Waziri Sitta achongewa kwa Lowassa

Waziri Sitta achongewa kwa Lowassa

Povu linakutoka kwa kumtetea fisadi wako ili marashi atakayokuwa anajipaka atakapokuwa Ikulu yakurukie na wewe japo uambulie ukuu wa wilaya.
Mkuu BAK, I though you belong to ma GT wa humu jf!. Hata baada ya kukueleza EL ni "sauti tuu iliyo nyikani", bado huelewi!.

Hili la kuteuliwa DC nalo neno, ili niteuliwa DC itabidi kwanza niwe mwana CCM, mimi sijawahi kuwa mwana CCM, kwa sababu sijafikiria kuwa mwanasiasa!. Kwa vile siasa naziweza, nikiamua, naweza kujiunga chama chochote, naweza kujiunga CCM nikawasidia kuleta mabadiliko from within, naweza kujiunga Chadema, nikawasaidia kwenya "rapid response on damage control", naweza kujiunga NCCR, TLP, UDP au CUF, au 2015, naweza kusimama as an Independent Candidate na kushinda kuilaini Kinondoni wilaya ninayoishi, Kawe, jimbo ninalioshi, au Ilala nilikoanzia kazi na kuishi ten good years!. Yote haya "ni kama" nitaamua!.

Hata nikiingia CCM, kiukweli wa toka ndani ya moyo wangu, kwangu mimi U-DC sio dili kabisa!. Kama nimewahi kuwa "political Advisor" mahali, nikilipwa fungu nene tuu, lakini niliacha kwa kuboreka, na kuirudia fani yangu, sasa U-DC ndio nini kwangu?!.

Wengi wanaamini Pasco wa jf ni mtu wa njaa sana!, kiukweli mimi ni maskini jeuri, niko kama "kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!", nikimaanisha kama issue ni pesa, ningekuwa naogelea kwenye minoti!, lakini mimi naendeleza fani yangu japo ya kimasikini, lakini I'm doing what I love most!.
Pasco
 
Hao wabunge nao wavivu tuu yaani mpaka leo hii bado hawajui msimaamo wa nchi sasa wanawakilisha nini huko au wanaenda kuuza sura tuu.
 
binafsi nimesoma kwa kina tuhuma anazotoa mbunge wa bunge la afrika mashariki mh. Shyrose banji dhidi ya waziri sitta na kujiridhisha kuwa huo ni sehemu ya mkakati wa lowassa kutafuta uraisi wa 2015 na wala hakuna hoja yoyote inayojengwa kwa misingi ya iwajibikaji wala uzalendo.ukisoma maelezo yote yapo kwenye posho posho posho yani sio kitu kingine ila posho na kudhalilishana.inashangaza kuwa taarifa hizo anazitoa kwa lowassa mtu mchafu na ambaye hana rekodi yoyote ya utendaji wa maana isipokuwa wizi na ufisadi.ni wakati sasa kwa watendaji na viongozi wsio waadilifu na wazalendo kufunga midomo na kuacha kujidanganya kuwa kwa kuwachafua wenzao watakuwa wasafi.lowassa naapsw kurudisha mabilioni anayotuibia kila siku na yale ya richmond na haya ya dowans wanayolipwa sasa kabla ya kufikiria kuwqa rais wa nchi hii.hata mbingu ishuke lowassa hasafishiki.ni mchafu kuliko uchafu.
 
Sio Lowasa, wala Sitta anayeweza kuwa Rais wa nchi hii.watarumbana, watamwagiana tindikali au kutekana, ila kamwe hakuna atakayekuwa Rais kati ya hawa wawili, hata kama wataamua kusimama kama wagombea binafsi.
 
You don't have any authority to judge who is GT and who is not on this forum. Tatizo lako wewe ni bendera hufuata upepo. Ukiona kambi ya fisadi Lowassa wameshuka kwa wingi jamvini ili kumpigia debe basi nawe utaunga tela, ukiona upepo unaelekea upande tofauti utajiita mzalendo. Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake kamwe hawezi kuona uchaguzi unachakachuliwa halafu bado akadai chama kilichochakachua uchaguzi kwa vitendo mbali mbali ikiwemo kutumia vyombo vya dola ndicho mshindi halali. Kama uDC siyo deal basi utapewa ubalozi Burundi. We endelea kuzuga watu hapa jamvini kwamba huna chama kumbe janja yako wengi tumeshaistukia.

