Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Mkuu Mchambuzi kwamba ama tupeane darsa kidogo au tukumbushane kwamba unapotaja post No, anza na ile # sign ambayo uki-click moja kwa moja itakupeleka kwenye post kusudiwa....Post #407 , #84 , #184 . Nimelazimika ku-rewrite hapa ili nikipata wasaa nikazitupie macho!

Kwamba mtaficha sura kwa viganja vya mikono ndo iwe ushahidi tosha kwamba mama yetu aenda kujaribiwa, kikwetu hiyo inaitwa hoja lazimishi...na aghalabu, hoja lazimishi zinakuja pale hoja za msingi zinapokuwa hazipo; kwahiyo muhusika atalazimisha hoja hii ama ile alimradi tu kutegeshea na kusikilizia kwa chati kuangalia endapo hii ya sasa itapita!! Mama yetu Saada Mkuya hajapelekwa MoF kujaribiwa but she deserves to be there...lakini kwavile kuna kizazi cha Tomaso cha akina Mchambuzi, JokaKuu, Nguruvi3, basi nyie stahiki ni hadi pale Bwana Yesu atakapowatokea rasmi na kuwaonesha viganja vyake vya mkono huku akiwaambia: :"Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe. Nipapaseni mkanione, maana mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo."

"
kindly back your arguments with proven data.... ni kwanini she deserves to be there? when she was deputy it was sort of OK first to balance the ZNZ role into the ministerial docket, I was kind of hoping she will make full minister albeit unaware of her many shortcomings, its not as if she will be writing any new strategy now that kuna kama miaka 2 tu imebaki, but I doubt if the level of arguing with precision that is crucial to this role ( especially kwenye session za kutembeza bakuli ), I now without doubt fear for our economy, Kikwete economy is worse for 2014 and with her at the helm with her limited experience, skills and exposure, tuombeane salama
 
sad sad sad ! but anyways, she has atleast 2 budget terms before we get rid of these jokers in the name of ministers, I hope constitution review will entail transparent process in further nomination for ministerial position, we can pick a leaf from our Kenyan neighbours:angry:

Ulichosema ni ukweli kabisa, Laiti hii nafasi ya waziri wa fedha ingekuwa based on competitive selection, huyu mama hata kwenye shortlisted candidates asingekuwemo. Hakuna anayekataa elimu aliyonayo, ni ukweli ulio wazi kuwa the position is bigger than her. Na waliomuweka hapo, the best they can say is Tusubiri atuoneshe uwezo wake, as if yuko training session pale. Tulitakiwa tuuone kabla, na tuufahamu. Kama Mh.Kikwete nia yake ilikuwa kuvumbua kipaji, si vibaya angemteua kwa nafasi nyengine zisizokuwa na direct impact kwa taifa zima, sio hii jamani aliyowekwa sasa.
 
Nikiangalia executive role sioni mahali ninapoweza kusema anaweza kusimamia 'Fortune 500' kama alivyosema Kimweri. Nikiangalia uzoefu naona ni miezi 18.
How mbona amuelezei mfanano ukoje, alichoandika kimweri in a fancy language is nothing but a pointless argument. Na kama unaangalia kwa undani si kwamba kamtukana tu yule mama bali wizara nzima ya MoF including all other external economic advisory bodies.

Yaani unataka kusema an organisation even with diverse products or services, demand the same team, strategies, advisers, planning as needed in the ministry. Huko sasa ni kutotambua siasa.

Tuache kutoa mifano bila ya kuitolea ufafanuzi huyo Kimweri mbona ajajibu swali lake suppose atumuelewi si atoe somo.
 
kindly back your arguments with proven data.... ni kwanini she deserves to be there? when she was deputy it was sort of OK first to balance the ZNZ role into the ministerial docket, I was kind of hoping she will make full minister albeit unaware of her many shortcomings, its not as if she will be writing any new strategy now that kuna kama miaka 2 tu imebaki, but I doubt if the level of arguing with precision that is crucial to this role ( especially kwenye session za kutembeza bakuli ), I now without doubt fear for our economy, Kikwete economy is worse for 2014 and with her at the helm with her limited experience, skills and exposure, tuombeane salama
Where would her arguments be weak maana unajua kila kitu apparently, not everything is in watts, megawatts and transformers looked upon with precise calculations (etc to do with electricity), some arguments are just based on the person thinking on what is the best course of action given the facts. Based on that assumption and the economic rationale what deprives a person of making the right calls with those qualification even with the right team.
 
