Waziri wa Afya atinga Mwananyamala hospitali

Waziri wa Afya atinga Mwananyamala hospitali

Wafike na huku Ifakara St. Francis Hospital. Watu tunalazimishwa kupima HIV. Mgonjwa hushughulikiwi maradhi mengine mpaka kwanza upimwe HIV.
 
Waziri wa Afya aliyeteuliwa na JPM, leo atinga Hospitali ya Mwananyamala

Ni vzr na inatia faraja kutembelea mahospitalini kujua adha wanayoipata wananchi kila wangeweka mkazo zaidi na hasira zao zionekane dhahiri has a ktk huduma ya mama na mtoto wakinamama wanapata tabu sana hawa wanapoenda kujifungua wwkunga wanajihisi wao ni miungu watu tens wengine mpaka utoe rushwa ndio upate huduma inauma sana nakumbuka make wangu alienda kujifungulia hospitality ya palestina sinza kuna tukio lilitokea halinitoki mawazoni mpaka kesho maana niliona mama mjamzito akijifungilia kwenye ngazi na wamama Wa kawaida wasiokuwa na taaluma ya ukunga wakimsaidia yule mzazi na nesi akiangalia na mitusi kibao niliumia kwa kweli kama ndo ingelikuwa ni mke wangu halafu nina kifaa cha kizungu yangenikuta ya uncle dito. Niliumia sana muhimu hawa mawaziri ktk idara hii watengeneze utaratibu nzuri hata Wa kutoa mamba zao za simu tuwapigie mojakwa moja Kufikishiwa kero mojakwamoja na ikiwezekana watumishi Wa aina hii wafukuzwe kabisa.
 
Wafike na huku Ifakara St. Francis Hospital. Watu tunalazimishwa kupima HIV. Mgonjwa hushughulikiwi maradhi mengine mpaka kwanza upimwe HIV.

Hahaha, pole ndugu yangu.

Lakini hii ni muhimu sana kwa ajili ya better Management ya Ugonjwa. Hata wakina mama wajawazito ni LAZIMA wapimwe HIV.
Kuna Wakati una'suspect Immunosuppression kwa Mgonjwa inabidi ufanye confirmation. Yote hii ni kwa nia njema tu.
 
Time will tell, let we wait and see. Ikizoea kula nyama ya binadamu hutaacha utakula milele (Nyerere speech)
 
Kero alizokutana nazo akazishughulikie. Mwananyamala Hospitali kuna eneo la kutosha lakini Wodi ni chache na ndogo sana. Kuna Wakati General Paediatric Ward wanalala watoto 3 kitanda Kimoja (kumbuka wapo na mama zao pia, wanalala wapi jiulize).

Zile Pesa za Semina Elekezi wazipeleke kwenye kuongeza vyumba vya kulaza wagonjwa kwenye hospitali zetu. Sio kila siku barabara tu.
 
Wanakosa ubunifu so wanaenda kwa kuiga tu, Na kwa kutaka sifa watahangaika Dar kwenye uhakika wa vyombo vya habari ila hawana ubunifu kabisa wa kuweza kuchukua point 3 kirahisi
Natumaini aliyewateua anawafuatilia. . . .
 
rais, waziri wa afya, naibu waziri na katibu mkuu wa wizara ya afya wafanye safari ya kushitukiza Mirembe, waingie kwenye wodi ya vichaa, nahisi kale ka dada mlinzi katapenya kwenye tundu la funguo kuokoa maisha yake

we jamaa!
 
hamna safari za ulaya na biashara ya kushinda kwenye maofisi na miradi binafsi hakuna tena kilichobaki ni kuwatumikia watanzania kwa kutembelea kila mahali waziri anapohusika.

hivyo sidhani kama wanauza sura ila ni amri toka kwa aliye wateua kwamba matatizo ya watanzania yatatuliwe na viongozi wao.
mwanzo mzuri,tuwaombee wafanikishe ili tusonge mbele.

Hayo matatizo ya wana Dar es salaam sio ya watanzania maana hao viongozi hatuwaoni mikoani
 
Shida za kwenye mahospitali nchini zinajulikana!nashangaa hao mawaziri wanaona kama ni kitu kigoli kwao au wao walishazoea kwenda kuibiwa njee
 
Aje muhimbili kipimo cha nerve conduction hakifanyi kazi mwaka 2 sasa wagonjwa wanatumwa hospitali binafsi.
 
Aende muhimbili kipimo cha nerve conduction mwaka 2 hakifanyi kazi,
 
Kipimo cha nerve conduction Muhimbili mwakA wa 2 huu hakifanyi kazi
 
Kipimo cha nerve conduction muhimbili kimekufa mwaka wa 2 sasa mkurugenzi hajali huku wagonjwa tunatumwa hospitali binafsi
 
Back
Top Bottom