Mkuu BAK, lengo la tendo la ndoa kwa mujibu wa mafundisho yote ya dini zote na jamii zote, was ment lifanywe ndani ya ndoa!. Lakini kabla tendo hilo halijafanyika, lazima kwanza umtafute umpendae, umpende, umpose, ndoa ifungwe ndipo ufaidi matunda ya ndoa!.

Hivyo hata kama CCM, walichakachua, walidanganya, walihonga, waliiba na kufanya kila mbinu, anayetangazwa na tume kuwa ndiye mshindi, anakuwa ni "mshindi halali"
.

Mkuu BAK, I though you belong to ma GT wa humu jf!. Hata baada ya kukueleza EL ni "sauti tuu iliyo nyikani", bado huelewi!.

Hili la kuteuliwa DC nalo neno, ili niteuliwa DC itabidi kwanza niwe mwana CCM, mimi sijawahi kuwa mwana CCM, kwa sababu sijafikiria kuwa mwanasiasa!. Kwa vile siasa naziweza, nikiamua, naweza kujiunga chama chochote, naweza kujiunga CCM nikawasidia kuleta mabadiliko from within, naweza kujiunga Chadema, nikawasaidia kwenya "rapid response on damage control", naweza kujiunga NCCR, TLP, UDP au CUF, au 2015, naweza kusimama as an Independent Candidate na kushinda kuilaini Kinondoni wilaya ninayoishi, Kawe, jimbo ninalioshi, au Ilala nilikoanzia kazi na kuishi ten good years!. Yote haya "ni kama" nitaamua!.

Hata nikiingia CCM, kiukweli wa toka ndani ya moyo wangu, kwangu mimi U-DC sio dili kabisa!. Kama nimewahi kuwa "political Advisor" mahali, nikilipwa fungu nene tuu, lakini niliacha kwa kuboreka, na kuirudia fani yangu, sasa U-DC ndio nini kwangu?!.

Wengi wanaamini Pasco wa jf ni mtu wa njaa sana!, kiukweli mimi ni maskini jeuri, niko kama "kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!", nikimaanisha kama issue ni pesa, ningekuwa naogelea kwenye minoti!, lakini mimi naendeleza fani yangu japo ya kimasikini, lakini I'm doing what I love most!.
Pasco
 
You don't have any authority to judge who is GT and who is not on this forum. Tatizo lako wewe ni bendera hufuata upepo. Ukiona kambi ya fisadi Lowassa wameshuka kwa wingi jamvini ili kumpigia debe basi nawe utaunga tela, ukiona upepo unaelekea upande tofauti utajiita mzalendo. Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake kamwe hawezi kuona uchaguzi unachakachuliwa halafu bado akadai chama kilichochakachua uchaguzi kwa vitendo mbali mbali ikiwemo kutumia vyombo vya dola ndicho mshindi halali. Kama uDC siyo deal basi utapewa ubalozi Burundi. We endelea kuzuga watu hapa jamvini kwamba huna chama kumbe janja yako wengi tumeshaistukia.
Mkuu BAK, kwanza natanguliza samahana kwa vile japo jf was meant for ma GT, lakini ukweli unabaki sio kila mwana jf ni GT, ma GT wapo, na sisi wa kawaida kama mimi pia tupo!, mwanzo nilidhani na wewe ni GT, kumbe ni kama mimi tuu, vitu simple kuhusu EL, unashindwa kuelewa!.

Matokeo ya uchaguzi wowote "yanahalalishwa" kwa kutangazwa na NEC!, baada ya matokeo ya urais kutangazwa, that is the end of the road!. Kutangazwa maana yake ndio amehalalishwa, yaani halali, kwa utaratibu wa "the end justifies the means!". Huu ndio ukweli wenyewe ukubali, ukatae!. Baada ya mshindi kutangazwa, anakuwa halali pale pale na haijalishi ni mbinu gani alizotumia kushinda!.

Sijisifu wala sihitaji kujitapa kuhusu uzalendo wangu kwa nchi yangu!. Wanaonijua, wanaujua, kwa wasio nijua, watanijua tuu kufikia 2015!.

