darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,273
- 18,327
Acha ujinga kipindi cha Hawa Ghasia kama Waziri utumishi kila mwaka mshahara, posho,marupurupu na madaraja yalipanda na ajira mpya zaidi ya elfu thelathini zilitolewa. Tatizo mmezoea kuchungwa kama kondoo na kuona mtu anaongea kwa ukali ndio mnaona kuwa ndio kiongozi bora na mzuri. Hawa Ghasia ni bora kuliko Kairuki au Mkuchika.Zamani alikuwa kama GHASIA.Waziri hovyo kuwahi tokea kwani alikuwa hajui anaongoza nini!