Waziri Norway: Tunakula nguruwe na kunywa Pombe

Waziri Norway: Tunakula nguruwe na kunywa Pombe

Status
Not open for further replies.
HAYA NI MASWALI NAJIULIZAGA KILA SIKU:

1:HIVI INAKUWAJE UNAJIITA WEWE NI BINADAMU HALAFU UNAMCHUKIA BINADAMU MWINGINE KUTOKANA NA RANGI YA NGOZI YAKE TU?

2: HIVI INAKUWAJE UNAJIITA WEWE NI MKRISTO HALAFU UNAKUWA NA CHUKI/UBAGUZI NA MTU MWENYE IMANI TOFAUTI NA WEWE?

NASHINDWA KUPATA MAJIBU KABISA,

ubaguzi upo mkuu,unafundishwa achilia mbali wa rangi hata dini,huku kwetu ni ukabila,na haukuanza leo wala jana,ukijaribu kusoma historia ndogo tu ya makabila yetu au hata race za mashariki ya kati,nadhani ni kibinadamu tu..
 
Kiti moto na Safari/viroba ndio mpango wenyewe wasee ile kitu ni tamu sana
 
Huu ni unafiki sasa

1. Ubaguzi upo kila mahali, hata hao waarabu unaowapigia perepeche ndiyo wabaguzi wakubwa duniani, hata conflicts zao zinachochewa na ubaguzi

MMH! SASA NIKUULIZE ANAYEBAGUA NA YEYE ABAGULIE? NA TOFAUTI IKO WAPI? PIA UKUMBUKE NORWAY NI INCHI ZA DUNIA YA KWANZA NA KAMA ZINA WATU WENYE TABIA NA ITIKADI KAMA HIZI TOFAUTI IKO WAPI SASA?

KABLA HUJAZUNGUMZIA CONFLICTS TAFAKARI MANENO YAKO KWANZA, TATIZO LIKO WAPI SABABU HILO LITAKUWA SOMO JINGINE KWAKO. NI MIEZI TU TANGU TONY BLAIR AOMBE MSAMAHA KWA ALIYOSABABISHA IRAQ, MIEZI MIWILI ILIYOPITA DAVID CAMERON KAAMBIWA AOMBE MSAMAHA KWA ALIYOSABISHA LIBYA NA HAWA WAKIMBIZI NI MATOKEO YA YOTE HAYO.

2. Kuspecify kuwa wakristo wanachuki na unafiki mwingine, umekiri kuwa wewe ni mkristo je umekizi kigezo cha kuwa na chuki dhidi ya wengine?No eeh?stop hasty generalization fallacy when making up your mind..

HUYO MAMA KAONGELEA NGURUWE NA POMBE SI WAKISTRO WOTE WANAKULA NGURUWE NA POMBE, LAKINI KWA MFANO MDOGO TU UKITAZAMA WACHANGIAJI HUMU WAMESHAANZA KUONGELEA KANZU NA BARAGHASHIA?

Nimesoma pia umetembelea nchi za Europe zote ni uongo mtakatifu huo

HII SINA HATA KUJIBU UMENIACHA NACHEKA TUUU NA UMENIFANYA NISIKUCHUKULIE SERIOUS KABISA
 
ubaguzi upo mkuu,unafundishwa achilia mbali wa rangi hata dini,huku kwetu ni ukabila,na haukuanza leo wala jana,ukijaribu kusoma historia ndogo tu ya makabila yetu au hata race za mashariki ya kati,nadhani ni kibinadamu tu..

LAKINI HIYO HAITOI NAFASI KWA SISI PIA KUKAA KIMYA NA KUIKUBALI HALI AMBAYO TUNAJUA KABISA SIYO SAWA. "WHEN THEY GO LOW, LETS GO HI" LAZIMA TUONYESHE UTOFAUTI TUSIFATE NJIA SABABU ZIMETENGENEZWA NA WALIOPITA HAPANA! TUTENGENEZE ZETU NA TUWAACHE URITHI MPYA KIZAZI KINACHOKUJA.
 