Hili la kutokuwa na chama, its coming from the bottom of my heart sina chama!, ila ninauhuru wa kuwa na mapenzi na chama chochote, na mtu yoyote!. Kama mwana habari, nimetumika wakati wa Mwinyi, nimetumika wakati wa Ben na sasa naendelea kutumika wakati wa JK, sijikombi kwa yoyote wala chama chochote!. Lumumba nakwenda, Togo nakwenda, Buguruni nakwenda na pale Ilala Mtaa wa Arusha pia nakwenda, na kutokuwa na chama huku, there is where my strength lies!.

Pasco.
 
Please share with us the criteria used to evaluate who is GT and who is not.

Kamwe siwezi kuwa kundi moja nawe mchumia tumbo ambaye uchaguzi hata kama umechakachuliwa ali mradi tu matokeo yametangazwa na tume ya uchaguzi ya CCM ambayo haiko huru hata chembe basi utayaona matokeo hayo ni halali!!! Kweli weye ni Mzalendo tena wa hali juu!!!!

Angalia hapa jinsi unavyobwabwaja bila kutoa mifano yoyote ili kutetea kauli zako fyongo. Hapo juu fisadi Lowassa ni sauti tu nyikani, halafu tena unadai fisadi lowassa ana vipaji vya kuweza kuwa Rais mzuri kuliko wote tuliokuwa nao...DAH!!!!! Maneno ya Mzalendo halisi haya. Hebu tuwekee mifano michache ya kuonyesha jinsi Watanzania tulivyonufaika na Lowassa's abilities as visionary leader or any other leadership abilities as you mentioned below.

Kwa taarifa yako mzalendo halisi hatakiwi kujibaraguzabaraguza kila dakika na kujipigia debe kwamba yeye ni Mzalendo halisi, kwenye kundi hapotei ni rahisi kumfahamu kwamba huyu ana mapenzi kweli na nchi yetu lakini wewe Pasco huna hata chembe moja ambayo inastahili kutumika katika kuingizwa kwenye kundi la Wazalendo wa Tanzania. Wewe ni mchumia tumbo tu ambaye unasubiri kuona upepo unavuma vipi kuelekea 2015 ili uchague kambi katika kubahatisha kurushiwa mafuta uzuri ili nawe unukie. Danganya wengine wasiokujua, hapa jamvini wengi tunakufahamu kwamba wewe ni mganga njaa tu huna uzalendo wowote.

Mkuu BAK, I though you belong to ma GT wa humu jf!. Hata baada ya kukueleza EL ni "sauti tuu iliyo nyikani", bado huelewi!.

Pasco

Wanabodi,

Naomba nianze kwa ku declare interest: Mimi Pasco wa JF ni mshabiki mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, na kumchagiza yeye ndiye awe mgombea wa urais wa 2015 kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM!.

Japo mimi humu jukwaani natambulika kama ni "mtu wa Lowassa", sijawahi kukaa nae popote zaidi ya kukutana nae kihabari, sijawahi kuhudhuria mkutano wake wowote na waandishi wa habari, sijawahi kupokea hata senti tano yake ili kumpigia, debe humu, bali nilijitolea kwa sababu niliamini ni kupitia kwake, Tanzania ingepata ule ukombozi wa pili wa Mtanzania,

Edward Lowassa kwa CCM na urais wa 2015 ni kama Zitto Kabwe na Chadema kwa urais wa 2015!, both are powerful,action oriented, mabingwa wa mass mobilization, wana vipaji vya hali ya juu vya "visionary leadership", wote wana capabilities za kutupatia the "best presidents" this nation had ever had.

Please share with us the criteria used to evaluate who is GT and who is not.

Kamwe siwezi kuwa kundi moja nawe mchumia tumbo ambaye uchaguzi hata kama umechakachuliwa ali mradi tu matokeo yametangazwa na tume ya uchaguzi ya CCM ambayo haiko huru hata chembe basi utayaona matokeo hayo ni halali!!! Kweli weye ni Mzalendo tena wa hali juu!!!!
.

Mkuu BAK, the simple criteria ya kumbaini GT na mtu asiye GT ni uwezo to "read in between the lines!". Sasa nilikuthania na wewe unao uwezo huo!. Kwa mimi nimeishajikubali kuwa sio GT, nilipokugundua na wewe huna uwezo huo, hivyo nimejiridhisha kuwa kumbe tunafanana tuu wote sio ma GT!.

