Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

Ss Jr

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
531
500
Yaani ukitumia muda wako vizuri kuwasikiza kwa makini wanasiasa, unaweza ukahisi sio wanadamu hivi, yaani ni viumbe waliotoka huko anga za mbali na wameletwa duniani kuwapa adhabu wanadamu...
Hahahahaha! Kweli hapo hujadanganya
 
Nnangale

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
2,214
2,000
Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Hata kama haiwaweki lkn ni muhimu,simbachawene ,situsemee katiba mpya itawapa wananchi mamlaka ya kusimamia nchi kuliko ilivyo leo watawala wanateua wasimamizi wa uchaguzi.
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
2,433
2,000
Madamu utaratibu wetu wa katiba ya sasa unatupa Marais wawili yule SMZ na JMT basi tuangalie jinsi gani ya kuwa na katiba ambayo haitatupa uwezekano wa hawa wawili kutokea upande mmoja wa Muungano. Haipetenzi watu zaidi ya 57millioni wasiwe na Rais wao wakati 2millioni wanaye.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,572
2,000
"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Ila Akili za Watanzania.

Kuna Watu Walishiriki Bunge la Katiba wakalipwa na Na Fedha kujadili KATIBA Mpya kwanini hawakukataa kuwa Katiba iliyopo inatosha?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
7,042
2,000
"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Madaraka mepesi ni yale ya kubeba mabegi yaliyo jaa kwenye vituo vya kupigia kura
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,513
2,000
Hata kama haiwaweki lkn ni muhimu,simbachawene ,situsemee katiba mpya itawapa wananchi mamlaka ya kusimamia nchi kuliko ilivyo leo watawala wanateua wasimamizi wa uchaguzi.
Katiba ndo inasimamia nchi au watu ?tatizo lenu hamuelewi tofauti Kati ya katiba na watu,mnavichnganya kwa pamoja!!
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,910
2,000
"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Mbona umerudia rudia maneno it makes it worse than it should!
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,910
2,000
Shida ya mtu mweusi ni kuishi kwa kuiona Leo tu hajali Nchi inatakiwa kuwa wapi katika miaka 50 ijayo.Tuna shida mahalo
Ukiwa unapokea zaidi ya million 20 kwa mwezi kama mshahara we unashida gani bana? Unakula vizuri unalala pazuri tatizo liko wapi? Wenye shida ya katiba unawaona ngedere tu sababu huna unalokosa hata maisha yawe magumu kiasi gani pesa unayoingiza kwa mwezi inatosha kuishi kama mfalme 😅 na CCM ndo wanafanikisha hilo
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,910
2,000
Ukiwa ndani ya ccm, katiba mpya haina umuhimu! Ukitoka nje ya ccm, katiba mpya ni muhimu!! Akili za makada wa ccm wanazijua wenyewe.
Hahahahah ukipewa ulaji hapo unaingiza 20M kwa mwezi utawaza mambo ya katiba hata kidogo! Katiba tunaiwaza sie wenye njaa
 
We Know Next

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
732
500
"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi...
Hivi kumbe na huyu hana msimamo kabisa na Bendera fuata upepo? Nilikuwa nadhani ni Kiongozi ambaye huwa anajitambua ingalau kidogo. Lakini kwa statement hii....hakuna kitu...
 
Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
1,235
2,000
Anaharisha tu maana hata hao polisi wake wameshindwa kufuta kesi zao za uongo walizoambiwa na Hangaya na yeye yupo tu anachekelea tu
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
5,120
2,000
Hiz ndyo akili za nguchiro,endelea kubaki nazo
Na huo umwamba unaompa hana influence yeyote ya kusababisha katiba mpya ipatikane, wenye influence ni hawa akina Simbachawene ambao nyie mnawatukana. As long as mmeamua kuwa maadui wa kudumu wa washika mpini basi mtaendelea kuumia kwa muda mrefu sana.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,743
2,000
Mwanasiasa ni sawa tu na machinga na matapeli wa viwanja! Ukiwapa muda watakurubuni hadi uingie kingi! Be smart! Always don't follow the masses because "m" tends to be very silent or nonexistent!

Hahaha...dah hiyo conclusion yako mkuu
 
The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,403
2,000
Huyu jamaa,atulie kuongeaongea.Kuropokaropoka huko kunampunguzia heshima,anaonekana ni mwanasiasa mwepesi.
Jamaa anaelekea hana uelewa na pia ana dharau. Eti ana wahoji wananchi kama wanaijua katiba ...... Wakati Warioba anakusanya maoni na michango ya katiba Wananchi ndiyo waliotoa maoni yao.

Tatizo la viongozi wengi wa Tanzania ni viongozi wa MATUMBO yao tu. Huyu mtu unaweza kukuta 2025 au 2030 anachukua form kugombea Urais bila aibu. Anavyoongea tu tayari ameshajiona ana uwezo wa kuwa Rais..... design za kina Lukuvi na Propesa Kabudi (Mzee wa Jalalani).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom