Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Kwa hivyo naibu waziri does not qualify nor having worked in the ministry as this mama did? Maana Osborne hana hata hiyo experience his first senior role in finance management began as a critic but never been in fore front of any decision making body until he was the chancellor of one of the largest economy not to mention it's challenges that comes with it being centered around service sector with finances being the catalyst.Usinisome au kuninukuu nusunusu bali nisome na kuelewa my line of argument - nimeweka wazi kigezo zaidi ya kimoja that I think vinafaa kutazamwa kabla ya kumpa mtu uwaziri wa fedha, na nikasema kama hana background ya fedha au uchumi, basi angalau awe ni waziri mwandamizi n.k;
Kama kuna nchi ambayo aikutakiwa kumuweka mtu ambae hana experience basi UK was no.1 considering what fuels their economy na hilo ndio walilokuwa wanamshambulia nalo alivyo anza kazi kama huyu mama leo, lakini ana wa-prove wrong watu ambao wana mapaper ya uchumi na experience za city kama Ed balls and Gordon Brown, ambao kielimu hawapati wala ki-experience (tells you elimu ya leo sio cheti tu, bali mtu anajiendeleza vipi independently) maana huyu mtu anakuza uchumi wakati UK leo sio a manufacturing economy.
Wanasema kwenye dunia ya kipofu mwenye jicho mmoja mfalme, hiyo elimu yake kwa wasomi waliomzunguka bungeni kwao tu, let alone kwenye finance sector Osborne is a nobody. Point ni kwamba linganisha vitu katika mazingira yaliyopo, katika dunia yao Osborne alionekana a joke kutokana na level yake ya elimu na ufahamu wake wa city activities kwenye nchi inayotegemea huko city kama engine ya uchumi, ndio kama huyu mama mnavyombeza leo kutokana na elimu yake ingawa anafanya Phd.Hivi umesoma vizuri CV ya Osborne na ukaamua kumfananisha na waziri wetu wa fedha? Mbali ya kuwa mbunge wa jimbo kwa zaidi ya miaka kumi, na pia kuwa na work experience on merit, huyu pia ni oxford graduate.
Again haya ni mawazo yako binafsi may be na Lipumba na wachache wengine.Kwa kifupi, mamlaka ya uteuzi had an option ya angalau to pick the George Osbornes for the position, na hawa tunao wengi tu instead of putting this position into waste.
Inapofikia hatua chama ambacho chenye mlengo wa kushoto ambacho kina amini matajiri lazima walipie zaidi, lakini akatokea mtu akawa persuade that is not an economic sense by delivering results na kuwaonyehsa mipango ya mbele kwanini kuna umuhimu wa kutotaka big corporate taxes as their oppsotion demanded na wao wakabadili position kuelekea kukubali huko naita kumburuza msomi ambae kafanya kazi tena kwenye hiyo sector kabla ya kuwa mwanasiasa and a shadow chancellor.Mwisho - hoja yako kwamba osorbone anampelekesha so and so, ujue kwamba kuna mawili, aidha kumpelekesha mwingine kwa substance au nonsense; the question that follows:
Toa hoja yake unayoiona nonsense kiuchumi tuijadili, apart from that nonsense is order of the day katika siasa za Tanzania coming from all sorts kuanzia kwa raisi mpaka kwa mjumbe wa nyumba kumi-kumi and all the government agents in between.Mmoja ya wabunge wetu wasomi ambao wanasifika kwa kupelekesha upinzani bungeni ni pamoja na Nchemba - kwa mtazamo wako, huyu alikuwa anapelekesha upinzani kwa substance au nonsense? Kwangu mimi, most of it is nonsense, I am sorry;