Kufanana sio sawa na kuwa kundi moja, hivi ni vitu viwili tofauti!. Suala la kufanana ni masuala ya uwezo "ability" huamui wewe!, tukifanya mtihani mmoja, ma GT ndio watapata 1st Class, na mimi na wewe tutaishia Div III, haijalishi hiyo Div III ni ya Historia, Geagraphy na Kiwahili, wakati ya kwako ni ya Hisabaki, Fizikia na Kemia, as long as zote ni III, then tunafanana!. Hivyo unaweza kujidhania na wewe ni GT humu jukwaani, lakini kumbe kuiwezo, uko sawa na akina sisi ambao tumeishajikubali kuwa sio ma GT!.

Hili la uhalali wa matokeo, nasema tena kwa mara ya mwisho kuwa yanahalalishwa kwa "the end" not "the means!". Uchaguzi umefanyika, JK amegombea na Dr, lets assume Dr ndiye aliyepata kura nyingi (kama mlivyoaminishwa) lakini JK kaiba hizo kura za Dr!, matokeo yametangazwa JK kashinda!. Kapewa cheti cha ushindi!, kaapishwa!, na sasa ndiye rais wetu!. JK ni rais halali wa Tanzania!, amehalalishwa na NEC!. Uwe ulimchagua, hukumchagua, yeye ndiye rais wetu, ndiye rais wa Dr, ndiye rais wa Halali wa Tanzania!, this is hard fact na haina mjadala!.

Kwa kukusaidia tuu, "haki" na "halali" ni vitu wiwili tofauti!. Uchaguzi unaweza usiwe "huru na wa Haki!", lakini kwa mujibu wa sheria zetu, mshindi wa urais akishatangazwa na NEC, anakuwa ni "Halali" hata kama hakupatikana kwa "haki" na uhalali huo ni jambo la kiutaratibu, kikanuni na kisheria na unapatikana kwa kitendo cha "kuapishwa" na baada tuu ya kuapishwa, that is the end of the road!, ni kusubiri miaka mitano mingine, ujaribu tena!, and that is how "the end justifies the means!".

Hata hivyo, pamoja na JK kuwa ndite rais halali wa Tanzania kwa sasa, hukatazwi kuwa na "rais wako moyoni!" wala hukatazwi kumtumikia, kumuabudia na hata kumchangia pesa!, ila utake usitake, rais halali wa nchi ni JK na wewe ndio lazima utoe jasho lako utake usitake, ili kumlipa mshahara (kupitia kodi) huyu rais wako halali wa Tanzania!. Hata ukiwa ughaibuni any cent you send to Tanzania iwe ni western union, paypal or bank transfer, mshahara wa JK unakatwa!, sio tuu kumlipa msharaha rais halali JK, bali pia hata mshahara wa huyo rais wa moyoni mwako kupitia ile "ruzuku!".

Pasco.
 
Kwa taarifa yako mzalendo halisi hatakiwi kujibaraguzabaraguza kila dakika na kujipigia debe kwamba yeye ni Mzalendo halisi, kwenye kundi hapotei ni rahisi kumfahamu kwamba huyu ana mapenzi kweli na nchi yetu lakini wewe Pasco huna hata chembe moja ambayo inastahili kutumika katika kuingizwa kwenye kundi la Wazalendo wa Tanzania. Wewe ni mchumia tumbo tu ambaye unasubiri kuona upepo unavuma vipi kuelekea 2015 ili uchague kambi katika kubahatisha kurushiwa mafuta uzuri ili nawe unukie. Danganya wengine wasiokujua, hapa jamvini wengi tunakufahamu kwamba wewe ni mganga njaa tu huna uzalendo wowote.
Mkuu BAK, ndia maana nilikuambia tangu mwanzo, ulipaswa kuwa na uwezo "to read in between the lines!" na leo nasema tena na tena, kwa hali ya nchi ilivyo sasa, EL ndie the best candidate that CCM has!, "kwa ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzaia ili pia litimie lile neno kuwa rais wa Tanzania kwa mwaka 2015!, lazima atoke Kaskazini!".

