Waziri wa Habari alifanya hivi, ili Mobutu aonekane Mungu mtu

Mwisho wake viliisha nguvu akaja kuondolewa madarakani kwa aibu na akaikimbia nchi yake
Alitoa sana makafara ya binadamu, kuna wakati alitakiwa kafara la mabinti Bikira. Alitangaza nchi nzima mabinti bikra waende Ikulu anawapa scholarship France. Walipofika Ikulu aliwapa treat kwenye boat mto Congo. Alizamisha boat nzima.

apumzike anakostahili.
 
Alitoa sana makafara ya binadamu, kuna wakati alitakiwa Jafari la mabinti Bikira. Alitangaza nchi nzima mabinti bikra waende Ikulu anawapa scholarship France. Walipofika Ikulu aliwapa treat kwenye boat mto Congo. Alizamisha boat nzima.

apumzike anakostahili.
Dah! Wakati huo mataifa ya Magharibi yanatazama tu bila angalau hata kumshutumu kwa vile walikua wanafaidika na Congo chini ya Mobutu waliyemuweka wenyewe madarakani. So walikua wanamfumbia macho tu
 
Back
Top Bottom