Waziri wa Fedha Punguza Jazba

Waziri wa Fedha Punguza Jazba

Hela kaficha mwenyewe,kasahau alipoficha,halafu anatulalamikia sisi,baadae,akija kujiangalia mfukoni,lahaula,anayo,atasemaaa alaaaaaa,yaani nimehangaika muda woote kumbe ni Mimi nilipunguza mzunguko wa pesa na nikawa nashangilia watu wanaposema hela imeadimika!!

Unasema unatunyoosha,sasa umeanza kunyooka na wewe pia,makusanyo puuuuu!! Chini, yameshuka,hao watumishi wa TRA wayatolee wapi kama biashara zetu mtaani zimedoda na hicho ndicho mkisikia zimedoda mnagonga chiaz huko kwenye viyoyozi!

Kadri siku zinavyokwenda yanazidi kushuka si wanataka watu waishi kama mashetani. Mashirika yakipunguza wafanyakazi wao wanakenua meno wanafurahia wanajua tunanyooka, makampuni yakifunga kampuni zao na wafanyabiashara wakifunga biashara zao wanafurahia wanajua wanatunyoosha. Wanasahau kua mapato yanapungua maana hata PAYE zinapungua pamoja na kodi mbalimbali
 
Ulitaka asemeje kwa mfano?
Wale si wapo chini ya wizara yake?
Kinachopigiwa kelele ni urasimu
wa watendaji wa TRA. Wafanya biashara
ukiwazingua wanakimbilia bandari za nchi jirani.
Na wewe unabaki na watu wanaohitaji mshahara
bila kukusanya kodi

Kwa nini asifoke?
Angemfokea aliyemteua sababu ndo aliyesababisha mapato kupungua kwa kuwazinguaa wafanya biashara
 
Papara za JPM na kujifanya mjuaji kutaifilisi nchi. Kila siku unaua vyanzo vya mapato alafu unataka mapato yaongezeke si uchizi huo. Wafanya biashara na wawekezaji wakipewa nafasi ya kuiba wataiba hiyo ipo kote duniani. Suluhu sio kuwapiga vita na vitisho vya kishamba, kaa nao meza moja mkubaliane win-win deal. Kisha hakikisha unaziba mianya iliyowawezesha kuiba mwanzo, tena huitaji mbwembwe za kipuuzi za kamati za ajabuajabu na visherehe uchwara pale ikuru kufanya hiyo kazi . Au ndio uwezo wa kushawishi wa watendaji wa sizonje ni zero??
 
Hakuna nchi duniani unaweza kusema 100% hakuna Ufisadi. Kitu kikubwa ni kupunguza Ufisadi, mpe uhuru mfanyakazi kazi wa TRA katika kufanya kazi yake mwekee kiwango cha ukusanyaji mapato bila kumtisha wala kumwingilia kikazi. Neno KUTAIFISHA waache kabisa ukikuta mfanyabiashara amedanganya apigwe faini kazi iendelee. How comes mtu ameleta gari kwa kudangaya kuwa ni mitumba unataifisha kwanini usimpige faini ukampa gari lake, unadai kampuni imekwepa ushuru wa billioni moja kwenye Almasi Kwa uzembe wa watumishi wetu halafu unataifisha Almasi ya bilioni 64.
Wafanyabiashara siku zote huwa wanaleta mizigo kwa kujaribu kutafuta faida sio hasara. Mtu alipe kodi bandarini halafu wakati akiuuza awe na mashine, huko bandarini analipa VAT akiuuza analipa VAT akidai VAT kutoka TRA harudishwi.
 
wale jamaa wameendekeza sana urasimu na umangimeza...nilishangaa Masamaki alishindaje kesi.

Waziri Mpango haukuwa serious ktk kukusanya mapato; ulipaswa kuflash wapokea rushwa wote TRA na kuweka vijana wapya mpaka watu wa usalama.

Watu waliokuwa kwenye payroll ya home shopping mpk leo wamejaa ofisi zote za TRA na home shopping anaendelea na kazi zake km kawaida, unategemea mapato kweli? Hapo bado kampuni nyingne zenye kutumia mbinu za home shopping... ulitakiwa ufanye complete overhaul

na njia ni ndogo tuu, anzia na mali wanazomiliki compare na gross salary zao za 1,800,000...angalia biashara zao na source ya mitaji yao!!

Hao TRA Police n.k wameshakula nyama ya mtu hawawezi acha, fukuza wote tuingie nasisi tuitumikie nchi
 
Kwa kweli sikupendezwa jinsi waziri alivyokuwa akiwatuhumu watumishi wa TRA pale bandarini kuwa kiini cha kushuka mapato ya ukusanyaji za forodha.
Wewe na Phillip Mpango nani mwenye access ya data ya kila kinachofanyika TRA Bandarini?
Sio kila kitu kupinga tu,ukiona amefanya ziara ya kushtukiza ujue kuna tatizo ametonywa.
Siku hizi serikali kuna mambo ya enzi za Nyerere,mkiwa watatu mmoja lazima awe informer,we baki kwenye zama za upigaji.
Waziri wa fedha lazima awe na jazba na wezi kwa sababu tumemkabidhi fuko la hazina,na wezi wote lazima waondoke watawekwa vijana wengine
 
Kwa kauli ya jana ya waziri wa Fedha inatoa picha hii...
1/Makusanyo ya TRA yameshuka sana japokuwa wanajaribu kuficha ukweli huo.

