Aisee sasa wagonjwa watatibiwaje ilikuwa unakufa unawaachia msala waliobaki wakomae walipe wazike. Kuna haja ya kutafuta utatuzi wa kudumu.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema hataki kusikia suala la watu kuzuiwa kuchukua maiti kwa madai kwamba ndugu wanatakiwa walipie gharama za matibabu.
Dkt. Gwajima ametoa ujumbe huo kwenda kwa hospitali zote nchini, wakati alipokuwa akizungumza na Menejimenti ya Hospitali ya Mloganzila alipotembelea kuona namna huduma zinavyotolewa.
Amezitaka hospitali kujipanga katika suala hilo ili utaratibu uende vizuri na sio kulimbikiza bili za mgonjwa inapotokea amefariki dunia ndipo suala la kuzuia maiti linaanza na kutengeneza taswira mbaya.
Sasa hapo wagonjwa watashindwa kutibiwa mpaka watoe pesa yote ya matibabu, naona kazi bado iko pale pale, na wasipokuwa makini huko mahospitalini wagonjwa wengi watawafia reception kama ndugu zao hawana uwezo wa kugaramia matibabu.
Bado nawashauri hawa jamaa wa wizara ya Afya wakae vizuri waangalie namna bora ya kumaliza hii kadhia.
Duh!Sasa hapo wagonjwa watashindwa kutibiwa mpaka watoe pesa yote ya matibabu, naona kazi bado iko pale pale, na wasipokuwa makini huko mahospitalini wagonjwa wengi watawafia reception kama ndugu zao hawana uwezo wa kugaramia matibabu.
Bado nawashauri hawa jamaa wa wizara ya Afya wakae vizuri waangalie namna bora ya kumaliza hii kadhia.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema hataki kusikia suala la watu kuzuiwa kuchukua maiti kwa madai kwamba ndugu wanatakiwa walipie gharama za matibabu.
Dkt. Gwajima ametoa ujumbe huo kwenda kwa hospitali zote nchini, wakati alipokuwa akizungumza na Menejimenti ya Hospitali ya Mloganzila alipotembelea kuona namna huduma zinavyotolewa.
Amezitaka hospitali kujipanga katika suala hilo ili utaratibu uende vizuri na sio kulimbikiza bili za mgonjwa inapotokea amefariki dunia ndipo suala la kuzuia maiti linaanza na kutengeneza taswira mbaya.
Nilikuwa nawaza hapa itakuwaje, je tiba sasa itakuwa bure au ukifa na deni linakufa?Sasa hapo wagonjwa watashindwa kutibiwa mpaka watoe pesa yote ya matibabu, naona kazi bado iko pale pale, na wasipokuwa makini huko mahospitalini wagonjwa wengi watawafia reception kama ndugu zao hawana uwezo wa kugaramia matibabu.
Bado nawashauri hawa jamaa wa wizara ya Afya wakae vizuri waangalie namna bora ya kumaliza hii kadhia.
Tujadili hoja hii kuhusu nini kitajiri kama si kutoendelea kupata huduma mpaka ulipe kwanza ?Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema hataki kusikia suala la watu kuzuiwa kuchukua maiti kwa madai kwamba ndugu wanatakiwa walipie gharama za matibabu.