Raia Mwema
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 535
- 79
Usifikiri uko peke yako hapa Dodoma hakuna kitu unachotuambia labda kama unataka kuongeza namba ya thead zako
kimsingi ni lazima mtu awajibike,wananchi wameteseka na kufa kwa sababu ya uzembe wake.
nilisikia kuna kikao cha wabunge wa ccm usiku huu.
Sasa Raia Mwema unashauri nini? Hiyo wizara iachwe iendelee hivyo?Migogoro ya wizara hii haitokani na uongozi peke yake. Tunaweza kubadilisha viongozi hata mara 100 bila mafanikio ni budi tuangalie kwa mapana yake.
mwaka huu kazi wanayo mbona ya jairo hawajayamaliza?
Jairo ameingia lini kwenye fani ya udaktari? anzisha thread ya Jairo.
Mbona wamekuwa vigeugeu juzi walikuwa wamemkaba shingo Dr. Kigwangwala leo waziri?
Kuna umuhimu wa Lowasa kuchukua nchi 2015
migogoro ya wizara hii inatokana na nini?Migogoro ya wizara hii haitokani na uongozi peke yake. Tunaweza kubadilisha viongozi hata mara 100 bila mafanikio ni budi tuangalie kwa mapana yake.
Kama sababu za kiutendaji zipo za kumuondoa madarakani basi ataondoka,yuko wapi Jairo leo?? hakuteuliwa na wabunge yule... Ilianza tu kwa hoja ya Beatrice Shelukindo,lolote laweza kutokea....tusubiri!
nimepata habari za kikao kutoka bungeni na sio dodoma.Niko Dodoma sio kweli
Nafikiri kama sio public outcry, watu bado wangekuwa wanalisukuma gari la Jairo.
Kama sababu za kiutendaji zipo za kumuondoa madarakani basi ataondoka,yuko wapi Jairo leo?? hakuteuliwa na wabunge yule... Ilianza tu kwa hoja ya Beatrice Shelukindo,lolote laweza kutokea....tusubiri!