Nikasema mgombea urais wa CCM hupatika kwa kuwa "the chosen one!" and not necessarily "the best one!" na nikatolea mfano mbio za 2005 ndani ya CCM, kati ya JK, Dr Salim na Prof. Mwandosya, the best was Dr, akifuatiwa na Prof, JK ndiye alikuwa wa mwisho!, but "the chosen one!". Niliwahi kuuliza humu mnajua sifa zipi na mbinu zipi zilimpitisha JK!.

Hivyo baada ya uchaguzi wa CCM nikasema humu kuwa japo EL is the best that CCM has, ila "he is not the chosen one" nikawaambia EL amelikubali hili, sasa yeye ni "sauti tuu iliyo nyikani" ikiyanyoosha mapito ya huyo yuaja!.

Na kwa upande wa Chadema, mwanzo nilisema "ZZK is the 'one and only' best that Chadema has!", Baadaye nikayaweka mapungufu ya ZZK humu humu jukwaani hivyo nikabadili kidogo msimamo kuwa ZZK is among the best that Chadema has!"

Kwa kutokuwa na chama, means I'm standing on the fence, hivyo niko huru kuangukia popote, kama ningekuwa mganga njaa na mchumia tumbo, kwa nini nisingejiunga CCM siku nyingi ili nami niwe sehemu ya ulaji wa hii "keki ya taifa?!. Niliwahi kufanya kazi mahali pa maana tuu huku nikivuta fungu nene!, sikufukuzwa, sikuchikwa, siku achishwa, bali, mkataba ulipoishwa, niliombwa ku renew, nikakataa ili tuu nilitumikie taifa langu kwenye fani hii ya habari!.
Pasco wa jf atakuwa ni mchumia tumbo wa ajabu sana, ambaye mpaka leo hajajiunga na CCM eti akisubiria kuangalia upepo wa 2015 unavumaje!?. Pasco wa jf ni mganga njaa wa ajabu sana, ambaye moja ya majukumu yake siku hizi ni kuzigawa zile "bahasha za uwezeshaji waandishi wa habari!.

Pasco.
 
Please share with us the criteria used to evaluate who is GT and who is not.

Kamwe siwezi kuwa kundi moja nawe mchumia tumbo ambaye uchaguzi hata kama umechakachuliwa ali mradi tu matokeo yametangazwa na tume ya uchaguzi ya CCM ambayo haiko huru hata chembe basi utayaona matokeo hayo ni halali!!! Kweli weye ni Mzalendo tena wa hali juu!!!!

BAK,

Umekataa kulinganishwa na......!
 
lol! we unachekesha sana kwa pumba zako. Ukiandika pumba hukawii kuruka kimanga kwamba hukueleweka.

I am very glad that I don't have the ability to read between the lines. By the way who made the decision that the criteria to be used to evaluate GT and non GT is the ability to "read between the lines"!? and when this decision was made!?

Endelea kushusha pumba zako lakini ujue wengi tumeshakustukia kwamba wewe ni mganga njaa anayesubiri kuona upepo unaelekea kipande ipi ili nawe uweke kambi huko upepo utakokuwa unaelekea.

Mkuu BAK, ndia maana nilikuambia tangu mwanzo, ulipaswa kuwa na uwezo "to read in between the lines!" na leo nasema tena na tena, kwa hali ya nchi ilivyo sasa, EL ndie the best candidate that CCM has!, "kwa ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzaia ili pia litimie lile neno kuwa rais wa Tanzania kwa mwaka 2015!, lazima atoke Kaskazini!".

Nikasema mgombea urais wa CCM hupatika kwa kuwa "the chosen one!" and not necessarily "the best one!" na nikatolea mfano mbio za 2005 ndani ya CCM, kati ya JK, Dr Salim na Prof. Mwandosya, the best was Dr, akifuatiwa na Prof, JK ndiye alikuwa wa mwisho!, but "the chosen one!". Niliwahi kuuliza humu mnajua sifa zipi na mbinu zipi zilimpitisha JK!.

Hivyo baada ya uchaguzi wa CCM nikasema humu kuwa japo EL is the best that CCM has, ila "he is not the chosen one" nikawaambia EL amelikubali hili, sasa yeye ni "sauti tuu iliyo nyikani" ikiyanyoosha mapito ya huyo yuaja!.

Na kwa upande wa Chadema, mwanzo nilisema "ZZK is the 'one and only' best that Chadema has!", Baadaye nikayaweka mapungufu ya ZZK humu humu jukwaani hivyo nikabadili kidogo msimamo kuwa ZZK is among the best that Chadema has!"