How mbona amuelezei mfanano ukoje, alichoandika kimweri in a fancy language is nothing but a pointless argument. Na kama unaangalia kwa undani si kwamba kamtukana tu yule mama bali wizara nzima ya MoF including all other external economic advisory bodies.

Yaani unataka kusema an organisation even with diverse products or services, demand the same team, strategies, advisers, planning as needed in the ministry. Huko sasa ni kutotambua siasa.

Tuache kutoa mifano bila ya kuitolea ufafanuzi huyo Kimweri mbona ajajibu swali lake suppose atumuelewi si atoe somo.
Happy, hiyo sentensi niliyokazia imeishia njiani, sikuweza kuielewa. Tafadhali nifahamishe ulimaanisha nini?
 
Happy, hiyo sentensi niliyokazia imeishia njiani, sikuweza kuielewa. Tafadhali nifahamishe ulimaanisha nini?
Fortune 500 consists of biggest companies not all concentrate on single product or services for the sake of the aggregated argument lets say even those organisation with diverse products, which require different marketing strategies and a variety of experts in differing divisions of the organisation, with upper hand in the market because of brand reputation (i am giving you a favorable position).

How does running such an organisation is the same thing as running a ministry in terms of skills needed in their teams and what similarity are there between the two, mpaka mfano huu utumike hapa as a benchmark kumfananisha waziri na watu wa huko.
 
kindly back your arguments with proven data.... ni kwanini she deserves to be there? when she was deputy it was sort of OK first to balance the ZNZ role into the ministerial docket, I was kind of hoping she will make full minister albeit unaware of her many shortcomings, its not as if she will be writing any new strategy now that kuna kama miaka 2 tu imebaki, but I doubt if the level of arguing with precision that is crucial to this role ( especially kwenye session za kutembeza bakuli ), I now without doubt fear for our economy, Kikwete economy is worse for 2014 and with her at the helm with her limited experience, skills and exposure, tuombeane salama
Proven data? Which kind of data are you talking about? to say she deserve the post need the proven data than outlining her qualification which ready outlined? The problem with you all guys ni kwamba you're taking ministerial post as consultant post...with weak argument "very big post" "very sensitive minisitry!" Ni wizara gani ambayo sio muhimu?Wizara ya Maji? Wizara ya nishati? Kilimo? This's logical argument! Ikiwa watu wanajikita kwamba our economy was poor cause there's no rainfall in the past year, then mwaka huu ikinyesha, keeping other factors consant, matarajio ni better economy! Pakitokea poor economy again, simple and clear there's a problem somewhere lakini sio mvua! Hili halihitaji kwenda darasanai kulifahamu! Ikiwa kuna mass failure; kisha watu waka-conclude kwamba mass failure imetokana na shule kutokua na vitabu; thereafter vitabu vingi vya kutosha vikaletwa...keeping all other factors constant na bado mass failure ikatokea...it doesn't need PhD to know hapo kuna something else! IKiwa Saada doesn't fit kwa vigezo mnavyotaja; tunatakiwa kuangalia wale ambao wana vigezo mnavyotaka! How do they deliver...nikatoa mfano wa wizara ya elimu; waziri PhD Holder mwenye uzoefu mkubwa sana; Katibu Mkuu Professa mwenye uzoefu mkubwa sana! Baadhi ya Wakurugenzi ni Maprofesa! Hali kama hii ipo pia wizara zingine! If your arguments could be strong enough, huko tungeona expected delivery!! This's not like what Nguruvi3 said kwamba ina maana mgonjwa akipelekwa Muhimbili na asipopona ndio tugeukie Nzasa dispensary!! This's all about people to find a clear problem coz' your supporting materials proved wrong in other areas!!

