Waziri wa Kenya alazwa ICU Agha Khan Nairobi

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
luninga ya K24 imeripoti ya kuwa Soita Shitanda kalazwa ICU hospitali ya Agha khan. Kinachomsumbua hakikutajwa........taarifa zaidi tutajulishana mara zitakapopatikana.
 
K24 imewasiliana na Soita Shitanda ambaye kadai yuko kakamega na wala haumwi............kenya is very strange..................sijui taarifa zao huwa wanazikagua kivipi.........na ndiyo mara nyingi tunawashauri waandishi na wahariri kukagua vyanzo vya khabaro vyao..........

tutazidi kupashan khabari kama zitakavyokuwa zikijitokeza kama huyo anayesema haumwi ndiye mwenyewe au la........
 
Back
Top Bottom