa kwenye nyumba ya matope bila sakafu, kama leo amefanya hivyo, kweli binadamu ni kiumbe wa ajabu sana. Mungu wangu amzidishie lakini akumbuke nyumbani kwake ni kwenye udongo ndiko ataishi milele.
 
haiwezekani akafanya hivyo. Huyu muhongo jina lake hasa ni mwijarubi, amesoma mennonite primary school sasa inaitwa mwembeni, musoma mjini. Aliferi darasa la nne. Alikuwa anakaa mtaa wa mwigobhero, mtaa wa kawawa kwenye nyumba ya matope bila sakafu, kama leo amefanya hivyo, kweli binadamu ni kiumbe wa ajabu sana. Mungu wangu amzidishie lakini akumbuke nyumbani kwake ni kwenye udongo ndiko ataishi milele.

mmmmhhhh!!!!!!!!!!!
 
Jana kwenye taarifa ya habar ya itv niliona shule iliyo kati kati ya msitu huku ikiwa na madarasa mawil na wanafunz wengne walobak usoma chini ya mti tena ulofungwa mbao mbil zikitumika kama ubao.
sasa ye anahairisha safar kisa daraja la ndege alokatiwa alipend,VIONGOZ WA NAMNA HII NDIO WANALICHIMBIA KABUR CCm.Sometime najisikia vibaya kuitwa mtanzania.Bora tungelipitisha jina la waswahil ndiyo liwe jina la nnch yetu.Maana tabia ya huyo wazir aloinyesha inafanana na methal ya mswahil akipata hata ------ ulia ..
 
Back
Top Bottom