I'll always repeat this...though education and experience is necessary, but it's not a sufficient condition for better performance. This statement proved right taking ukiangalia kwenye angles zingine. The biggest problem at ministerial level ni uwajibikaji na uadilifu.
 
Last edited by a moderator:
Nilitegemea tungepata maelezo ili U-tomaso ututoke, naona hakuna isipokuwa tunalazimishwa kuambiwa 'she deserves to be there'

Tunaambiwa tusubiri hadi amalize muda wake kwanza ili tuweze kumtathmini.
Kwamba tkjubali operesheni ya tumbo ifanywe na mhasibu kwakuwa mwisho wa operesheni tutajua kama tumepona au la.
Tunaambiwa hata tukifa hakuna shida mbona Havard na Muhimbili wanapasuliwa na kufa?

Hatuonyeshwi track record ya mama Mpendwa.
Nimepitia mahali mara moja kutafuta wasifu wa Benno Ndulu wa BoT, kitu nilichokutana nacho ni jinsi alivyosimamia uanzishwaji wa consortium ya uchumi Afrika.
Ni jinsi alivyoshiriki katika kuamsha uchumi wakati wa Mkapa na jinsi alivyoshihiriki katika mashirika ya kimataifa achilia mbali publications n.k.

Nikiangalia CV ya mama upande wa elimu naona sekondari maana vyuo alificha.
Nikiangalia executive role sioni mahali ninapoweza kusema anaweza kusimamia 'Fortune 500' kama alivyosema Kimweri. Nikiangalia uzoefu naona ni miezi 18.

Naangalia ukubwa wa dude alilobeba na kubaki na utomaso. Mbona size ya mguu wake ni 5 lakini amevaa viatu size 11?

Jamani mimi Tomaso, naomba mnishawishi kwa hoja mama mpendwa ameingia wizara ya fedha akiwa na nini mkononi?

Tunajua akiondoka atakuwa na kitu ambacho ni uwaziri wa fedha, je ameingia na nini kinacholingana au kuzidi atakachoondoka nacho?

Mkuu Nguruvi3, Tomaso haamini hadi aone...tumewaonesha uzoefu na elimu yake lakini mnaona bado hatoshi! Pamoja na kwamba Bwana Yesu aliwahubiria wanafunzi wake kwamba atakufa na baada ya siku tatu atafufuka, bado Tomaso ilikuwa taabu kwake kuamini kwamba aliyepo mbele yake ni Bwana Yesu...Nyinyi kwa level mliyofikia mnahitaji outcome na sio vinginevyo! By the way, hivyo ndivyo ilivyo hapa na pale! Unatuma application pahala, kutokana na CV yako mzuri unaitwa kwa ajili ya usaili na kisha kuajiriwa!! In most cases, hata kama ulienda pale na CV mzuri namna gani, utapewa ama miezi mitatu au sita...wenyewe wanaita probation! Kwahiyo hakuna cha ajabu hapo.

Hoja kwamba hata tukifa hakuna shida mbona hata Havard na Muhimbili wanakufa hiyo naita ni hoja lazimishi ya kutafutia pa kujishikia!Bwana X alipelekwa Muhimbili na kufanyiwa operesheni na Mchina. Mgonjwa akafa...wenye ndugu wakasema amekufa kv macho ya Mchina ni madogo, huyu haoni sawasawa! Baada ya kutokea mgonjwa mwingine kwenye familia ile ile, wakampeleka Havard kwa ajili ya kuyakimbia macho madogo ya Mchina wanayoamin hayaoni vizuri! Huyu wa Havard nae akafa ingawaje alipasuliwa na Mzungu asiye na Macho ya Kichina! Hapa ndipo tunakuja kubaini kwamba tatizo la Muhimbili sio Mchina na macho yake madogo, la hasha manake kama suala ni macho ya Mchina, what about huyu wa Havard! Tutafute tatizo lililopo pale Muhimbili manake imeshaonekana kwamba macho madogo ya Kichina sio tatizo la msingi!

