peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,577
- 22,515
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.
Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.
Timu ya mawaziri ifike Kijiji hicho wakiwemo, waziri wa afya, waziri wa elimu, waziri wa mazingira , waziri wa ujenzi na waziri wa madini.
Pia soma Mwanachama Peno Hasegawa usipotoshe watu kuhusu kijiji cha Itumbi Chunya