Itatusaidia sana tukijenga utamaduni wa kuchunguza systemic flaws za mfumo mzima wa uendeshaji mambo badala ya kuangalia symptoms za tatizo tu....Sitta ana kashfa ya kutumia mabilioni ya fedha kujenga ofisi ya spika jimboni kwake Urambo kana kwamba alitarajia atakuwa spika wa maisha, na mrithi wake atatoka Urambo.
nadhani baanda ya kauli hiyo wabunge wa ccm walipiga makofi kama kawaida yao......lakini pia huwa simwamini sita na kwa lile kosa la kuupotezea mjadala wa richmond sitamsamehe........ni mtu wa ajabu na mnafiki mkubwa
Mkuu natumai ulimaanisha Vyuoni, manake huko kwengine wanaweza wasienee na ikawa balaaa
duh naona umeamua kuweka matumizi ya pedi kwa uzuri zaidi=========
Hapa sina uhakika nani ni pedi kati ya Lowassa na Sitta. Mtumiaji anaeleweka ni Kikwete. Na mtumiaji hana uchaguzi wa pedi. Akiwa na shida ni lazima atumie pedi iliyo karibu. Wakati ule wa nchi ikiwa kwenye giza, Pedi alikuwa Lowassa. Sasa nchi iko gizani, Pedi ni Sitta. Kuna wakati pedi lilikuwa kundi la Lowassa ndani ya NEC likimsulubu Sitta. Ni makosa makubwa kumwamini Kikwete katika habari ya kutumiwa kama pedi. Kila mtu ana zamu yake ya kutumiwa. Kinachohitajika ni pedi zenyewe kujipanga vema, ili Kikwete akizitumia zimletee mwasho mapajani!
Nawasilisha
Sawa,Sita kasema hivyo yuko sahihi,ila nimkumbushe neno moja ambalo nae kwa upande wake linamgusa sana kuhusu neno hili maamuzi magumu,yeye na kamati ya akina Mwakyembe walishindwa kusimamia walichowaaminisha watanzania kuhusu kashfa ya richmond mwisho wa siku walipotishwa na chama chao waliufyata na yeye na mwakyembe wameishia kupewa uwaziri kwishney.
Itatusaidia sana tukijenga utamaduni wa kuchunguza systemic flaws za mfumo mzima wa uendeshaji mambo badala ya kuangalia symptoms za tatizo tu.
Sitta hana password ya safe box la Hazina, kuna mtu alimpa hizo hela, nani huyo, kwa nini hakuuliza kama makao makuu ya kudumu ya Spika yanahamia Urambo, kiasi gani alimpa, kwa nini, kabla ya kutoka zilikuwa earmarked kwa bajeti gani, Sitta alisema anaenda kufanyia nini, sheria inasemaje, makaratasi yako wapi, mfumo mzima ukoje? Ultimately, si kosa la Sitta kuomba hela na kupewa.
Hapa kuna mawili
la kwanza ni ss kulipiza kisasi
la pili inaweza kuwa ni calculated move well known na serikali[/QUOTE]
Ni kweli kabisa ndio mana JK akamteua Six kukaimu ili ammalize rafiki kiaina
fafanua kidogo mkuu, wengine tumegawiwa giza mchana. ha ha ha ha!!!!
No one is perfect, lakini kwenye mizani ya nani alifaa kwenye nafasi ya Uwaziri mkuu (kwa changamoto za sasa) kati ya Pinda na Sitta naweza kusema SITTA angefaa zaidi. Walau anaweza kukuangalia machoni akasema yaliyo rohoni mwake, Pinda is a 'thoerist' with no real sense of the challenges on the ground. Na atawaletea shida ccm na serikali unless abadilishe approach. Jambo linalonisumbua kuhusu Pinda ni hili:
1. Kwa nini au kulikuwa na logic gani kwake yeye kupanda ndege kwenda kwenye jimbo la Magufuli na kumkataza 'kusimamia' sheria (bomoabomoa), alishindwa nini kufanya hivyo hapa Dar es Salaam? Why was it important kutoa hilo tangazo Kagera wakati sehemu yenye mabango mengi ni Dar es Salaam?
Itatusaidia sana tukijenga utamaduni wa kuchunguza systemic flaws za mfumo mzima wa uendeshaji mambo badala ya kuangalia symptoms za tatizo tu.
Sitta hana password ya safe box la Hazina, kuna mtu alimpa hizo hela, nani huyo, kwa nini hakuuliza kama makao makuu ya kudumu ya Spika yanahamia Urambo, kiasi gani alimpa, kwa nini, kabla ya kutoka zilikuwa earmarked kwa bajeti gani, Sitta alisema anaenda kufanyia nini, sheria inasemaje, makaratasi yako wapi, mfumo mzima ukoje? Ultimately, si kosa la Sitta kuomba hela na kupewa.
Hapo umenena erooNdio nnachompendea Sitta hajui kufichaficha maneno kama Pinda!Amesema maamuzi magumu yote yanayoendana na rushwa sio maamuzi magumu.
kumbe kusimamia sheria ni kuchemsha! Ndio maana wanamagamba wengi hawapendi kufuata sheria bali "mapokeo" ! Ukweli nikwamba vita vinavyo endelea sasa faida kubwa ni kwa wanamageuzi haijalishi nani ndani ya ccm yuko sawa bado mnufaikaji mkubwa ni mwanamageuzi ningefarijika sana kama angeibuka mwingine na mwingine zaidi kupambana na hoja ya ELHili swala lilijadiliwa sana humu jaribu kutafuta hiyo thread usome Mkuu inamaelezo mengi muhimu sana kwa watu mnapenda kuongelea watu badala ya mambo! Pale Magufuri alichemsha najuwa inawasumbuwa sana wafuasi wake lakini huo ndio ukweli.
hili saga mweisho wake ni 2015 kunye kura za maoni ya kupendekeza jina la urai kupitia ccm, lowasa Vs sita bado wapo wakina mwandosya sumaye mwinyi mdogo na membe kazi ipo