Hilo la Nduru linashabiana na mfaneo huo hapo juu...na kuthibitisha hayo, tangu kutimuliwa kwa Balali, Nduru akawa ndie Gavana! Since Mwinyi Era, this's country had never experienced high inflation kama tulichopata kushuhudia during Ndulu's governance! Tangu nipate akili, BOT had been under very qualified governors....Idrisa Rashid(PhD), David Balal (PhD), Ndulu(PhD). Sitaki kuamini kwamba fiscal and monetary policies za Tanzania ni best zinazofaa kuigwa for the past 25 years ili nishawishike kwamba kwa sababu BOT Governors since then ni watu wenye CV za kutisha!
 
Nadhani umepitiwa kidogo. Wakati wa Mwinyi inflation ilishawahi kufikia 28%.
Unakumbuka akina Bozi boziana na Inde moni watu waliingia kwa 50-100K na zilikuwa nje nje.

Wakati wa Mkapa inflation ilirudi single digit kama ilivyo sasa. Mshauri wa mambo ya fedha na uchumi wakati wa Mkapa alikuwa Ndulu.
Reform zote na ecomic recovery programs zote zilikuwa za Ndulu.
Kama qualification na experience hazina maana, ipo siku tutamsikia Mbunge Lusinde ni waziri wa fedha.

Kwavile kuna probation period and apprentice tutakaa kimya miezi 3 ikiisha ndipo tuseme.
Wenzetu hawasubiri hata kuapishwa, akitajwa tu sifa zinawekwa mezani, hazitoshi jina halirudi.

Kuhusu unyeti wa wizara, nasema kuwa MoF ni wizara kubwa popote katika uso wa dunia hii.
Kuna wizara zisizo na umuhimu.

Sifa za elimu za mama Mpendwa ambazo zilifichwa kwanza, ukosefu wa exposure, na uzoefu hakuna ni tatizo linalomkabili mama.

Hakuna ushahidi kuwa sifa zake za elimu zimewahi kupimwa kwa kiwango chochote au zimewahi kutoa matokeo hata mabovu. Hazipo! utapataje something from nothing.
Tunakuomba NasDaz utuonyeshe huyu mama ana nini mkono!

CV ya kuteuliwa kila sehemu kukiwa hakuna historia ya aina yoyote inatutia matomaso buhuti na kihereko. Inaacha nafsi zetu zikitwita kwa simanzi na kutuacha tukiwa tumetundiwaa kwa mfadhaiko.

Mtu akikuuliza Saada Mkuya ni nani uta summarize nini.

Nguruvi3,
Hilo la wakati wa Mwinyi inflation kufikia 28% ndicho nilichomaanisha labda kama sentensi yangu ina some ambiguity...nimesema since Mwinyi Era, hii nchi haijapata kushuhudia high inflation kama kipindi cha Ndulu...anyway, hii lugha imekuja na meli, wengine tumeisomea shule za uswahilini kwahiyo nilichomaanisha ni kwamba, tukiacha kipindi cha Mwinyi, high inflation ikaja kujitokeza tena sasa!

Tukirudi kwamba wakati wa Mkapa Ndulu ndie alikuwa mshauri wake kwa masuala ya fedha; I don't get it coz' for what I know masuala ya inflation yanakuwa regulated na BOT na wakati wa Mkapa, BOT Governor alikuwa Balal ambae alikuwa madarakani from 1998 to 2008, and before 1998 alikuwa Idris Radhid. Ndulu amekuwa Governor from 2008 baada ya Balali kutimuliwa na kabla ya hapo alikuwa Deputy Governor Economic and Financial Policies kwa mwaka mmoja, from 2007-2008 nafasi ambayo alimwachia Enos Bukuku. Sasa je, kwenye mjadala huu tuandike historia kwa sifa za Gavana kumpa Deputy Governor? Nina hofu kwamba hata hiyo historia ya Ndulu uliyoitoa ni kama umeichanganya na ya Balal, if possible try to check it! Beno alisimamia uanzishwaji wa consortium ya uchumi Afrika wakati akiwa wapi? It can make sense for Daudi Balali ambae before then alikuwa IMF.
Kwamba MoF ni nyeti na kubwa hakuna anayekataa! Hata hivyo MoF sio mtu mmoja; is just a team! The back team ndiyo yenye contribution kubwa kuliko hii tunayoijadili ingawaje sisemi kwamba hata jiwe linaweza kuwekwa! Mtendaji Mkuu wa MoF ni Katibu Mkuu wa Wizara; huyu nae ana timu ya watu wenye sifa zilizobobea! Na mbaya zaidi, kutokana na mfumo mbovu tulionao, huyu PS ndie mwenye nguvu zaidi kuliko Minister...hata hivyo nadhani kuna busara waliangalia katika hili! Labda waliogopa hawa ma-minister wasije wakaleta siasa zao kwenye masuala ya kitaalamu! Kwahiyo ingawaje MoF ni nyeti na mzito for any definition lakini this's not all about minister but the team building it! Na kwa sifa za Saada Mkuya, am certain can lead the team effectively!

