Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,617
Nyie hamjui cku hizi hata doctorate watu wanaforge?huyu kilaza tu,kama ndugu yake jk.afu tangu liingie wizaran matatizo yanaongezeka tu!
Mkuu Kawambwa ni profesho injinia tena ana PhD ya ukweli. Simkubali utendaji wake bali naikubali elimu yake