Waziri wa Fedha, Dr Mgimwa awasilisha Bajeti ya serikali 2013 - 2014

Mafanikio yabajeti ya mwaka jana na changamoto zake, kwa kiasi kikubwa kulikuwa na mafanikio hususan kwenye ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi
 
bajeti iliyopita ilikuwa na mafanikio makubwa na changamoto pia zilikuwepo ambazo kwa bajeti ya mwaka huu kwa kiasi kikubwa yametafutiwa ufumbuzi.
 
Zaidi ya aslimia 70 ya watz wamejikita ktk kilimo na hivyo govt imeendelea na inaendelea kuboresha sekta hyo kwa kuondoa kodi ktk pembejeo, kuboresha masoko na bei, maji, umeme vjjn na kuboresha miundombinu ya roads
 
secta ya kilimo itaweza kutiliwa mkazo zaidi ili kumsaidia mkulima,hii ni pamoja na kuimarisha bei za mazao,kujenga barabara vijijini na kusambaza umeme maeneo ya vijijini.
 
in fact nasubir kwenye scale...blablaa hizi zingine mi haziniingi kabisaaaa. cjui ni pge ya ngapi jamani,mi naendelea kulipa kodi hapa kwa kupata sere ya baridi., sitaki kuitia serikali umaskini.
 
Nahisi Jamaa nataka kutujuza Jinsi serikali ya magamba ilivyojipanga, kwamba mwaka huu wana mambo mazuri, so watanzania mtulie.
 
bajeti ya mwaka huu itazingatia vipaumbele vyote vya serikali ,pia kuzingatia arani ya ccm ya 2010
 
Bajeti ya serikali 03/04 itazingatia progrmza maboresho ktk sekta ya umma, bajeti ya 02/03, ilani uchaguzi ya ccm ya 010
 
pato la serikali limeendelea kupanda kwa asilimia 7,na kupungza mfumuko wa bei.
 
Back
Top Bottom