sidhani kama mwalimu aliye kijijini anayefundisha masomo yote kuanzia la kwanza mpaka la saba atakuelewa.. lakini time will tellNauli ya kwenda na kurudi utapatiwa mwalimu. Pia naomba ufahamu kuwa serikali imeamua kubana matumizi na kupeleka pesa itakayopatikana kwenye miradi yaa maendeleo. Naomba tuwe wavumilivu na tuunge mkono nia njema ya serikali yetu. Naomba ifahamike kuwa nia na malengo ya serikali mema kabisa. Inachofanya serikali si yo ukatili kama baadhi yenu mnavyofikiria. Serikali inataka kila mtanzania afaidike na matunda ya serikali yake. Wakati utaongea. Mtayaona hayo matunda kwa macho yenu. Asanteni.
Hahaha!! Sikusoma kwa makini. Ila hata hivyo nimerudia kusoma na kuliona neno hilo!! Asante kwa kukosoa. Kidumu Kiswahili!!!Kusairisha ndio nini?
Not Offical confirmed informationWizara ya elimu sayansi na teknolojia imefuta posho ambazo walikuwa wanalipwa walimu pindi wako kwenye kazi ya kusairisha mitihani kama pesa yao ya kujikimu badala yake serikali imedai kuwa zoezi hilo ni sehemu ya kazi yao wakati huo posho hizo zilikuwa zinawasaidia walimu kujikimu pindi walipokuwa kwenye zoezi hilo.
Pia Prof. Joyce Ndalichako amesema yupo mbioni kuisuka wizara ya Elimu Upya.
Chanzo: Magazeti ya leo
Basi na Wabunge wasilipwe sitting allowanceWizara ya elimu sayansi na teknolojia imefuta posho ambazo walikuwa wanalipwa walimu pindi wako kwenye kazi ya kusairisha mitihani kama pesa yao ya kujikimu badala yake serikali imedai kuwa zoezi hilo ni sehemu ya kazi yao wakati huo posho hizo zilikuwa zinawasaidia walimu kujikimu pindi walipokuwa kwenye zoezi hilo.
Pia Prof. Joyce Ndalichako amesema yupo mbioni kuisuka wizara ya Elimu Upya.
Chanzo: Magazeti ya leo
Hii ni joking au serious.Safi sana sasa afute na mishahara kabisa aweke tu chakula cha mchana shuleni ajenge mabweni ya walimu karibu na shule tuchape kazi aisee "haoa kazi tu"
Walimu tuna hali ngumu, WALIMU.Ni muda wa kufanya kweli...... Kupatwa kwa elimu
Walimu muda ndo huu
Pole ya nini? Naumwa?Walimu tuna hali ngumu, WALIMU.
Na sisi tuna umuhimu, WALIMU.
good morning teacher! Goodmorning Sir! Kunuka zeze!
MWALIMU hicho kisambaa..! Nimechanganyikiwa mpaka naongea kisambaa darasani..!
By Late Johnwalker n Mkoloni. Poleni sana walimu.
Wamepewa pole walimu kama wewe siyo mwalimu haikuhusu.!Pole ya nini? Naumwa?
Umeniquote ndo maana Nimekuuliza, usingeqouteWamepewa pole walimu kama wewe siyo mwalimu haikuhusu.!
Inasikitisha sanaaa!!!Wizara ya elimu sayansi na teknolojia imefuta posho ambazo walikuwa wanalipwa walimu pindi wako kwenye kazi ya kusairisha mitihani kama pesa yao ya kujikimu badala yake serikali imedai kuwa zoezi hilo ni sehemu ya kazi yao wakati huo posho hizo zilikuwa zinawasaidia walimu kujikimu pindi walipokuwa kwenye zoezi hilo.
Pia Prof. Joyce Ndalichako amesema yupo mbioni kuisuka wizara ya Elimu Upya.
Chanzo: Magazeti ya leo