Kwamba sifa za elimu za mama zilifichwa sidhani kama ni kauli sahihi! Ukiichunguzi kwa makini CV kwenye tovuti ya Bunge utagundua tatizo ni la watu ambao waliiandaa ku-fit bunge website na kisha kui-upload! Nasema hivyo coz' hata date of birth kwenye CV haijaoneshwa! Je, unataka kuniambia nalo lilifichwa?

Hapa narudia tena, argument zenu za CV mzito mzito zime-prove wrong kwahiyo haiwezi kuwa base of discussion! Hapa tena, ili kuonesha ni namna gani CV mzito mzito zinavyoweza ku-deliver ukaleta mfano wa Beno Ndulu, ambae nae ame-prove wrong baada ya kipindi chake inflation kuwa juu!

Ooops! Nimewakumbuka hawa nao! Kuna huyu bwana, alikuwa anaitwa Kighoma Ally Malima...huyu bwana nasikia alikuwa Profesa...akapewa MoF, alichofanya ni kuchota pesa na kuanzisha chama cha siasa!!! Kuna huyu mwingine, yeye anaitwa Profesa Msolla! Huyu bwana alipata ubunge akitokea SUA alikokuwa Deputy Vice Chancellor, namfahamu huyu bwana coz' nami nilibukua pale! JK kwa kuona huyu bwana ni profesa tena ni alikuwa DVC, akaona ampe Teknolojia na Elimu ya Juu; Profesa wangu akashindwa ku-deliver! JK akaona haiwezekani; Professor!! Akaiangalia tena CV ya Professor Msolla, akaona alaa; kumbe jamaa sio mwana-teknolojia bali ni Daktari wa Mifugo aliyebobea!! Kwa kuamini kwamba ametoka SUA...chuo cha mambo ya kilimo kilimo na mifugo, yeye mwenyewe ni mtaalamu kwenye nyanja za huko huko! Akaamua kumpa Wizara ya Mifugo....akashindwa ku-deliver! All this proves the same thing; hizo complex CVs have nothing to do with performance at ministerial level...they need something else to be embedded with!! Narudia tena, complex CV is necessary but not sufficient condition...unataka nikutajie tena sifa za huyu Mama Mpendwa Saada Binti Salum Mkuya!!! Nimekutajia lakini huzitaki...nimeamua sasa kukutajia by contrast! Ninapokutajia ma-complex CVs ya kina Professor Msollla et.al ni kukutajia CV ya Saada by contrast.

