Waziri wa Fedha, Dr Mgimwa awasilisha Bajeti ya serikali 2013 - 2014

Weka hiyo bajeti hapa tuipitie mkuu,sisi wanywaji tunahamu ya kujua bia zimepandishwa kias gani. UPDATES ni muhimu wengine madishi yetu ni f-6 tulishasahau kama kuna TBC-CCM.
 
kutaimarishwa kwa usimamizi wa fedha za uma kwa kutumia viwango vya kimataifa,
 
Waziri wa fedha dr mgimwa anaendelea kuwasilisha ya serikali bungeni hivi sasa,ameanza na kuzungumzia matumizi yaserikali na utekelezaji wa mipango mbalimbali ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2012/2013, tufuatilie.
 
Amesungumzia uboreshaji wa maslahi ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi mwaka hadi mwaka kea kuzingatia kipato na uwezo wa serikali.
 
idara ya manunuzi kuboreshwa na kufutwa kwa sheria ya manunuzi ya mwaka 2oo4 ambayo haina tija.
 
Back
Top Bottom