Mhe ANGELLA Kairuki ( naibu waziri katiba na sheria) wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk ishu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO WAKO KATIKA MAFUNZO YA KUANDIKA HUKUMU" Tanzania Daima la tarehe 29/11/2012
HIVI KWELI WATU WENYE DEGREE ZA SHERIA MIAKA 4 plus Mafunzo law School mwaka Mzima wanahitaji kufundishwa namna ya kuandika hukumu kweli? hii ni dharau kubwa kwa mahakimu hao pamoja na Vyuo walivyosoma, NA ITABIDI TCU ICHUNGUZE UHALALI WA VYETI VYAO AU Mhe ANGELLA Kairuki apimwe (akili??) kwa sababu haiwezekani hata kama mahakimu hao wangekuwa viraza kiasi gani wafundishwe kuandika hukumu kwa miezi sita sasa na hatujui hayo mafunzo yanaenda hadi lini ( INGAWA UKWELI NI KUWA HAKUNA KITU KAMA MAFUNZO YA KUNDIKA HUKUMU KINACHOENDELEA KWA MAHAKIMU HAO POPOTE NCHINI)
WADAU HII ISSUE NAKOMAA NAYO KWAKUWA WIKI ILOPITA KESI YANGU IMEPIGWA TAREHE HADI MWEZI WA 3 2013 KATKA MAHAKAMA FULANI KISA MAHAKAMA HIYO YA WILAYA INA HAKIMU MMOJA...NA PALE NJE WAPO HAO MAHAKIMU WAKAZI WASIO NA KAZI, NIMEONGEA NA NAO WENGI WANATAMANI KUMUONA ANGELLA (AWAAMBIE KWANINI ANAWADHARAU KIASI HICHO WAKATI WANAJUA MADUDU YAKE WHEN SHE WAS A STATE ATTORNEY MWAKA JUZI TUUU.
Mhe Angella kwa nchi zinazojiheshimu viongozi wa umma huwa hawasemi uongo!!! kama ukuwa na uhakika na sula hili angemuuliza jaji kiongozi
NYIE ENDELEENI KUCHEZEA PESA TUU WAKATI KESI ZETU ZINAPIGWA MA TAREHE MAREFU HUKU VIJANA HAMTAKI KUFANYA KAZI SIKU TUKICHACHAMAA MTAKIMBIA