lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,447
Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji.
Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?
Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba amfukuze kazi mkuu wa Dawasa Kimara kuna michezo michafu anaifanya.
Waziri aende pale atangaze mitaani watu ambao wamefanya malipo lakini hawajaunganishiwa maji. Kuna watu wana mpaka miezi 5 tangu walipe kuunganishiwa maji lakini hawajaunganishiwa. Wanataka uwape rushwa ndio Waje kukuungia.
Dawasa Kimara msidhani kila raia ni wapuuzi kaeni mkijua ukiona raia haongei kwa upuuzi mnaofanya msijione washindi. Mkiona Kobe kainama jua anatunga sheria.
Dawa yenu inakuja.