Hahahahaha! Kweli hapo hujadanganyaYaani ukitumia muda wako vizuri kuwasikiza kwa makini wanasiasa, unaweza ukahisi sio wanadamu hivi, yaani ni viumbe waliotoka huko anga za mbali na wameletwa duniani kuwapa adhabu wanadamu...
Hahahahaha! Kweli hapo hujadanganyaYaani ukitumia muda wako vizuri kuwasikiza kwa makini wanasiasa, unaweza ukahisi sio wanadamu hivi, yaani ni viumbe waliotoka huko anga za mbali na wameletwa duniani kuwapa adhabu wanadamu...
Shule gani imekufundisha katiba sio muhimuYuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Hata kama haiwaweki lkn ni muhimu,simbachawene ,situsemee katiba mpya itawapa wananchi mamlaka ya kusimamia nchi kuliko ilivyo leo watawala wanateua wasimamizi wa uchaguzi.Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Ila Akili za Watanzania."Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Wasionufaika wasubiri their turn
Madaraka mepesi ni yale ya kubeba mabegi yaliyo jaa kwenye vituo vya kupigia kura"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Hapana mm nakataa hoja kubwa n kwamba Katiba hapa inafeva viongozi plus hamna tume huru TanzaniaYuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Katiba ndo inasimamia nchi au watu ?tatizo lenu hamuelewi tofauti Kati ya katiba na watu,mnavichnganya kwa pamoja!!Hata kama haiwaweki lkn ni muhimu,simbachawene ,situsemee katiba mpya itawapa wananchi mamlaka ya kusimamia nchi kuliko ilivyo leo watawala wanateua wasimamizi wa uchaguzi.
Alikudanganya nani.alitumbuliwa baada ya kuwasumbua machingaAlijiuzulu, hakutumbuliwa, ni miongoni kati ya mawaziri wachache sana wamewahi kuandika barua ya kujiuzulu
Mbona umerudia rudia maneno it makes it worse than it should!"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Ukiwa unapokea zaidi ya million 20 kwa mwezi kama mshahara we unashida gani bana? Unakula vizuri unalala pazuri tatizo liko wapi? Wenye shida ya katiba unawaona ngedere tu sababu huna unalokosa hata maisha yawe magumu kiasi gani pesa unayoingiza kwa mwezi inatosha kuishi kama mfalme 😅 na CCM ndo wanafanikisha hiloShida ya mtu mweusi ni kuishi kwa kuiona Leo tu hajali Nchi inatakiwa kuwa wapi katika miaka 50 ijayo.Tuna shida mahalo
Hahahahah ukipewa ulaji hapo unaingiza 20M kwa mwezi utawaza mambo ya katiba hata kidogo! Katiba tunaiwaza sie wenye njaaUkiwa ndani ya ccm, katiba mpya haina umuhimu! Ukitoka nje ya ccm, katiba mpya ni muhimu!! Akili za makada wa ccm wanazijua wenyewe.
Hivi kumbe na huyu hana msimamo kabisa na Bendera fuata upepo? Nilikuwa nadhani ni Kiongozi ambaye huwa anajitambua ingalau kidogo. Lakini kwa statement hii....hakuna kitu..."Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Na huo umwamba unaompa hana influence yeyote ya kusababisha katiba mpya ipatikane, wenye influence ni hawa akina Simbachawene ambao nyie mnawatukana. As long as mmeamua kuwa maadui wa kudumu wa washika mpini basi mtaendelea kuumia kwa muda mrefu sana.
Mwanasiasa ni sawa tu na machinga na matapeli wa viwanja! Ukiwapa muda watakurubuni hadi uingie kingi! Be smart! Always don't follow the masses because "m" tends to be very silent or nonexistent!
Jamaa anaelekea hana uelewa na pia ana dharau. Eti ana wahoji wananchi kama wanaijua katiba ...... Wakati Warioba anakusanya maoni na michango ya katiba Wananchi ndiyo waliotoa maoni yao.Huyu jamaa,atulie kuongeaongea.Kuropokaropoka huko kunampunguzia heshima,anaonekana ni mwanasiasa mwepesi.
Na CCM wanajua kuwa iliyopo itaendelea kuwaweka madarakani, mpya itawatoa..Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!