Waziri wa Afya atinga Mwananyamala hospitali

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Waziri wa Afya aliyeteuliwa na JPM, leo atinga Hospitali ya Mwananyamala
 

Attachments

  • IMG-20151212-WA0000.jpg
    IMG-20151212-WA0000.jpg
    63.1 KB · Views: 3,648
  • IMG-20151212-WA0001.jpg
    IMG-20151212-WA0001.jpg
    48.6 KB · Views: 3,456
  • IMG-20151212-WA0002.jpg
    IMG-20151212-WA0002.jpg
    42.7 KB · Views: 3,420
huyu binti viatu vya wizara ya afya vinatosha kweli?
ngoja tuone
 
hamna safari za ulaya na biashara ya kushinda kwenye maofisi na miradi binafsi hakuna tena kilichobaki ni kuwatumikia watanzania kwa kutembelea kila mahali waziri anapohusika.

hivyo sidhani kama wanauza sura ila ni amri toka kwa aliye wateua kwamba matatizo ya watanzania yatatuliwe na viongozi wao.
mwanzo mzuri,tuwaombee wafanikishe ili tusonge mbele.
 
Unawaambia waandishi waje na bahasha za kaki unaandaa kisha unasema umeshtukiza? Nenda kwa migui huku umevaa kanzu ndio useme umeshtukiza
 
rais, waziri wa afya, naibu waziri na katibu mkuu wa wizara ya afya wafanye safari ya kushitukiza Mirembe, waingie kwenye wodi ya vichaa, nahisi kale ka dada mlinzi katapenya kwenye tundu la funguo kuokoa maisha yake
 
Sasa wamefanya fasheni kila anayeteuliwa anataka kufanya ziara za kustukiza kama walivyofanya Magufuli na Majaliwa.
 
Na hizi picha wanazozituma kwenye mitandao wakionyesha ndugu zetu wakiwa nusu uchi mahospitalini sidhani kama ni sahihi. Watafute namna nyingine ya kupata kick lakini hivi naona kama sio sawa kimaadili.
 
Back
Top Bottom