Waziri Norway: Tunakula nguruwe na kunywa Pombe

Waziri Norway: Tunakula nguruwe na kunywa Pombe

Status
Not open for further replies.
Nchi inayokuitaji ni nyumbani Tanzania tuu hakuna nchi ambayo wewe sio Raia utadanganywa inakuhitaji ukisafiri utajua ubaguzi upo Nchi nyingi sana ila kama hujasafiri huwezi tambua hilo na hutosikia..watu weusi wote wanabaguliwa Nchi nyingi sio uarabuni tuu..

Uko sahihi kiadi fulani. Hata hapa kwa jpm unabaguliws, kama siyo CCM utabaguliwa tu. Ishu ni kuwa wasipokuhitaji nje usiende. Tanzania ndio home huna pa kwenda.
 
Bwana asifiwe na nyie mnajifanya masheikh ndio wateja wazuri sana wa huyo mbuzi katoliki na viroba wanafiki wakubwa sana nyie
ehehe mkuu mimi hujui kama mkatoliki pia?
 
Norway...wanapata pesa nyingi sana kupitia hizo biashara za nguruwe na pombe, pesa hiyo inakuja pia tanzania kama msaada.

Mpuuzi na mjitu ni wewe, unaelekea wewe ni wa dini hiyo maana reaction yako na mapovu tele. Si muende kwa wenzenu achana na makaffir ya Norway, wakae kwao salama, nanyi mkae kwenu salama. Ubaguzi mbina mnawaita wenzenu Kaffir, it is a derogatory and discriminative term
 
HUWA NIKISOMA MICHANGO YA WATU KWENYE MASWALA SENSITIVE KAMA HAYA HUWA NAPATA SHAKA SANA NA UELEWA WA TAIFA HILI MASKINI.

KULA NGURUWE KUNYWA POMBE IS NOT CONSTITUTIONAL, AS LONG WANAKUWA LAW ABIDING CITIZENS ITS ENOUGH.
ALICHOONGEA HUYO MAMA NI ABUSE YA FREEDOM OF SPEECH, UNAWATAADHALISHA KWANI WALISEMA WANAENDA KULA KWAKE.

SABABU ANACHOONGEA NI UPUUZI NA WANAOM-SUPPORT NI WAPUUZI VILE VILE, SABABU WANAKUWA NA UFAHAMU MDOGO NA KUFANYA MAAMUZI AU KUTOA MISEMO KWA HISIA ZA KIBAGUZI TU.

"Norway

Drinking in public is illegal in Norway and subject to fines. In many cities the police will primarily react if the use of alcohol is causing trouble and drinking in parks is quite common. Most officers will ask the drinker to empty the bottle without further reactions."

SASA KAMA ANAKUNYWA NA KULA NGURUWE NYUMBANI KWAKE YA NINI KWENDA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA KUONGEA UPUUZI KAMA HUO.

HALAFU MIJITU MIPUMBAVU UNAKUTA INAANDIKA "NAUNGA HOJA" NA NAHISI NA PUA WANABANA VILEVILE, NI BORA KUWA MASKINI WA MALI KULIKO KUWA MASKINI WA AKILI NA HILI NDIYO TATIZO KUBWA KLA NCHI HII YETU YA TANZANIA.

HATA SAUDI ARABIA POMBE ZIPO SASA NDIYO IJE KUWA SYRIA, KUNA WATU WANASHIKA NYADHIFA KUBWA LAKINI KICHWANI KUTUPU KABISA.


Inawezekana uelewa wako una tabia ya kuishia njiani.
 
Ukienda kwao(nchi za waislamu) utaiashije kwani?
Yaani ukikosea kutaja Yesu Kristu wanakuua. Na kwao mgeni kama si wa dini yao ni takataka/uchafu/najisi etc. Ila mi nilishawaambia watu wa ulaya kuwapokea watu toka middle east wanajipalia makaa kwani siyo watu wema hata kidogo. Na sababu kuu ni wao wazungu kuzaliana kidogo na mwarabu mmoja ana watoto 10. With time nchi nyingi za ulaya zitakuwa za watu wa middle east.
 
Kwa Norway ni nchi ya wakristo sasa ww mgeni unaambiwa hivyo unabisha? Rudini kwenu basi
 
Hivi Saudi Arabia kuna kanisa hata moja kweli?
Ile ni ardhi ya Allah, hapatakiwi kuwepo na Kanisa. Sisi tumepewa na Allah ardhi yote ya dunia hii tuiishi tutakavyo. Ndiyo maana popote tuendapo ni lazima wabadirike na kuushi tutakavyo .
Kwa jufanya huvyo tunakua tumetimuza kusudi la Allah kutupatia Dunia hii.
Allah anataka ardhi yote ya Dunia na tawala zake isimamiwe kwa misingi ya uislamu
 
Hao wakimbizi wangekuwa wanakuja huku afrika,hivi wazungu na waarabu nao wangekuwa wanajadili hili suala kama ambavyo sisi tunavyolijadili? Au hata lisingewashughlisha kama tufanyavyo sisi?
 
Hata huku kwetu kabla hawajaja wenyewe tulikuwa tunajivalia majani tu na kuishi kama kawaida. Wamekuja wao na ustaARABU wao wanaleta mambo ya kujisetiri

tuonyeshe mfano mkuu anza kuvaa majani achana na nguo za wazungu na waarabu udumishe mila unaweza ukatushawishi na sisi turudie tamaduni zetu
 
Huo ni ubnafisi wa kiwango cha juu, km ni kweli unayosema

Ile ni ardhi ya Allah, hapatakiwi kuwepo na Kanisa. Sisi tumepewa na Allah ardhi yote ya dunia hii tuiishi tutakavyo. Ndiyo maana popote tuendapo ni lazima wabadirike na kuushi tutakavyo .
Kwa jufanya huvyo tunakua tumetimuza kusudi la Allah kutupatia Dunia hii.
Allah anataka ardhi yote ya Dunia na tawala zake isimamiwe kwa misingi ya uislamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom