Waziri Sitta achongewa kwa Lowassa

Waziri Sitta achongewa kwa Lowassa

Mimi siamini kama hao wabunge wa EAC wanaenda huko Bungeni hawajui kitu gani wanachoenda kuongea na kama ni kweli basi kuna mamtaizo makubwa nchi hii siyo tu kujua sera gani za nchi za kuzitetea katika hilo bunge.


Hakika hata mimi nashindwa kuamini hili jambo. Yaani watu waliochaguliwa na wabunge wenzao wanasema kwenye kadamnasi kuwa kila mbunge anajiongelea kivyake vyake kwenye mambo yanayohusu taifa? Kama ni kweli, it is a big shame. Hivi litakuwa ni kosa la nani. He! Kama hakuna msimamo wa pamoja katika kujibu hoja tutegemee nini jamani Watz? Hii ni hatari kwa mustakabali wa nchi. Je, alaumiwe nani?
 
Eti busara za ghafla zinatoka wapi? umesahau wewe ulikua kiongozi wa masalia ghafla ukawa mzalendo na mtiifu wa Dr.
Acha unafiki kijana kila siku nakwambia au ndo nyani haoni .........? wewe gafla umekua mzalendo kwa Dr iweje kwa EL asiweze kugeuka ghafla na kua na busara,au kisa wewe una masters ya INDIA?

EL amekua waziri mkuu kwa miaka isiyozidi 3 wewe ulitegemea kikubwa kipi kwa miaka miwili ya uwaziri mkuu wakati huo nchi ikiwa imetoka kwenye uchaguz mkuu.
Ni ushamba kubisha kila kitu,anyway labda ndio asili yako thats y unajikuta kila mara uko kwenye makund.
wanafiki kama wewe tumewaona wengi ila Mwisho wa ubaya ni aibu.

Six anamiaka mingapi kwenye hii wizara kama hiyo ndiyo hoja?
 
Wapewe desa watuwakilishe vyema, vingine vyaitaji sera ya mambo ya nje na nazani ya ndani pia so SERA ndo kama guideline.
 
Ni mwenyekiti wa kamati ya mbunge ya mambo ya nchi za nje, ni mbunge wa monduli, ni waziri mkuu mstaafu na ni mgombea urais ajae kupitiua tiketi ya CCM na mwisho ni mtanzania anayepakwa matope kutokana na ukwasi wake!
]
Wewe hacha uongo waliostaafu tunawajua na huyo lowasa wako si mmoja wao.
 
Hawa watu wa Forign Affairs huwa wanlipwa mishahara kwa kazi gani hasa? Kwa wizara kuwa na budget kubwa namna hii wakati mambo muhimu na ya msingi kama sera ya Africa Mashariki hawajaandaa, wanasubiri nini??

Halafu waziri wa mambo ya nje anataka kuwa Rais wa Tanzania.

Samual Sitta na Lowassa they are all bunch of useless loosers!
 
Ni mwenyekiti wa kamati ya mbunge ya mambo ya nchi za nje, ni mbunge wa monduli, ni waziri mkuu mstaafu na ni mgombea urais ajae kupitiua tiketi ya CCM na mwisho ni mtanzania anayepakwa matope kutokana na ukwasi wake!

Ban tu imesaidia nisiandike nlichotaka kuandika
 
tatizo hao wabunge walitumia pesa nyingi kuupata huo uwakilishi wakaachwa watu wenye uwezo matokeo yake badala ya kujenga hoja wanabaki kulalamika hawapewi ushirikiano
 
Sasa kama Shyrose ndio Katibu wa hao wabunge, hali ya kuwa shyrose hakuwahi kuwa mwanadiplomasia au "policy analyst" atajuaje maslahi ya Tanzania na ayatetee, haya ni matatizo ya wabunge waliomchagua mtu kama shyrose, ni matatizo pia yaliyosababishwa na waliomchagua kuwa katibu wa hao wabunge. "The country is in deep vicious circle of problems, whats required now is self dissolving and re-generating, starting by dissolving the so called ccm. I don't think whether the woman seems eminently suitable for that post!. Na haya yote yanasababishwa na hiki chama cha kijani, mifumo mibovu inayotumika huko kwenye chama chao kuchagua viongozi wao(kutoa kanga, kofia tsheti, ukipendwa hakuna kuhojiwa wala kuulizwa, likiulizwa swali la maana chama kimeandaa watu wa kuzomea), hiyohiyo wameileta kwenye mambo ya msingi ya nchi. Kwa kweli kwa style ya administration ya CCM, Tanzania itakuwa nchi pekee duniani ambayo haitapiga hatua yoyote katika nyanja zote hata miaka 1000 mbeleni; honestly, nyie watu wa ccm mbadilike aisey, wengine tuko nje sio kwamba tunapenda kuwa nje ila tumekimbia ubabaifu wenu; Damnable!
 
