Waziri wa Maji mulika michezo michafu DAWASCO Kimara

lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,911
5,444
Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji.

Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?

Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba amfukuze kazi mkuu wa Dawasa Kimara kuna michezo michafu anaifanya.

Waziri aende pale atangaze mitaani watu ambao wamefanya malipo lakini hawajaunganishiwa maji. Kuna watu wana mpaka miezi 5 tangu walipe kuunganishiwa maji lakini hawajaunganishiwa. Wanataka uwape rushwa ndio Waje kukuungia.

Dawasa Kimara msidhani kila raia ni wapuuzi kaeni mkijua ukiona raia haongei kwa upuuzi mnaofanya msijione washindi. Mkiona Kobe kainama jua anatunga sheria.

Dawa yenu inakuja.
 
Kimara kunanshida aisee waziri akatimue watu wazembe pale maana haya malalamiko kuhusu kimara yamezidi.
 
Nilifuatiliaga kuunga maji kupitia Dawasco kimara nikachemsha, namshukuru Magu nikaunga kupitia wilaya ya ilala
 
Matatizo ya sisi wabongo yanashangaza sana karne ya 21 watu tunaongelea shida ya maji.
 
Na hili la kuchimba hapa barabara ya kimara matosa mpaka leo wameacha ivo ivo watu na magari yanapata shida kupita foleni
 
Mwenye Mawasiliano na ofisi ya mbunge wa Ubungo, Waziri aweso na Takukuru Ubungo naomba unipatie.

ASANTE.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
IMG_3435.jpg

Na haya Ndo maji yanayotoka bombani!

Hivi kweli jamani DAWASA wana shida gani?!!
 
Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji.

Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?

Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba amfukuze kazi mkuu wa Dawasa Kimara kuna michezo michafu anaifanya.

Waziri aende pale atangaze mitaani watu ambao wamefanya malipo lakini hawajaunganishiwa maji. Kuna watu wana mpaka miezi 5 tangu walipe kuunganishiwa maji lakini hawajaunganishiwa. Wanataka uwape rushwa ndio Waje kukuungia.

Dawasa Kimara msidhani kila raia ni wapuuzi kaeni mkijua ukiona raia haongei kwa upuuzi mnaofanya msijione washindi. Mkiona Kobe kainama jua anatunga sheria.

Dawa yenu inakuja.
Huko kimara mna DAWASCO?
 
Vuta subira MWANANCHI, mwezi tu unalalamika,wakati umekaa miezi bila maji,
 
Shwaini wewe unadhani kila anaeunga maji Hana maji kwake.

Watu wanafanya ujenzi huko. Watu wamefungua maeneo ya biashara wanaunga maji halafu unaleta ujinga wako hapa.

Endelea kukaa kwa shemeji yako.
 
Nadhani watakua changamoto kidogo. Mi haikupita hata wiki nikapata maji ingawa to be honest nilitoa kitu kidogo maana nilikua na haraka ya kuamia
 
Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji.

Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?

Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba amfukuze kazi mkuu wa Dawasa Kimara kuna michezo michafu anaifanya.

Waziri aende pale atangaze mitaani watu ambao wamefanya malipo lakini hawajaunganishiwa maji. Kuna watu wana mpaka miezi 5 tangu walipe kuunganishiwa maji lakini hawajaunganishiwa. Wanataka uwape rushwa ndio Waje kukuungia.

Dawasa Kimara msidhani kila raia ni wapuuzi kaeni mkijua ukiona raia haongei kwa upuuzi mnaofanya msijione washindi. Mkiona Kobe kainama jua anatunga sheria.

Dawa yenu inakuja.
Mtanyooka tu safari hii
 
mwendazake ...ndiyo hivyo tena hayupo
 
Back
Top Bottom