Ulibadilisha Sheria ya Habari na ukafungia Magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live.
Pia soma
Pia soma
Kuna bunge?Ulibadilisha sheria ya habari na ukafungia magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Naye amekula sn inatoshaHuyu jamaa anakuona we Nniiuye ulichomfanyia unakijuaView attachment 2115744
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Eti kutazama vikao vya CCMKwa wabunge gani sasa?
Akina KibajajiKwa wabunge gani sasa ?
Bora utazame katuniEti kutazama vikao vya ccm
Ndiyo hicho mkuuYaani sijui hii nchi unaweza kuieleza vipi, watu zaidi ya milioni 60 mtu mmoja ambaye background yake imejaa utata anasimama na kusema nimefungia gazeti. Na baada ya muda anaibuka anasema nimewafungulia endeleeni na kazi bila kujua kuwa ulishawaharibia kila kitu
Na hawa wamiliki hawaambiwi walikosa kitu gani mpaka wakafungiwa na imekuwaje wakafunguliwa. Hapo waziri mmoja aliwahi kusema kuwa serikali haiwezi kudaiwa fidia.
Au ni katika 'kunogesha' ziara ya Ulaya ili mabeberu waone tuko juu kwenye uhuru wa habari?
Bora kuangalia maigizoNani mwenye muda huo wa kutazama hivyo vikao vya ccm?
Kwa wabunge gani walioko bungeni hadi watu wahitaji bunge live!!ishu sio kuwa live bali ni michango ya wabunge yenye mashiko!!kuna mbunge gani sasa hivi ambaye anaweza kutoa hoja na mtu ukafurahi?Ulibadilisha Sheria ya Habari na ukafungia Magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live.
Pia soma
- Nape: Si uamuzi wa Serikali ya Magufuli Bunge kutoruka live (Start dateJun 12, 2016 )
- Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa (Feb 19, 2019)
- Nape Nnauye: Ningependa bunge liwe live wananchi waone mijadala (Start date Apr 4, 2021)