Kwa kutokuwa na chama, means I'm standing on the fence, hivyo niko huru kuangukia popote, kama ningekuwa mganga njaa na mchumia tumbo, kwa nini nisingejiunga CCM siku nyingi ili nami niwe sehemu ya ulaji wa hii "keki ya taifa?!. Niliwahi kufanya kazi mahali pa maana tuu huku nikivuta fungu nene!, sikufukuzwa, sikuchikwa, siku achishwa, bali, mkataba ulipoishwa, niliombwa ku renew, nikakataa ili tuu nilitumikie taifa langu kwenye fani hii ya habari!.
Pasco wa jf atakuwa ni mchumia tumbo wa ajabu sana, ambaye mpaka leo hajajiunga na CCM eti akisubiria kuangalia upepo wa 2015 unavumaje!?. Pasco wa jf ni mganga njaa wa ajabu sana, ambaye moja ya majukumu yake siku hizi ni kuzigawa zile "bahasha za uwezeshaji waandishi wa habari!.

Pasco.
 
lol! we unachekesha sana kwa pumba zako. Ukiandika pumba hukawii kuruka kimanga kwamba hukueleweka.

I am very glad that I don't have the ability to read between the lines. By the way who made the decision that the criteria to be used to evaluate GT and non GT is the ability to "read between the lines"!? and when this decision was made!?

Endelea kushusha pumba zako lakini ujue wengi tumeshakustukia kwamba wewe ni mganga njaa anayesubiri kuona upepo unaelekea kipande ipi ili nawe uweke kambi huko upepo utakokuwa unaelekea.
Mkuu BAK, kuelewa pia ni "uwezo!", sifa kuu ya GT ni pamoja na "uwezo" huo wa kuelewa!. Kumbe wewe unasubiri kuambia who made the decisions?!, siswengine hatusubiri "who", we just made that trend!, "trend setters!", na muda wa kukubali matokeo utakapowadia, nitakukumbusha tena humu humu jf!.

Pasco
 
lol! Wewe utakuwa ni trend setter wa kuandika ---- kila uchao. Sina haja ya kuzisikia pumba zako.

Mkuu BAK, kuelewa pia ni "uwezo!", sifa kuu ya GT ni pamoja na "uwezo" huo wa kuelewa!. Kumbe wewe unasubiri kuambia who made the decisions?!, siswengine hatusubiri "who", we just made that trend!, "trend setters!", na muda wa kukubali matokeo utakapowadia, nitakukumbusha tena humu humu jf!.

Pasco
 
lol! Wewe utakuwa ---- . Sina haja ya kuzisikia pumba zako.
Mkuu BAK, kama ilivyo kuelewa ni uwezo, vivyo hivyo na kusikia pia ni uwezo!. Hata Socrates na Plato walivyoanza, walionekana kama ni wapiga kelele tuu tena wanajisumbua!.

Kwa vile kusikia nako ni uwezo, na kwa vile kuna watu hawana uwezo "to read in between the line", hivyo pia kuna uwezekano hata uwezo wa "kusikia" pia inawezekana ikawa issue, kila sauti ukaiona na kelele tuu (pumba), hivyo kusikia nako, kunahitaji "uwezo!".

Ila pia, masikio nayo ni kama macho, yana pazia!, ukiamua usiangalie kitu, unafunga macho!, na ukiamua usisikie kitu, unaziba masikio!, ndio maana sio lazima usikilize kila kitu!, ila pia kuna vitu, hata usiposikiliza, utasikia tuu wether you like it or not!. Kwa mfano kwani ulipenda kumsikia nani ndiye awe rais wako?!. Sasa huyo aliyepo, unategemewa utapenda kumsikia?!. No!, hata ukisema huna haja ya kumsikia!, utamsikia tuu!.
Pasco.
 
lol! acha kujibaraguza banaa!!! kwa kujifananisha na akina Socrates na Plato. Subiri watu wakupigie debe siyo kujipigia debe mwenyewe. Kwa taarifa yako ni ----- tu ambao ndio unashusha hapa kutokana na uwezo wako finyu wa kuchanganua mambo.

Madudu kama haya unayoyaandika ndiyo yanayoonyesha uwezo wako wa kutafakari kwa kina kabla ya kuandika pumba zako.

