DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 232
- 653
Umesoma vzr Kweli?Kp hapa umetundisha nn mkuu au ni fumbo ??
yess BiShoo haswaaAaa
Ina maana kwenye zama hizi huenda wakawepo Wateuzi waliorithi tabia za Mobutu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mahojiano maalumu waziri huyo anakili wazi kuwa Rais Mobutu alikuwa akipenda sana kuchukua wake wa wateule wake.
WATEULIWA WANA MENGI MOYONI.
Aliyekuwa WAZIRI wa Habari katika utawala wa Dikteta Mobutu, Mh. Sakombi Inongo siku moja alipewa saa chache abuni kitu ambacho kitamtukuza Rais wake na kumfanya watoto wanaokua kumuona ni MUNGU. Baada ya kutulia ofisini kwake,alikuja na ubunifu wa kipande cha video ambacho kinaonyesha picha ya Rais Mobutu akichomoza katika mawingu. Watoto katika Taifa la Congo waliishi wakijua Rais Mobutu ni MUNGU. Kipande kile cha video kilichezwa kabla ya kurushwa kipindi chochote kwenye luninga.
Waziri huyo ndiyo alihakikisha wasanii wa muziki na makundi mengine wanatunga nyimbo za kumsifia na kumtukuza Rais Dikteta Mobutu muda wote.
......................................................
Cha kumsikitisha WAZIRI huyo ni kwamba Rais wake huyo alikuja kutembea kimapenzi na mkewe. Tangu mkewe anatongozwa alikuwa anajua ila waziri huyo hakuwahi kufumbua mdomo kukalipia au kukemea jambo hilo kwa hofu ya kupoteza maisha yake. Katika mahojiano maalumu waziri huyo anakili wazi kuwa Rais Mobutu alikuwa akipenda sana kuchukua wake wa wateule wake.
.......................................................
Ina maana kwenye zama hizi huenda wakawepo Wateuzi waliorithi tabia za Mobutu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Af we jamaaNahofia Bashite,Kibudi,Kairiku ( balozi) huenda wakawa mfanano wa Waziri wa habari wa Mobutu
Alikua anakula sausages za Ubeligiji zinaletwa na Concorde pamoja na wine na champagne za France. Mshenzi alikula maishaMobutu alifariki baada ya kuugua prostrate cancer. Sina hakika kama maradhi yake yalisababishwa na lifestyle yake
Ajabu sana! Pamoja na ukubwa wa Congo(Zaire) na kua na mamilioni ya watu wenye weledi wa kila aina ikiwemo utajiri wa sayansi ya asili ya kiafrika lakini walimuacha tu aendelee kuwaibia kwa miaka ya kutoshaAlikua anakula sausages za Ubeligiji zinaletwa na Concorde pamoja na wine na champagne za France. Mshenzi alikula maisha
Ile kofia ya ngozi ya chui alikuwa anaivaa ni ya ndumba. Akiivaa ile Wakongoman man wote wanaufyata hizo enzi.A
Ajabu sana! Pamoja na ukubwa wa Congo(Zaire) na kua na mamilioni ya watu wenye weledi wa kila aina ikiwemo utajiri wa sayansi ya asili ya kiafrika lakini walimuacha tu aendelee kuwaibia kwa miaka ya kutosha