Wakiongea kiswahil sn utaskia flan hajui kizungu ndo mana hata nje haend na wakiongea kizungu mnaxema kiswahili hawajui?
Vema kuongea kiswahili au Kiingereza kilichonyooka basi kuna tofauti kubwa Kati ya oppression na operation moja ningesema mgandamizo nyingine ni upasuaji, kwa mtu kiwango cha uwaziri hili si jambo dogoWakiongea kiswahil sn utaskia flan hajui kizungu ndo mana hata nje haend na wakiongea kizungu mnaxema kiswahili hawajui?
ok, nimekupata mkuu1 mkuu pitia pitia hutu tu mitandao ujue kule hali ya hewa itakuaje, huku kwangu ni hatari sana, kipupwe kinapuliza!Mdogo wangu Ummy Mwalimu ni Mwanasheria. Ana-act tu kuwa hajui Kiswahili. Si angetumia upasuaji badala ya kutaka kusema Operation? Ummy ana mambo sana.
Mzee Tupatupa
Mtoto wa kitanga yule.Mdogo wangu Ummy Mwalimu ni Mwanasheria. Ana-act tu kuwa hajui Kiswahili. Si angetumia upasuaji badala ya kutaka kusema Operation? Ummy ana mambo sana.
Mzee Tupatupa
Mtoto wa kitanga yule.
Wewe hukoseagi neno?Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Hivi mwanasheria kwenye afya ana tafuta Nini!? Anko magu hili jipu lako hili... LitumbueeeeMdogo wangu Ummy Mwalimu ni Mwanasheria. Ana-act tu kuwa hajui Kiswahili. Si angetumia upasuaji badala ya kutaka kusema Operation? Ummy ana mambo sana.
Mzee Tupatupa