Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
we unaanzaje kumkashifu mwenzako mbona wewe hujapost ya kwako.
hko ni kihere here kweli kwa maana uzi unaozngumzia bajeti upo
we unaanzaje kumkashifu mwenzako mbona wewe hujapost ya kwako.
jisemee wewe mwenyewe, usinisemee na mimi, sina redioTunasikiliza Redio bwana wacha kutusumbua!
endelea mkuu, cc mtwara tunategemea jf tu ili tujuzane
Hata simu zina redio sio lazima uwe home! Mwambie aache kutusumbua!si kila mtu yupo nyumbani au ana acess na radio mkuu...
hujalazimishwa kufungua huu uzi. after law wewe jukwaa lako ni mambo ya kikubwa...unatafuta nini uku?Hata simu zina redio sio lazima uwe home! Mwambie aache kutusumbua!