Uliandika:
Hivyo hata kama CCM, walichakachua, walidanganya, walihonga, waliiba na kufanya kila mbinu, anayetangazwa na tume kuwa ndiye mshindi, anakuwa ni "mshindi halali"

Ungekaa chini na kutafakari kwa akina athari za kuwa na Rais ambaye ameingia madarakani kwa njia za haramu basi kamwe usingeandika pumba zako hapo juu, lakini mimi nitakusaidia kwa kukupa mifano hai ya athari za Kiongozi kuingia madarakani kwa njia haramu.

Kikwete inajulikana jinsi alivyobebwa na kundi lake la mtandao katika kutafuta mgombea toka CCM katika uchaguzi Mkuu wa 2005. Kikwete na kundi lake la mtandao walijua fika kwamba kamwe kwenye utendaji asingeweza kusimama na SAS katika kinyang'anyiro kile na hivyo kuamua kukusanya mabilioni ya pesa toka kwa mafisadi mbali mbali nchini ili kutumia pesa zile chafu katika kumchafua SAS na pia katika kununua wajumbe wa CCM ambao katiba ya chama chao iliwapa nafasi ya kumteua mgombea toka CCM.

Kikwete alipoingia madaraka wengine walithubutu kumuita kwamba ni "chaguo la mungu" kutokana naahadi zake chungu nzima zikiwemo "Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya", "Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana" "Nitaipitia tena mikataba ya uchimbaji wa madini yetu" na nyingine chungu nzima ambazo hadi hii leo hakuna hata moja aliyoitimiza.

Kama utakumbuka mwanzoni tu mwa awamu yake kukaibuka kashfa kubwa ya EPA ambayo mimi nilidhani Kikwete angeitumia kashfa ile kujijengea heshima kubwa sana kwa kuamua kuwashughulikia mafisadi wale wa EPA bila kuwaonea huruma ya aina yoyote ile, lakini hakufanya hivyo. Tukaanza kusikia kauli mbali mbali za kustaajabisha kama toka kwa Pinda, "Wahusika wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto", "Asilimia kubwa ya pesa za EPA zimerudishwa na wahusika na zimeshawekwa katika bank account" lakini Watanzania tulipoomba majina ya waliorudisha pesa na kiasi kilichorudishwa na kila mmoja na pesa zile zimewekwa katika Bank ipi na bank account waiweke hadharani. Kikwete na Serikali yake wakashindwa kutimiza hata moja ya maombi ya Watanzania. Mpaka leo hakuna ushahidi wowote ule kama kweli pesa za EPA zilirudishwa kama inavyodaiwa.

Kukawepo na sakata la Richmond/Dowans ya swahiba wake Rostam Azizi, pamoja na kampuni ile kuidanganya Serikali kwamba ina HQ yake Houston, Texas na ina uzoefu wa muda mrefu katika ufuaji wa umeme na hivyo kujipatia mkataba mkubwa toka TANESCO wakati nchi ilipoingia gizani kampuni ile ikashindwa kuzalisha hata tone moja la umeme pamoja na kwamba ilikuwa ikiendelea kulipwa mabilioni ya pesa toka TANESCO. Kama utakumbuka Kikwete alikuwa kimya kwa muda mrefu wakati wa sakata la Richmond/Dowans kitu ambacho kiliwastaajabisha Watanzania wengi kuona Rais wao yuko kimya katika sakata lenye uzito mkubwa katika maslahi ya nchi.

Mwaka jana kukaibuka sakata lingine la "Mabilioni ya Uswissi" Kikwete na serikali yake hadi hii leo wanajizungusha zungusha katika kuwataja wahusika wa pesa hizo na pia kuhakikisha zinarudishwa nchini huku ukiwepo ushahidi wa kutosha kwamba kweli zimerudishwa nchini

CCM ikaendelea kuyumba yumba huku Watanzania wengi tukiita "Chama cha mafisadi" ndipo miaka michache iliyopita Kikwete na chama chake wakaibuka na kauli ya "Kulivua gamba". CCM walidai wanachama mbali mbali wakiwemo, Lowassa na Rostam, wa chama chao ambao wamekichafua chama kutokana na ufisadi watafukuzwa chamani katika jitihada za kukisafisha chama ili kiondokane na sifa mbaya miongoni mwa Watanzania walio wengi kwamba ni "Chama cha Mafisadi" lakini kama kawaida hakuna lolote lile lililofanyika.