2/Mapato ya bandari yamepungua sana baada ya kupungua kwa watumiaji wa bandari.

3/Bandari ndio nguzo kuu pekee ya uhakika ya mapato ya serikali ya sasa.(Ndio eneo limekuwa na Ziara nyingi za kushtukiza za viongozi wa juu wa serikali ya awamu ya tano)

4/Hali ya kichumi sio nzuri, serikali haina majibu kilichobakia na kila mtu kumtupia mpira mwenzake ili kukwepa lawama.
 
Mipango ameliingiza taifa hasara sasa ameamua kuamishia kesi kwa wafanyakazi wa TRA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna nchi duniani unaweza kusema 100% hakuna Ufisadi. Kitu kikubwa ni kupunguza Ufisadi, mpe uhuru mfanyakazi kazi wa TRA katika kufanya kazi yake mwekee kiwango cha ukusanyaji mapato bila kumtisha wala kumwingilia kikazi. Neno KUTAIFISHA waache kabisa ukikuta mfanyabiashara amedanganya apigwe faini kazi iendelee. How comes mtu ameleta gari kwa kudangaya kuwa ni mitumba unataifisha kwanini usimpige faini ukampa gari lake, unadai kampuni imekwepa ushuru wa billioni moja kwenye Almasi Kwa uzembe wa watumishi wetu halafu unataifisha Almasi ya bilioni 64.
Wafanyabiashara siku zote huwa wanaleta mizigo kwa kujaribu kutafuta faida sio hasara. Mtu alipe kodi bandarini halafu wakati akiuuza awe na mashine, huko bandarini analipa VAT akiuuza analipa VAT akidai VAT kutoka TRA harudishwi.
PUMBA.
Kodi ina sheria zake ambazo hazina kipengele kinachompa uhuru mkusanya kodi afanye atakavyo.
Kila bidhaaa imeelekezwa kodi yake na ujiridhishe kwamba kweli hiyo bidhaa umeiona,sio kufuata maandiko ya muagizaji.
Kukwepa kodi ni kosa la jina,na sheria inataka mali itaifishwe,ni jukumu la mwenye mali kuhakikisha analipa kodi stahiki,huwezi kuandika almasi kilo kumi,badala ya kilo 20,halafu tukuache kisa ni uzembe wa TRA,aliedanganya kuwa almasi ni kilo 10 badala ya 20 ni wewe mwenye almasi,ukamuhonga TRA akubaliane na uongo wako,ndio maana mzigo lazima utaifishwe
 
Jana kwenye taarifa ya habari saa 2 usiku niliona waziri wa fedha alipofanya ziara ya kushutukiza pale bandarini (dhow). Kwa kweli sikupendezwa jinsi waziri alivyokuwa akiwatuhumu watumishi wa TRA pale bandarini kuwa kiini cha kushuka mapato ya ukusanyaji za forodha.
Kwasasa kiuchumi hapa nchini kununua na kuuza bidhaa kumeshuka kwa kiasi kikubwa na hiyo imesababisha uagizaji wa bidhaa kutoka nje kushuka kwa kiasi kikubwa, ndugu waziri kwanza ukiwa waziri wa fedha na uchumi lazima ufanye utafiti nini kilichosababisha katika kipindi chako kama waziri iwe hivyo. Wafanyabiashara biashara wengi kwasasa wamekimbilia kupitisha mizigo Zanzibar kwanini? Unapotoa vitisho utawafukuza watumishi waliopo pale bandarini kwasababu ya kutokusanya kodi utafukuza wangapi?
Lazima Mheshimiwa Waziri ukae na wadau ujue tatizo liko wapi, kwasasa circulation ya pesa hapa nchini ipo chini sana na hilo ndio tatizo kubwa.
Leo ukimwondoa mfanyakazi wa TRA mwenye uzoefu na kumleta mfanyakazi mwingine kutoka chuoni asiye na uzoefu usitegemee kama kutakuwa na mafanikio. Kwasasa watumishi wote waliopo kazini wapo makini sana kwa masuala ya rushwa.
Si ndio anaemshauri vibaya Rais, sasa inaonekana mkulu kamuuliza, mbona njia zote ulizosema tumezifanyia kazi, inakuwaje tena? Sasa nae anataka kuonyesha makucha yake na bado. Tumeongea sana, kuhusu njia korofi wanazotumia kuwashurutisha wafanyabiashara, aaaah wapi!
 
Hapa nasikia kwamba kiwanda cha nyati kipo hatiani kufungiwa mean hakitafanya kazi zaidi ya miezi 2

Kwahyo hesabu hapo wafanyakazi watakaa mtaani

Muhindi akimaindi akisepa ndo mauchumi yanazidi yatazidi kudolola
 
Tatizo: Kushuka kwa ukusanyaji wa mapato.
Chanzo:
1.watumishi wa TRA,
Kwamba watumishi wavivu, hawafanyi kazi kwa weledi au wanawakimbiza wafanyabiashara.
HAHA He knows better than that bhana..
 