Kwamba nitamuelezea Saada ni nani, nitakuambia yeye ni miongoni mwa wanawake wachache sana hapa Tanzania ambae tabia na utamaduni wa watu wake wa ZNZ hazikumzuia kuisaka elimu popote ilipopatikana. Kutokana na kiu yake hiyo ya elimu, alifanikiwa kupata shahada ya uzamili kwenye masuala ya fedha. Saada ni miongoni mwa watu wachache kabisa ambao wamepata kuitumia elimu yao kwenye eneo husika kwani, kwa takribani miaka 8 amefanya kazi Hazina ZNZ akianza kama Afisa na baada kutokana na utendaji wake mzuri akawa Afisa Utawala. Bila shaka kutokana na utendaji wake, baadae alichukuliwa na ofisi ya rais alikoenda kuhudumu kama Kamishina wa Fedha. Baada kudumu hapo kwa takribani mwaka mmoja, akateuliwa ubunge na hapo hapo una ibu waziiri na miezi kumi nane baadae akateuliwa kuwa waziri wa fedha! Huyu ni mama ambae hajafikisha hata miaka 45 pamoja na mafanikio yote hayo! Lakini kwa kuangalia alivyopambana kuipata elimu basi bila shaka hata mafanikio haya ya sasa hayakuja by chance or by means of good luck coz' huyu mama ni mpambanaji. Kwa maelezo zaidi juu ya mafanikio yake kikazi, ningekushauri nenda Hazina ZNZ. Oh! Nilisahau, pamoja na yote hayo si kwamba Mama huyu amechoka kutafuta elimu, la hasha...hivi sasa anafanya PhD yake hapo Open University!

Are you satisfied?
 
kwa wasifu huu wa Afisa>Afisa utawala>kamishna>naibu waziri ,in a span of 8 years, this woman is truly unfit for the job. Kwa aliyemteua sishangai lakini,wakati mwengine uteuzi una-reflect zaidi mteuaji kuliko mteuliwa.

Kwa lugh rahisi Kikwete is saying he is not so serious, so please do not take him as such. baadae ataitisha semina ngurdoto kulalamika wasaidizi wake wanamuangusha. Why not?
 
How mbona amuelezei mfanano ukoje, alichoandika kimweri in a fancy language is nothing but a pointless argument. Na kama unaangalia kwa undani si kwamba kamtukana tu yule mama bali wizara nzima ya MoF including all other external economic advisory bodies.

Yaani unataka kusema an organisation even with diverse products or services, demand the same team, strategies, advisers, planning as needed in the ministry. Huko sasa ni kutotambua siasa.

Tuache kutoa mifano bila ya kuitolea ufafanuzi huyo Kimweri mbona ajajibu swali lake suppose atumuelewi si atoe somo.

Wakati fulani ni vizuri kukaa kimya kuliko kuingia kwenye malumbano, lakini kwa kuwa ume-insist nita-revisit nilichoandika.

Katika context ya tunachoongelea, nilichokisema ni kitu chepesi sana, hakistahili kukitolea ufafanuzi.Kwa mantiki hii nakazia hoja yangu kuwa, hata aliko mama sasa hivi itabidi PS atumie muda na nguvu ya ziada kurahisisha maongezi yake ili mama aweze kumuelewa,It is intellectually frustrating.

What you call a fancy language is simply a very simple explanation taking parallels of the MoF and a similar size MNC, i simply posed a Question, if this woman is fit to be a CFO of any $20B MNC. When it comes to Finances and Economics, there is not only Politics, and if for a moment you think MoF is a mere political position, the slippery slide begins.
 
Hivi Hussein Mwinyi ni economist? Nauliza tu cos nadhani aliwahi kuwa Min. Of Finance. Siko upande wowote nauliza ili niweze kujaribu kuelewa mjadala zaidi. Asanteni
 
Huu mzigo kweli , yaani wizara yetu ndio eneo la kufanyia field yake ya PHD ?
 
Hivi Hussein Mwinyi ni economist? Nauliza tu cos nadhani aliwahi kuwa Min. Of Finance. Siko upande wowote nauliza ili niweze kujaribu kuelewa mjadala zaidi. Asanteni

Dr. Hussein Mwinyi is not an Economist and has never served our nation at that capacity (as a minister of treasury); All that said and done, had Dr. Mwinyi been appointed to the said position, he would have passed our litmus test under the premise of "waziri mwandamizi" hence shorten (but not necessarily kill) our side of argument. In other words, it would have been much easier for the other side of the debate to convince us to remain patient and give him time to deliver.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wakati fulani ni vizuri kukaa kimya kuliko kuingia kwenye malumbano, lakini kwa kuwa ume-insist nita-revisit nilichoandika.
Ni lini jukwaa la siasa limekuwa sehemu ya mijadala binafsi, ingekuwa kule kwenu kwa great thinkers tusingeingia mpaka kwa kibali cha wahusika lakini hapa kila member yupo huru ku-comment.