Sababu kubwa ya kushindwa kuwashughulikia wahusika wa EPA, Richmond/Dowans, Rada ya akina Mzee wa Vijisenti, Wakwapuaji wa nyumba za Serikali, Wakwapuaji wa Kiwira Coal Mining, mabilioni ya Uswiss, Meremeta, Kagoda, wachafuzi wa CCM hadi kufikia kuitwa "Chama cha Mafisadi" ni kwamba uongozi wa nchi yote umeoza. Huwezi ukamnyooshea kidole mwenzio kuhusu uchafu wake wakati naye anajua uchafu wako ambao akiamua kuuanika hadharani basi nchi itawaka moto. Haya ndio matatizo ya kuwa na kiongozi aliyeingia madarakani kwa njia haramu kwa kutumia mabilioni ya pesa chafu ili kujisafishia njia kuelekea Ikulu. Siku zote atakuwa muoga kutimiza wajibu wake kama Rais pamoja na nguvu kubwa alizopewa na katiba ya nchi.

Huyu fisadi wako naye Lowassa hana uwezo wowote kama kiongozi. Ukimuuliza katika miaka yote aliyokuwa ndani ya Serikali ni lipi ambalo amelifanya linalostahili Watanzania kujivunia nina hakika hana hata moja ambalo Watanzania tunaweza kusema hili lilifanywa na Lowassa Watanzania tunaweza kujivunia kwa miaka mingi ijayo. Hivyo naye atatumia mabilioni ya pesa chafu zitakazokusanywa na mtandao wake kama ilivyokuwa 2005 ili kujisafishia njia ya kuingia Ikulu 2015. Atatumia ubavu wa vyombo vya dola kuwatisha Viongozi wa CDM, kuvuruga kampeni zao, kuhonga pilau, kanga, kofia, fulana na pombe. Na akiingia kule haya tuliyaona katika hizi awamu mbili yataendelea kama kawa bila kuwepo tofauti yoyote ile, kwa maneno mengine nchi kuendelea kuangamia pamoja na utajiri mkubwa tuliokuwa nao.

Tukitathimi hii awamu ya Kikwete hakuna hata moja la ahueni. Usafiri wetu wa ndege, reli, barabara na majini bado ni wa kukatisha tamaa kupita kiasi, Kiwango cha elimu nchi mwetu kinazidi kushuka katika kiwango cha kutisha mwaka hadi mwaka, Hospitali zetu mambo ni hovyo hovyo yaani zinatisha kusema kweli, upatikaji wa huduma muhimu kama maji na umeme hauna ahueni yoyote. Kwa kifupi grade anayostahili Kikwete katika hizi awamu mbili ni F au kama ni marks ni SIFURI.

Wewe muandika pumba hapa jamvini Hivyo hata kama CCM, walichakachua, walidanganya, walihonga, waliiba na kufanya kila mbinu, anayetangazwa na tume kuwa ndiye mshindi, anakuwa ni "mshindi halali" huoni athari zote zinazosababishwa na kuwa ni kiongozi aliyepatikana kwa njia za haramu. Kwako wewe hata akikiuka vipi taratibu za uchaguzi zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi ambayo si huru ali mradi tu Tume hiyi ambayo si huru ikimtangaza kwamba ndiye mshindi halali basi kwako wewe muandika pumba mchezo ndio umekwisha!!!! Jitahidi kutafakari mambo kwa kina si kwa kuyaangalia juu juu tu ili ujue athari zake.

Nadhani kuna haja katika katiba mpya kuwepo na kipengele kitakachosema kwamba Mtanzania yeyote yule ambaye aliwahi kushika nafasi ya juu Serikalini, Taasisi yoyote ile ya umma, private company ambaye alijiuzulu au kufukuzwa kazi kutokana na kashfa ambayo iliingizia Serikali/taasisi ya umma/private hasara kubwa basi Mtanzania huyo kamwe hataruhusiwa kugombea nafasi yoyote ile kuanzia Ubunge hadi Urais. Hii itatusaidia kupunguza mafisadi wanaounyemelea Urais ili wakaendeleze ufisadi wao.

Back
Top Bottom