PUMBA.
Kodi ina sheria zake ambazo hazina kipengele kinachompa uhuru mkusanya kodi afanye atakavyo.
Kila bidhaaa imeelekezwa kodi yake na ujiridhishe kwamba kweli hiyo bidhaa umeiona,sio kufuata maandiko ya muagizaji.
Kukwepa kodi ni kosa la jina,na sheria inataka mali itaifishwe,ni jukumu la mwenye mali kuhakikisha analipa kodi stahiki,huwezi kuandika almasi kilo kumi,badala ya kilo 20,halafu tukuache kisa ni uzembe wa TRA,aliedanganya kuwa almasi ni kilo 10 badala ya 20 ni wewe mwenye almasi,ukamuhonga TRA akubaliane na uongo wako,ndio maana mzigo lazima utaifishwe
Kaa utafakari na ufikiri why wakati wa serikali awamu ya 3 kulikuwa na mafanikio makubwa ya ukusanyaji wa kodi. Siku zote usimtuhumu kila mfanyabiashara ni mkwepa kodi na kila mfanyakazi wa TRA ni mla rushwa hiyo dhamira mbovu. Mpe mtumishi wa TRA malengo ya ukusanyaji.
 
wale jamaa wameendekeza sana urasimu na umangimeza...nilishangaa Masamaki alishindaje kesi.

Waziri Mpango haukuwa serious ktk kukusanya mapato; ulipaswa kuflash wapokea rushwa wote TRA na kuweka vijana wapya mpaka watu wa usalama.

Watu waliokuwa kwenye payroll ya home shopping mpk leo wamejaa ofisi zote za TRA na home shopping anaendelea na kazi zake km kawaida, unategemea mapato kweli? Hapo bado kampuni nyingne zenye kutumia mbinu za home shopping... ulitakiwa ufanye complete overhaul

na njia ni ndogo tuu, anzia na mali wanazomiliki compare na gross salary zao za 1,800,000...angalia biashara zao na source ya mitaji yao!!

Hao TRA Police n.k wameshakula nyama ya mtu hawawezi acha, fukuza wote tuingie nasisi tuitumikie nchi
Ulitegemea mapato yaongezeke kutoka wapi? Mheshimiwa waziri hajui ya kwamba waliosaini mikataba yote mibovu bado wako serikalini na wengine hata hawaguswi unakuja kukoromea wafanyakazi wa TRA. Serikali ifanye overhaul ya wote waliohusika na kuingia mikataba mibovu yote kuanzia madini, utoaji wa misamaha ya kodi nk. Vita vya uchumi haiwezi kufanikiwa kama watu walewale tunawakumbatia na kuwasingizia wapinzani
 
Mmegoma kulipa madeni ya ndani kwa vile mkiwalipa watanzania wenzenu wataishi kama malaika kwa jasho lao. Mnagoma kuongeza mishahara ambayo ingeongeza purchasing power. Mtapigika sana awamu hii na waziri jipange kumwagwa
 
Ulitaka asemeje kwa mfano?
Wale si wapo chini ya wizara yake?
Kinachopigiwa kelele ni urasimu
wa watendaji wa TRA. Wafanya biashara
ukiwazingua wanakimbilia bandari za nchi jirani.
Na wewe unabaki na watu wanaohitaji mshahara
bila kukusanya kodi

Kwa nini asifoke?
....Good governance siyo kufokea watu but kutoa maelekezo ya kazi na kutoa angalizo hatua za kisheria zinazoweza kuchukuliwa kama mtumishi hatatekeleza wajibu wake. Huwezi kunifokea, kunifukuza kazi kwa uzee wakati retirement age ipo, huwezi kunifukuza kazi eti simply because nimekaa kituoni muda mrefu....
 
Umekosea tu apo the way ulipomwongelea mwanachuo, useless thinking,
....Zamani ukimaliza chuo unafanya kama intern unajua kwa nini? Ofisini kwangu kila mwaka huwa nina hawa intern au volunteers, ambao ni graduate, nimejifunza kwamba ili wafanye kazi zao effectively and efficiently ni lazima wawe chini ya mtu for at least two yrs.
 
Wewe na Phillip Mpango nani mwenye access ya data ya kila kinachofanyika TRA Bandarini?
Sio kila kitu kupinga tu,ukiona amefanya ziara ya kushtukiza ujue kuna tatizo ametonywa.
Siku hizi serikali kuna mambo ya enzi za Nyerere,mkiwa watatu mmoja lazima awe informer,we baki kwenye zama za upigaji.
Waziri wa fedha lazima awe na jazba na wezi kwa sababu tumemkabidhi fuko la hazina,na wezi wote lazima waondoke watawekwa vijana wengine
....Hakuna kitu hapoo, jiulize ile issue ya mita za mafuta imeishia wapi? Mbwembwe zilikuwa nyingii but now? Kuna hatua zozote umesikia zimechkuliwa?
 
Back
Top Bottom