Nakubaliana nawe Lowasa hawezi kulete changes zozote ni msanii tu, alikuwapo serikalini mda mrefu mpaka ngazi ya waziri mkuu je alifanya nini cha maana? zaidi ya kukwapua pesa za walipa kodi!. Ninamuonea huruma kutojitambua kwamba siku zake zilishapita.
Mkuu Allen, kumbe hawezi?!, sasa nani anaweza?.
Pasco.
 
Fisadi mkubwa aliyejitajirisha kiharamu kwa kutumia nyadhifa mbali mbali alizowahi kushika Serikalini anayeutaka Urais 2015 kwa udi na uvumba.
Mkuu BAK, waliojitajirisha kiharamu tunawajua, wengine mpaka malkia kawasaidia kuwabaini hadi a/c na kiasi kilichipo kilitajwa, mmewafanya nini?!.

Kwenye EPA, imekamatwa mijizi imekwapua mihela ya ajabu!, ilifanywa nini?, sasa kama yeye amejitajirisha kiharamu, uharamu huo uko wapi?, kama watu wamefanya biasharta mpaka ikulu, na wengine wameigeuza ikulu ni pango la walanguzi, ukilinganisha na alichofanya yeye, si ni ataonekana ni malaika?!.

Hili la kuutaka urais kwa udi na uvumba, nalo neno!, laiti ungalijua hiyo ni "sauti tuu ya mtu aliye nyikani" akiyatayarisha mapito ya yuajaye ambaye aja!, usingeyasema haya!.

Hata hivyo, kwa rais wa 2015, ni yule yule aliyeandikwa!, "liandikwala ni kama lisemwalo, ndilo liwalo!".

"Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

Na kwa wale ambao hamuamini kuwa hilo linawezekana, nawahakikishia, "nothing is imposible under the sun!", na "lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!", kama ni kubisha tuu for the sake of kubisha!, endeleeni kubisha!.

Pasco.
 
Mkuu Independent Voter, usemayo ni kweli, ila kwa opinion yangu, he was the best, 2005, not 2015!. Sababu ni Age!.
Pasco.
1:Salim Ahmed Salim (born 23 January 1942, Zanzibar, present-day Tanzania) a Tanzanian diplomat who has worked in the international diplomatic arena since the early 1960s. Salim is married to Amne and they have three children: Maryam, Ali and Ahmed.

2:Edward Ngoyai Lowassa (born 1953) is a former Prime Minister of Tanzania, serving under President Jakaya Kikwete. He took office on 30 December 2005 and resigned on 7 February 2008 following a parliamentary select committee report on an emergency power generation contract between the Tanzania Electrict Supply Company Ltd (TANESCO), a public corporation, and a US company styled Richmond Development Company LLC of Houston, Texas. The five-member select committee, headed by a radical Kyela MP, Dr. Harrison Mwakyembe, considered the contract to have been fraudly concluded, hence unconscionable and blamed the Ministry of Energy and Minerals and the Prime Minister's Office for faul play.

3:Samuel John Sitta (born December 18, 1942) is a Tanzanian politician who was Speaker of the National Assembly of Tanzania from 2005 to 2010.[SUP][1][/SUP] He was elected to succeed Pius Msekwa as speaker on 26 December 2005.[SUP][2][/SUP] He is a member of the majority Chama Cha Mapinduzi party, represents Urambo Mashariki, he has previously been member of parliament since 1975 to 1995. He also was previously the director-general of the Tanzania Investment Centre.[SUP][2][/SUP] Currently he serves in the Cabinet as Minister of East African Cooperation.

4:Bernard Kamillius Membe, MP (born 9 November 1953) is a Tanzanian politician, who is the current Minister of Foreign Affairs and International Cooperation. In Parliament, he has represented the southern constituency of Mtama in Lindi Region since 2000.

5:Wilbrod Peter Slaa (amezaliwa tarehe 29 Oktoba 1948) alikuwa mbunge wa jimbo la Karatu katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[SUP][1][/SUP] Baada ya kugombea urais mwaka 2010 si mbunge tena, ila anaendelea kuwa katibu mkuu wa chama cha CHADEMA.

6:ZITTO KABWE
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Kigoma Kaskazini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]24 September 1976[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[/B]5:Wilbrod Peter Slaa (amezaliwa tarehe 29 Oktoba 1948) alikuwa mbunge wa jimbo la Karatu katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[SUP][1][/SUP] Baada ya kugombea urais mwaka 2010 si mbunge tena, ila anaendelea kuwa katibu mkuu wa chama cha CHADEMA.