Katika context ya tunachoongelea, nilichokisema ni kitu chepesi sana, hakistahili kukitolea ufafanuzi.Kwa mantiki hii nakazia hoja yangu kuwa, hata aliko mama sasa hivi itabidi PS atumie muda na nguvu ya ziada kurahisisha maongezi yake ili mama aweze kumuelewa,It is intellectually frustrating.
Ni kitu chepesi kwa maoni yako kama hoja uliyoileta, maana unachodai huyu mama hajui chochote. Sasa unless umewahi kukaa nae na kumsikiliza akiongelea maswala ya uchumi or things of that nature unawezaje kutoa hitimisho hilo la kutoweza elewana na katibu mkuu wake ilihali sasa anafanya Phd yaani umemdharau kiasi kwamba hata anachosomea sasa aelewi kitu, again hizo zinakuwa ni speculation zako tu si ukweli wenyewe.

What you call a fancy language is simply a very simple explanation taking parallels of the MoF and a similar size MNC, i simply posed a Question, if this woman is fit to be a CFO of any $20B MNC. When it comes to Finances and Economics, there is not only Politics, and if for a moment you think MoF is a mere political position, the slippery slide begins.
Sija imply MoF as a mere political position anywhere nilichouliza huo mfano unahusiana vipi na ministry maana hata katika hayo makampuni mkurugenzi wa shirika lililo jikita katika communication hawezi fit akipelekwa kuongoza kampuni iliyojikita katika maswala ya chakula, vipodozi or some hedge fund. Different teams are needed with different experiences ingawa elimu zinaweza kuwa sawa kwenye makampunii yote. Swali lako linarudi palepale hiyo parallel hipo wapi katika kuongoza huko na kwenye ministry si utupe picha kwa nini atoweza na si kulazimisha mifano unayoibuni wewe mwenyewe ambayo aihusiani na job description in the current discussion.
 
Mkuu NasDaz,

Kuhusu hoja yako ya awali kwamba sijaleta maelezo juu ya nini nadhani ni majukumu ya waziri wa fedha, nilifanya hivyo tarehe 28 mwezi uliopita katika bandiko namba 184 ambapo nilisema hivi:

Minister of finance is the second most important cabinet post after the Prime Minister. Waziri wa fedha ni architect (kwenye level ya baraza la mawaziri) wa financial & budgetary policy of a nation. Kwa maana hii, waziri wa fedha anatakiwa kuwa ni mtu ambae ni well trained katika masuala ya uchumi au yanayofanania, tena from a reputable institution. In addition, waziri wa fedha anatakiwa awe na proven track record and achievements katika kusimamia masuala ya fedha in public or private sector. Hoja kwamba tumewahi kuwa na mawaziri wenye vigezo hivi lakini they didn't perform ni 'self defeating' kwani ni suala lililo wazi kwamba utendaji wa wizara ya fedha na hata benki kuu always umekuwa undermined na political interefence .

Mama yetu sio tu kwamba hana sifa na vigezo vya hapo juu kumfanya atoshe kuwa waziri wa fedha katika uchumi kama wa Tanzania, uchumi ambao unakimbilia kuwa kumi bora as fastest growing economies duniani, bali pia hana experience ya kuitwa "waziri mwandamizi" suala ambalo pengine lingemsaidia kufikiriwa "on merit".

Wengi ya wanaoshabikia uteuzi huu ni watu wenye mtazamo kwamba kuteuliwa uwaziri ni "kuula" na sio kwenda "kutumikia wananchi" kwa vigezo vya elimu na uzoefu. Na kwa vile mjadala husika umetawaliwa zaidi na akili za kuteuliwa uwaziri ni "kuula", wachache wenye hoja tofauti hawawezi kueleweka.

