Waziri Ummy Mwalimu amebadilika apongezwe!

Waziri Ummy Mwalimu amebadilika apongezwe!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,146
Reaction score
31,669
Naona Ummy Mwalimu ameweza kubadilika na amekuwa mfuatiliaji mzuri wa issues katika sekta ya afya.

Naamini ameweza kujenga hoja hadi bajeti ya dawa kupanda vilivyo.

Tumpe hongera zake.
 
kazi nzuri ingawa changamoto ni mingi sana ukienda hospital
 
Naona Ummy Mwalimu ameweza kubadilika na amekuwa mfuatiliaji mzuri wa issues katika sekta ya afya.

Naamini ameweza kujenga hoja hadi bajeti ya dawa kupanda vilivyo.

Tumpe hongera zake.
Ni kweli kabisa Ummy Mwalimu anapiga kazi sana. Namkubali sana Waziri yule.
Hivi alishawahi kuwa nesi?
 
Namfahamu kwa kiasi Ummy ni MTU wa jazba (Ukiacha mbali msongo binafsi hasa aliokua anasabbishiwa na yule jamaa wa ugaibuni) pengine watu wengi wanashindwa kumuelewa!
Alisema Ummy kaporwa mume na shoga yake, na yule mzee alipenda toto la kishombe kuliko Ummy ingawa alionja.
 
Bado suara la wazee kutibiwa bure ni siasa tu.... maana naina wazee wenye zaidi ya miaka 60 wanatizwa pesa..... kama yupo serius kwann asiandike barua kwa mahospitali yoke kutibu wazee bure???
 
Bado suara la wazee kutibiwa bure ni siasa tu.... maana naina wazee wenye zaidi ya miaka 60 wanatizwa pesa..... kama yupo serius kwann asiandike barua kwa mahospitali yoke kutibu wazee bure???
Wasipotoa pesa wanaandikiwa panadol iwe malaria au tumbo la kuharisha
 
Kwa mimi na kwa wakati huu, sina waziri ninaemkubali hata mmoja au kiongozi wa ccm hata mmoja kwa sababu wao ni sehemu ya haya tuyapitiayo wa-TZ na wameamua kujikausha.
 
Back
Top Bottom