Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Mpaka watu waishe siyoWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Kwa hiyo wanaficha vifo vya korona na kusema ni vya homa na matatizo ya kupumua, au siyo?Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Inawezekana wamepeleka sample zao Mombasa.
AiseeWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Hakuna mwandishi wa habari mwenye uwezo wa kuuliza, Jiulize kwa nini Zanzibar wametoa taarifa wakati bado wanatumia maabara hii hii ambayo inafanyiwa uchunguzi ?Uhakiki upi tena. Kwani before kabla maabara haijaanza kupima haukufanyika uhakiki ?Waandishi kwa nini hamjamuuliza ?
Na mavifo yote haya yanayotokea ghafla bado anazungusha viuno tu! Ila tuna kila aina ya viashiria kuwa hatuna serikali makini.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Mmmmmm! Siasa za kikomunisti kwani waliacha kutangaza hata kabla ya hotuba tata.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Kwa hiyo wanaficha vifo vya korona na kusema ni vya homa na matatizo ya kupumua, au siyo?