Waziri Ummy Mwalimu amebadilika apongezwe!

Waziri Ummy Mwalimu amebadilika apongezwe!

Ulimpeleka hospitali au kliniki gani?
Hata hivyo ulimsikiliza jana kuhusu data za hospitali zinaonesha mahitaji ya dawa ni let say 6000 tins of amoxicillin while true request kutoka hospitali hizo hizo ni 18000 tins kwa mwaka?
Nilichofurahi ni yeye kulitambua hili na kuamua kulivalia njuga.Hakuna waziri wa afya aliyejaribu kulifikiria suala hili kwa approach hii na ninaamini akikomaa tutafika sana.
Hata hospital zinakua na clinic kwa ajili ya wajawazito!… ila mi nilimpeleka hospitali teule ya wilaya na ndo hakukua na hizo dawa!

kama waziri anajua bajeti ya wizara yake,, kwaiyo sio vyema kuongeaongea tu mbele ya kamera huku kiuhalisia anajua hawana ubavu wa kutimiza
 
Kwa mimi na kwa wakati huu, sina waziri ninaemkubali hata mmoja au kiongozi wa ccm hata mmoja kwa sababu wao ni sehemu ya haya tuyapitiayo wa-TZ na wameamua kujikausha.
wewe si unamkubali Mwenyekiti...mkwepa kodi...aliyemiliki jengo la NHC kiharamu....more important unawakubali MAPAPA waliobobea ambao mmewasafisha kwa madodoki....
 
Acha ujinga kipindi cha Hawa Ghasia kama Waziri utumishi kila mwaka mshahara, posho,marupurupu na madaraja yalipanda na ajira mpya zaidi ya elfu thelathini zilitolewa. Tatizo mmezoea kuchungwa kama kondoo na kuona mtu anaongea kwa ukali ndio mnaona kuwa ndio kiongozi bora na mzuri. Hawa Ghasia ni bora kuliko Kairuki au Mkuchika.
Acha kuwa kipofu wa fikra. Acha kujiangalia mwenyewe kimaslahi. Sasa hivi kuna SGR, SG, na miradi mingi mingi inawekezwa. Wakati ule ukiongezewa shilingi kumi tu unacheeka na huku wajanja wanapiga vya kutosha na nchi inazidi kuangamia. Tambua ya kuwa kinachofanyika sasa hivi mtoto wako na mjukuu wako watafaidika. Nchi ni lazima ijengwe sambamba na ustawi wa maslahi.
 
wewe si unamkubali Mwenyekiti...mkwepa kodi...aliyemiliki jengo la NHC kiharamu....more important unawakubali MAPAPA waliobobea ambao mmewasafisha kwa madodoki....
Naam, acha nimkubali huyo. Maana siwezi kumkubali anayetutenganisha na kutugawa kikanda. SIMPENDI YULE JAMAA, MPAKA NAHISI SHETANI ANA NAFUU.
 
sasa hata akiweza kujenga hoja budget ya dawa ipande kama uchumi ni zero hiyo hoja itakuwa na mashiko gani
 
Hakuna kitu pale, hana tofauti na Makonda au Mwigulu...Kelele nyingi ili tu kuwafurahisha wanaomlisha tonge...

Kwanza ukimtazama tu usoni unajua fika ni wale wamama/wadada ambao kitaani kwetu huwa wanaogopwa kwa kusuta kinamama wenzao...
 
Aise hatareee watu mna macho yule si anavaa nguo mpaka chini matege uliyaona vipi au ule mwendo wakunesa kama anatembea juu ya sponji[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Umeona eee mwendo wake tuu ndo ukanipelekea kutafakari😀😀
 
Naam, acha nimkubali huyo. Maana siwezi kumkubali anayetutenganisha na kutugawa kikanda. SIMPENDI YULE JAMAA, MPAKA NAHISI SHETANI ANA NAFUU.
Mkuu hili ndio tatizo letu WaTZ ni rahisi sana kusahau... Mbona haya mambo yalikuwepo kisirisiri na kwa miaka mingi ... kama unakumbuka kulikuwa na syrndrome kwenye vitengo vya taasisi mbali mbali za kiserikali hadi mashirika ya umma mfano Shirika la BIMA la taifa with MBEYA syndrome..... MSD with Kilimanjaro syndrome.... and many more..... Lakini CHAMA fulani kiliposhindwa kupamba moto kwa haraka wakatumia njia ya kikanda na kumbuka hata kwenye mipango yao wana sera za KIKANDA na MAJIMBO.... Vikao vya kichini chini kuanzia level za familia vilitumika kuwaunganisha wananchi wa kutoka mikoa hiyo kukiunga mkono chama hicho kwa lengo mahususi huku wananchi wengine wakifuata mkumbo bila kujitambua.... Uchaguzi uliopita ndio ulitufungua macho kwani agenda ziliama kutoka kwenye ukanda hadi kwenye specific madhehebu...... ZAMU YA WATU FULANI KUTOA RAISI???? Sasa hivi kila mtu analifahamu hilo.... kama una chuki na hayo mambo chukia kila anayelifanya...lakini kwa sasa mambo yako wazi ni bora kuzungumza ukweli ili kuwe na vita iliyo sawa.....
 
Back
Top Bottom