Waziri wa Maji, Jumaa Aweso fika wilaya ya Chunya, kata ya Makongorosi, kijiji cha Itumbi, wananchi wanakunywa maji yenye sumu ya Mercury

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,043
21,801
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.

Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.

Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.

Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.

Timu ya mawaziri ifike Kijiji hicho wakiwemo, waziri wa afya, waziri wa elimu, waziri wa mazingira , waziri wa ujenzi na waziri wa madini.

Pia soma Mwanachama Peno Hasegawa usipotoshe watu kuhusu kijiji cha Itumbi Chunya
 
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC chunya, DeD chunya,.

Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo , vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.

Kijiji hichobkina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi , kuamini Hana maji na hakuna vyoo.

Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.

Timu ya mawaziri ifike Kijiji hicho wakiwemo, waziri wa afya, waziri wa elimu, waziri wa mazingira , waziri wa ujenzi na waziri wa madini.
Na timu yenyewe ije na majembe na sururu za kuchimbia choo,na hayo maji ya mercury wanayapata wapi? Hivi hata kuchimba choo ni hadi timu ya mawaziri ifunge safari kuja huko? Mawaziri si wangeshakufa kwa uchovu wa kuzunguka nchi nzima kufanya kazi za vyoo tu?
 
Maji ya Mercury wanayapata kwenye mashimo, ambayo yanatokana na uchimbaji wa madini ya dhahabu.
Mercury inatumika kakamatia dhahabu mkuu.
 
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.

Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.

Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.

Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.

Timu ya mawaziri ifike Kijiji hicho wakiwemo, waziri wa afya, waziri wa elimu, waziri wa mazingira , waziri wa ujenzi na waziri wa madini.
Wanachangia mapato makubwa kwa serikali, lakini mapato wanayochangia yanaenda kufanya kazi kwingine
 
Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.
Wanakunya machakani bila kua na Maji hao 10,000 watakua ni Marehemu hapo unazungumzia wafu 10,000 Maji ni Uhai bila Maji wewe ni Marehemu
 
Wewe unaweza kutawaza na Maji ya Sulphur?
Sasa kama wanakunywa watashindwa kutawazia? Kukosa vyoo ni suala linaloashiria ukomavu wa ujima wa jamii za huko.

Madai kuhusu maji safi na salama ya kunywa Lina maana, lkn hili la kukisaidia maporini ni ujima na ujinga.
 
Hawana viongozi kwani huko?
 
Back
Top Bottom