Utaishi kama unavyoishi kwenu. Internet ipo browse mujifunze sio mubaki na ubaguzi wa kijinga. Tanzania kuna idadi kubwa ya waislam na utaona kina mama wengi ausbuhi au hata jioni wanatembea mitaani na kanga za kifua je wakija wazungu na wao waambiwe wafuate mila zetu watembee mitaani na kanga au hawafai kuchanganyika na wananchi? Tumewaona viongozi wengi wakristo wamevaa Kanzu na Barghashia wakichamganyika na waislam miezinya Ramadhani na Eid. Je walilazimishwa?
Mapovu ya nini ?
 
Wakupuuzwa sana huyu mama, yaani hizo haramu ndo ameona vitu vya maana sana kuliko utu..!

haramu kwako wewe! Nchini kwenu nyinyi!

Hoja yake waziri anasema anajua kwamba kwenu nyinyi mnaona pombe na nguruwe hataaari, anajua! Kasema "sisi hapa," sio nyinyi, "sisi huku" nguruwe na pombe ni poa! Wewe usinywe na usile! Lakini usilazimishe iwe haramu na kwake yeye M-Norway nchini kwake!

Kama unaona hajali utu wako kaa kwako basi Uarabuni ujifunike na mashuka meusi mtaani au usitoke nje kabisa! Ili mume wako peke yako ndie akuone maungo yako, tunaelewa, tena ni kweli labda ingesaidia kupunguza tamaa na ufuska, tunaiona mantiki hiyo, lakini sio kila mmoja anakubaliani na mawazo ya Mtume Muhammad S.A.W.

Shuleni hatufundishwi kukubaliana na hoja za wengine, tunafundishwa kuielewa tu!

Haramu? Unafuata nini kwenye nchi ya wanaharamu?
 
Norwy ni wabaguzi hata kwa watu weusi ndio Nchi ina samaki wengi ukanda ule mbona hakusema hayo wana sera za chini chini za raia wao kutokua karibu na mgeni mweusi. Sweeden ndio hakuna shida yeyote ya ubaguzi...
 
Si tukae kwetu. Watawala wetu afrika wanakuwa madicteita, wanashindwa kuziendeleza nchi zao, mnazikimbia mnaanza kulalamika nchi za watu. Tutengeneze za kwetu jamani. Waislamu ni vema wakaenda kwa ndugu zao waislamu, why go where you are not friendly. Tena waislamu wabaguzi. Kama siyo Muislamu wewe ni Kaffir, ubaguzi ulioje
 
HUWA NIKISOMA MICHANGO YA WATU KWENYE MASWALA SENSITIVE KAMA HAYA HUWA NAPATA SHAKA SANA NA UELEWA WA TAIFA HILI MASKINI.

KULA NGURUWE KUNYWA POMBE IS NOT CONSTITUTIONAL, AS LONG WANAKUWA LAW ABIDING CITIZENS ITS ENOUGH.
ALICHOONGEA HUYO MAMA NI ABUSE YA FREEDOM OF SPEECH, UNAWATAADHALISHA KWANI WALISEMA WANAENDA KULA KWAKE.

SABABU ANACHOONGEA NI UPUUZI NA WANAOM-SUPPORT NI WAPUUZI VILE VILE, SABABU WANAKUWA NA UFAHAMU MDOGO NA KUFANYA MAAMUZI AU KUTOA MISEMO KWA HISIA ZA KIBAGUZI TU.

"Norway

Drinking in public is illegal in Norway and subject to fines. In many cities the police will primarily react if the use of alcohol is causing trouble and drinking in parks is quite common. Most officers will ask the drinker to empty the bottle without further reactions."

SASA KAMA ANAKUNYWA NA KULA NGURUWE NYUMBANI KWAKE YA NINI KWENDA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA KUONGEA UPUUZI KAMA HUO.

HALAFU MIJITU MIPUMBAVU UNAKUTA INAANDIKA "NAUNGA HOJA" NA NAHISI NA PUA WANABANA VILEVILE, NI BORA KUWA MASKINI WA MALI KULIKO KUWA MASKINI WA AKILI NA HILI NDIYO TATIZO KUBWA KLA NCHI HII YETU YA TANZANIA.