6:ZITTO KABWE
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Kigoma Kaskazini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]24 September 1976[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

....Kwa kuwa Dr Slaa mwaka 2015 atakuwa ni mzee wa miaka 67, na kwa kuwa Rais wa tano wa Tanzania hatatoka Chadema, naamini ni vyema kwa Zito kumwachia huyu Mzee amalizie ndoto yake kwa mara ya mwisho kisha baada ya hapo apumzike kwa amani, abakie kama mshauri tu....

.... Zito arudi bungeni mwaka 2015 na akabidhiwe then jukumu la kuiandaa Chadema/muungano wa like minded politicians kuelekea kuchukua utawala wa nchi mwaka 2020, uwezo wake wa ku-work across party lines unamuweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuipeleka Chadema kwenye "level" ya utawala wa nchi...
 
Povu linakutoka kwa kumtetea fisadi wako ili marashi atakayokuwa anajipaka atakapokuwa Ikulu yakurukie na wewe japo uambulie ukuu wa wilaya. Katika akili yako wewe utajiri wake aliupata kwa njia halali, kwa kipato kipi cha Serikalini!? Kwa kuwa mafisadi wengine hawajakamatwa basi na huyu aachiwe tu apete mpaka aingie Ikulu 2015.

Hivi unadhani mwizi anaweza kumkamata mwizi mwenziye!? Tangu lini? wanajuana kwamba wote ni wezi ndio maana hakuna atakayethubutu kumfunga paka kengele. Kumbuka kauli za CCM mika michache iliyopita, "Sasa tunalivua gamba" na kudai kwamba mafisadi wote ndani ya magamba wakiwemo mafisadi Lowassa na Rostam wangefukuzwa chamani, lakini kwa kutishia kuanika hadharani uchafu wote uliofanyika katika kumpata mgombea wa CCM 2005 hakuna aliyethubutu kuwafukuza.

Eti jina la fisadi limeandikwa!? Limeandikwa lini na nani aliyeandika jina la fisadi kwamba ndiye Rais mtarajiwa 2015!? Ukweli ni kwamba mgombea wa CCM atapatikana kwa njia za rushwa ya mabilioni kama ilivyotokea 2005. Wanaostahili kumteua mgombea wa CCM wanajua kipindi kile ni kipindi chao cha mavuno katika kumtafuta mgombea. Hawajali chochote zaidi ya kunenepesha mifuko yao na bank accounts zao. Hivyo katika wagombea wote wanaotajwatajwa kuelekea 2015 hakuna mwenye pesa kama fisadi Lowassa. Hivyo jina lake likiwemo katika kapu hakuna atakayeweza kushindana naye katika kutoa rushwa.

Na juhudi za kupata katiba mpya ambayo haitakuwa na upendeleo wa chama chochote sasa hivi kuna dalili tosha kwamba zoezi hilo litachakachuliwa na vivyo hivyo Tume ya uchaguzi nayo itachakachuliwa hivyo kuwapa nafasi vyombo vya dola kutumia ubavu wao kunyanyasa Viongozi wa CHADEMA, kuvuruga na hata kuzuia kampeni za CHADEMA ili kuhakikisha kauli ya mgamba kwamba "magamba watatawala Tanzania milele" wakati hawana sifa yoyote ya kuendelea kuwepo madarakani hata kwa masaa 24 kwa jinsi wanavyoendelea kuiangamiza nchi.


Mkuu BAK, waliojitajirisha kiharamu tunawajua, wengine mpaka malkia kawasaidia kuwabaini hadi a/c na kiasi kilichipo kilitajwa, mmewafanya nini?!.

Kwenye EPA, imekamatwa mijizi imekwapua mihela ya ajabu!, ilifanywa nini?, sasa kama yeye amejitajirisha kiharamu, uharamu huo uko wapi?, kama watu wamefanya biasharta mpaka ikulu, na wengine wameigeuza ikulu ni pango la walanguzi, ukilinganisha na alichofanya yeye, si ni ataonekana ni malaika?!.

Hili la kuutaka urais kwa udi na uvumba, nalo neno!, laiti ungalijua hiyo ni "sauti tuu ya mtu aliye nyikani" akiyatayarisha mapito ya yuajaye ambaye aja!, usingeyasema haya!.

Hata hivyo, kwa rais wa 2015, ni yule yule aliyeandikwa!, "liandikwala ni kama lisemwalo, ndilo liwalo!".

"Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

Na kwa wale ambao hamuamini kuwa hilo linawezekana, nawahakikishia, "nothing is imposible under the sun!", na "lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!", kama ni kubisha tuu for the sake of kubisha!, endeleeni kubisha!.

Pasco.
 
Back
Top Bottom