As an architect of budgetary and financial policies wa taifa letu on the cabinet level, waziri wa fedha anawajibika moja kwa moja na uchumi wa nchi nzima kwa maana ya kwamba kuwa na uwezo wa ku identify vipaumbele vya taifa na kwenda kuvijengea hoja kwenye cabinet level hivyo kuwa in charge of government finance, fiscal policy, financial regulations etc. Vile vile kwa nchi kama yetu ambayo haina a truly independent central bank, waziri wa fedha also "has oversight of monetary policy", hivyo hata Gavana wa BOT, Professor wa Uchumi anayetambulika duniani Benno Ndullu ( a Berkeley PhD holder) hana powers kumzidi huyu mama hata katika suala la monetary policies. Given all this, seriously watanzania wenzangu, kweli one to two years experience ya unaibu waziri makes her fit for the job? Hivi kweli mamlaka ya uteuzi ilikosa wengine wenye sifa zaidi? Hivi kweli ingekuwa mawaziri hawatokani na wabunge na huyu mama ange apply for the post angekuwa hata short listed for an interview? Sidhani.

It will remain a fact kwamba huu uteuzi ni wa kisiasa zaidi - politics of gender, the union (kuelekea bunge la katiba), or both, kwani ni vigumu kutushawishi kwaba uteuzi una uhusiano wowote na kutafuta mtu makini ambae atasimamia kikamilifu sera zetu za uchumi katika kipindi hiki kigumu. Hakuna mjadala kwaba she's on job training na tusije shangaa ziara zake to the IMF and World Bank Washington zikishindwa kuzaa matunda, na haitakuwa ajabu kusikia wamemsusia kwani she clearly lacks substance.

But again, kwa walio wengi, uteuzi huu ni "kuula", and any criticisms zinakuwa labeled as wivu kwani wajenga hoja husika hawana weledi wa kutofautisha baina ya kazi ya umma na maisha binafsi. Kuelekea 2015 chini ya waziri husika, kilichobakia kwa wananchi walio wengi hakuna kingine bali kusubiri tu "kula wa chuya".

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu NasDaz,

Kuhusu hoja yako ya awali kwamba sijaleta maelezo juu ya nini nadhani ni majukumu ya waziri wa fedha, nilifanya hivyo tarehe 28 mwezi uliopita katika bandiko namba 184 ambapo nilisema hivi:
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
George Osborne (wa UK) kafanya kazi wapi kwenye finances in his past life na mbona ana mmburuza shadow chancellor ambae mwenye city experience (juzi tu labaour wamekubali their long standing argument 50p corporate tax is unrealistic baada ya kuona wenzao wanavyo deliver) na jamaa ajasoma hata economics, finances or having the city experience (in other words kazi upande wa city asingepata miaka mia nane on senior level, lakini ndio waziri wa maswala ya uchumi).
 
Usinisome au kuninukuu nusunusu bali nisome na kuelewa my line of argument - nimeweka wazi kigezo zaidi ya kimoja that I think vinafaa kutazamwa kabla ya kumpa mtu uwaziri wa fedha, na nikasema kama hana background ya fedha au uchumi, basi angalau awe ni waziri mwandamizi n.k;

Hivi umesoma vizuri CV ya Osborne na ukaamua kumfananisha na waziri wetu wa fedha? Mbali ya kuwa mbunge wa jimbo kwa zaidi ya miaka kumi, na pia kuwa na work experience on merit, huyu pia ni oxford graduate.

Kwa kifupi, mamlaka ya uteuzi had an option ya angalau to pick the George Osbornes for the position, na hawa tunao wengi tu instead of putting this position into waste.

Mwisho - hoja yako kwamba osorbone anampelekesha so and so, ujue kwamba kuna mawili, aidha kumpelekesha mwingine kwa substance au nonsense; the question that follows:
Mmoja ya wabunge wetu wasomi ambao wanasifika kwa kupelekesha upinzani bungeni ni pamoja na Nchemba - kwa mtazamo wako, huyu alikuwa anapelekesha upinzani kwa substance au nonsense? Kwangu mimi, most of it is nonsense, I am sorry;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom