CEO wa NACTE atumbuliwe, he is hopeless!Utumbuaji Majipu Unaendelea
Tuendelee Ama Tusiendelee?😁
Malizieni kulipa ada za watoto wenu, mpate matokeoKumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni. Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/KU-TEMPER na passes za watoto kwa benefit ya chuo/walimu etc. As long as chuo ndicho kinamwonyesha mwanafunzi matokeo, anything can be done yakitua kwa mKuu/Mwalimu mwenye nia OVU. Ushahidi upo mkubwa tu...
Mkuu mbona umeshindwa kueleza kisomi?, Hakuna atakayekuelewa hapo. Ungeeleza no nyuo vya namna gani hivyo, manake mi ninavyojua vyuo vilivyochini ya NACTE vinatoa mitihani vyenyewe na kupeleka matokeo NACTE, sasa wewe unasema NACTE ndio wanatoa matokeo then vyuo vinayaficha. Fafanua ueleweke unaongelea vyuo vya namna gani?Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni. Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/KU-TEMPER na passes za watoto kwa benefit ya chuo/walimu etc. As long as chuo ndicho kinamwonyesha mwanafunzi matokeo, anything can be done yakitua kwa mKuu/Mwalimu mwenye nia OVU. Ushahidi upo mkubwa tu...
1. Si vema kutaja vyuo maana uta implicate JF kwenye legal wrangle na vyuo tajwa and JF is posed to delete the thread.Mkuu mbona umeshindwa kueleza kisomi?, Hakuna atakayekuelewa hapo. Ungeeleza no nyuo vya namna gani hivyo, manake mi ninavyojua vyuo vilivyochini ya NACTE vinatoa mitihani vyenyewe na kupeleka matokeo NACTE, sasa wewe unasema NACTE ndio wanatoa matokeo then vyuo vinayaficha. Fafanua ueleweke unaongelea vyuo vya namna gani?
As long as hoja ya ada haijatajwa, basi that hoja ya ada does not arise in my post.Malizieni kulipa ada za watoto wenu, mpate matokeo
Mimi mtoto wangu amekosa matokeo ya mwaka wa kwanza nahangaika tu na sasa yuko mwaka wa pili.Malizieni kulipa ada za watoto wenu, mpate matokeo
Huyo NDALICHAKO, ameteuliwa lini kuwa Waziri?Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni.
Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa watoto kwa faida ya chuo/walimu etc...
sijui, lkn bado anaweza kuli handle kwani kwa sasa sheria zinafuatwa?Huyo NDALICHAKO, ameteuliwa lini kuwa Waziri?
ni shda all around vyuo vya NACTE, huyu CEO aondolewe, yupo tu na "KESHOMSHAHARA"!Mimi mtoto wangu amekosa matokeo ya mwaka wa kwanza nahangaika tu na sasa yuko mwaka wa pili.
Mkuu wewe ndio huelewi kabisa, au unasoma vyuo vya afya hivyo ndio vina utaratibu mitihani haitungwi na chuo. Mimi nafundisha vyuo hivyohivyo vilivyo chini ya NACTE tena Cha serikali. Hivi vyuo kila kitu kinafanywa na chuo matokea ndio hupelekwa NACTE mkuu wewe mbona unapotosha watu hivyo! Mi ni mwalimu wa hivyo vyuo ujue!1. Si vema kutaja vyuo maana uta implicate JF kwenye legal wrangle na vyuo tajwa and JF is posed to delete the thread
2. It seems hujui how the exam system works at NACTE! tafuta mtu akuelezee...
Mimi naongelea vyuo vya afya! tumepishana, but all in all ebu soma bolded kipengele hiki: kina maana ganiMkuu wewe ndio huelewi kabisa, au unasoma vyuo vya afya hivyo ndio vina utaratibu mitihani haitungwi na chuo. Mimi nafundisha vyuo hivyohivyo vilivyo chini ya NACTE tena Cha serikali. Hivi vyuo kila kitu kinafanywa na chuo matokea ndio hupelekwa NACTE mkuu wewe mbona unapotosha watu hivyo! Mi ni mwalimu wa hivyo vyuo ujue!
Hapo sawa, vyuo vya Afya na vile vya ualimu mitihani haitungwi na chuo, lakini vingine vyote chuo hufanya kila kitu na matokeo final ndio hupelekwa NACTEMimi naongelea vyuo vya afya! tumepishana
Mkuu wewe unafundisha cha Afya au Ualimu?Hapo sawa, vyuo vya Afya na vile vya ualimu mitihani haitungwi na chuo, lakini vingine vyote chuo hufanya kila kitu na matokeo final ndio hupelekwa NACTE
semester exams haitungwi na chuo... usichanganye na CAMkuu wewe unafundisha cha Afya au Ualimu?
Mbona hata Afya NACTE ndo wapo responsible na kutunga na kusahisha hiyo mitihani ama wewe unaongelea vipi?!
Nafahamu,hilo swali halikuwa la kwako kiongozi.!semester exams haitungwi na chuo... usichanganye na CA