GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,920
Kutokana na hali ngumu sasa kuzidi hapa nchini Tanzania Watu wengine wenye Vipaji vingi kikiwemo cha Kuimba tumeona sasa tutumie ' Talanta ' zetu katika Kupambana na Ukazaji wa Vyuma kwa kuamua Kutunga nyimbo kadha wa kadha ili tujipatie Vipato.
Wiki iliyoisha tu nasikia kuna Nyimbo kama 15 hivi zilifungiwa na leo pia nimesikia kwamba kuna nyimbo zingine kama 40 nazo zitaenda Kufungiwa mapema tu hivyo nami kama Mtunzi GENTAMYCINE kuna Wimbo wangu ambao tayari nimeshautunga ila Kiitikio chake ( Chorus ) ndiyo nataka niweke hapa hadharani ili Naibu Waziri Shonza na BASATA waweze kuniambia hapa hapa kama Kitafaa ili nikiache au nikifanyie ' editing ' kiduchu.
Kiitikio chenyewe kinakwenda ( chorus inaenda ) kama ifuatavyo.....
asikuambie mtu Ndizi iliyokaza ukiipika inakuwa tamu na kutekenya sana Kooni
asikuambie mtu Ndizi iliyokaza kuiweka mdomoni ni tamu hata kuliko asali au sukari gulu
asikuambie mtu Ndizi iliyokaza hata ukikosea na ukaikalia bado tu ladha yake haibadiliki
ndizi eeeeeehh....ndizi iliyokaza kunakotukuka ndiyo mpango mzima...ndizi eeeeeehh ndizi
Nayasubiri maoni yenu Waziri Shonza na BASATA kwani natakiwa kuingia Studio muda wowote kuanzia sasa lakini kwa mujibu wa Mtayarishaji wangu wa mziki ( Producer ) baada ya kumsikilizisha tu vipande vyangu na hasa hicho Kiitikio ( Chorus ) kaniambia huo Wimbo ukitoka tu na ku hit airwaves zote Tanzania na Afrika ya Mashariki yote basi GENTAMYCINE umasikini / ufukara wangu huu utakuwa Historia.
Nawasilisha.