HATA SAUDI ARABIA POMBE ZIPO SASA NDIYO IJE KUWA SYRIA, KUNA WATU WANASHIKA NYADHIFA KUBWA LAKINI KICHWANI KUTUPU KABISA.

Norway...wanapata pesa nyingi sana kupitia hizo biashara za nguruwe na pombe, pesa hiyo inakuja pia tanzania kama msaada.
 
Si tukae kwetu. Watawala wetu afrika wanakuwa madicteita, wanashindwa kuziendeleza nchi zao, mnazikimbia mnaanza kulalamika nchi za watu. Tutengeneze za kwetu jamani. Waislamu ni vema wakaenda kwa ndugu zao waislamu, why go where you are not friendly. Tena waislamu wabaguzi. Kama siyo Muislamu wewe ni Kaffir, ubaguzi ulioje
mkuu sio ukienda Nchi zao umeenda kutafuta maisha wengine kazi zinawaruhusu kusafiri ukiwa wewe upo tuu hapo hata Nje utoki utakua na matatizo kama una nafasi ya kutoka nenda katembee hata Vietnam,Singapore uone wenzio wanafanyaje ili waendelee usipinge safari labda uwe hujui maana ya Safari zinasaidia nini sizungumzii za serikali safari binafsi ni muhimu sana sema kwa kuwa Nchi masikini..
 
Alichokisema huyu Mama ni Ukweli kabisa kwani wanasema ukienda Roma ukikuta wanalala chini basi ni sharti ufuate wanavyofanya
Hiyo ni misemo. Kwa maana hiyo ni sawa uliwe tigo na uolewe na jinsia yako.
 
mkuu sio ukienda Nchi zao umeenda kutafuta maisha wengine kazi zinawaruhusu kusafiri ukiwa wewe upo tuu hapo hata Nje utoki utakua na matatizo kama una nafasi ya kutoka nenda katembee hata Vietnam,Singapore uone wenzio wanafanyaje ili waendelee usipinge safari labda uwe hujui maana ya Safari zinasaidia nini sizungumzii za serikali safari binafsi ni muhimu sana sema kwa kuwa Nchi masikini..

Sawa unakwenda ambako wanakuhitaji, kama wabaguzi usiende. Ukienda kubali yaishe. Mimi sitamani kwenda arabuni maana ni wabaguzi. Wataniita kaffir, hivyo siendi hata kutembea, nikienda nitakubali yaishe
 
Hahahaha na mambo ya kuchinja, eti machinjioni wao waislam ndo wanaochinja.Halal sijui nini.
Sisi tulikuwa tunakula vitu vilivyokufa.wakatufundisha ustaarab wa kuchinja.tunajuwa madhara ya kula mzoga?
 
Sawa unakwenda ambako wanakuhitaji, kama wabaguzi usiende. Ukienda kubali yaishe. Mimi sitamani kwenda arabuni maana ni wabaguzi. Wataniita kaffir, hivyo siendi hata kutembea, nikienda nitakubali yaishe
Nchi inayokuitaji ni nyumbani Tanzania tuu hakuna nchi ambayo wewe sio Raia utadanganywa inakuhitaji ukisafiri utajua ubaguzi upo Nchi nyingi sana ila kama hujasafiri huwezi tambua hilo na hutosikia..watu weusi wote wanabaguliwa Nchi nyingi sio uarabuni tuu..
 
Wakati mwingine uelewa wao unatokana na uzoefu wanaokutana nao so inawezekana mtu akasapoti kutegemea na maswahiba wanayokutana nayo,na haijazungumziwa kama ni kikatiba kula nguruwe,ila kwa imani za wenzetu ukila mbele yake sijui kama ushawahi experience hii,kwa norway inaweza ikawa public places hata restaurants zinauzwa sana,Scandinavian countries ni watumiaji wakubwa sana wa vyakula hivi,sana.
Mbona hata hapo kiborloni mabucha ya nyama ya nguruwe yapo waziwazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom